CHADEMA wanapata wapi fedha za mikutano?

CHADEMA wanapata wapi fedha za mikutano?

Mbona
Kwa mara ya kwanza tangu nikufahamu leo umeuliza swali zuri mno ! Hongera sana , sasa tukirudi kwenye swali lako nitajaribu kukusaidia ili upate majibu , usiogope ni rahisi sana .

Wakati tunaanzisha JOIN THE CHAIN kuna wale wenye akili ndogo walitubeza , Join the chain ulikuwa mpango wa kisasa wa kuchangia chama , mpango huu uliruhusu hata mwenye jero au buku kuchangia Chadema , Kumbuka hili lilikuwa zoezi lililofuatia baada ya Chadema Digital , Sijui kama unanielewa , Chadema Digital ilikuwa na lengo la kusajili wanachama kidigitali na kujua idadi yake , tulikuja kujua kwamba wanachama wa Chadema ni zaidi ya mil 12 , sasa hawa tukawaingiza kwenye Join the chain , hata kama wangetoa buku buku unadhani ingekuwa bei gani ? mimi binafsi nimechangia mil 10 , kyela niliweka mil 5 na Tandika niliweka mil 5 , sasa vibopa wenzangu unadhani nao waliweka bei gani ?

Sasa hapa ndio penye tofauti kati yenu nyie mliozoea kuiba na kudhulumu na Chadema yenye uwezo wa ushawishi .

Kwa msaada zaidi fuatilia nyuzi zangu kuhusu Join the chain , mle niliweka hadi kiasi kilichopatikana , na miongoni mwenu mlinitukana .
hupngelee ile ruzuku ya Covid 19?
 
Back
Top Bottom