CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

CHADEMA wapeleka Red Brigade kufanya fujo Kalenga

Ni vizuri ukafikiria na ukatafakari kabla ya ku comment chochote.. kwan hujasikia kauli za viongozi wa ccm za uchochez huko kalenga kwa nn sasa chadema wasipeleke red brigade kuwalinda viongozi wao.?
Huu utaratibu wa kuanzisha vikundi vya ulinzi ndani ya vyama vya siasa hujajiuliza ni kwa nn ccm walianzisha green guard then tukaanza kusikia habari ya wapinzani wa ccm kuanza kuteswa na kuuwawa!
Bora wewe umenena ukweli kuliko wale waliokuwa wanakanusha taarifa hizi
 
Wadau, taarifa nilizozipata kutoka kwa mtonyaji wangu wa CHADEMA jimbo la Kawe kuwa, CHADEMA wanapeleka vijana kufanya vujo Kalenga huku wakivalia mavazi ya ccm. Kwamba Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare alimwagiza Kiongozi wa Red Brigade wa jimbo la Kawe, kuwa aandae vijana ambao watapelekwa Kalenga kuanzisha fujo kama zile za Bunda. Kwamba vijana hao watavalishwa nguo za kijani ili waonekane ni wana ccm na watavamia mikutano ya chadema na ikiwezekana kuwajeruhi baadhiya wananchi. Mtoa taarifa amenidokeza kuwa vijana hao wamewasili jana huko Kalenga na kwa sasa wanaratibu mpango huo kwa kushirikiana na makamanda wao huko Kalenga. Amenidokeza kuwa mpango huo huenda ukatekelezwa weekend hii hasa baada ya kuwasili kwa kiongozi wa kampeni kwenye jimbo hilo, Godbless Lema ambaye kwa sasa yupo Bungeni Dodoma.


Mytake, kwa mwendo huu CHADEMA wanaanzisha siasa ambazo ni kinyume na kauli zao kuwa CHADEMA ni Mpango wa Mungu

wewe ni mpumbav.. si ukariport police hii inasaidia nini hapa very stupid......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom