USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,897
- 22,667
Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?