Wewe wasemaMisaada kutoka lgbtq
Wewe wasemaMisaada kutoka lgbtq
Mifukoni mwao wananchi wazalendo 🤔Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
Fuatilia chadema digital ,utajua chadema Ina wanachama wangapi nchi mzima alafu uzidishe hiyo idadi mara ada ya MWAKA ya kadi Yao ya uanachama ndio utajua kiasi wanachokusanya.mfano wanachama wako 5,000,000 mara tsh 2000 ya ada unapata 10,000,000,000.ya haraka hip ni mfano tu.Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
YesTukiwaambia chadema ni dude kuuubwaaa muwe mnaelewa jamaniii...ni juzi tu Dr mihogo kasema wazi kuwa chadema imekomaa na iko tayari kuongoza nchi .. yule Mzee hajaropoka tu ...kaongea ukweli japo amebezwa sana mitandaoni , Chadema iko tayari kuiongoza hii nchi ...TISS msitubanie bhana
Chadema iko kwenye mioyo ya wanachadema,tunachangia tofauti na CCM inayochota hela hazina kufanyia shughuli za chama. Sukuma Gang mna ushamba na roho za kimasikini sana.Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
Ungeuliza vyama vya siasa Tanzania vinapata wapi fedha!Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
Hili nalo swali la msingiIshu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
USSR inamhusu nn? yy ni akae tu mbele y TV yke akistaajabia miujiza ya Muumba. hayawi hayawi ya madikteta huwa yanafikia mwisho pia. rejea ya Hitla, Mobutu, Idd Amin ...nk. atagundua mengi ktk history. kila ovu linatesa lkn lina mwisho pia. avumilieKwa mara ya kwanza tangu nikufahamu leo umeuliza swali zuri mno ! Hongera sana , sasa tukirudi kwenye swali lako nitajaribu kukusaidia ili upate majibu , usiogope ni rahisi sana .
Wakati tunaanzisha JOIN THE CHAIN kuna wale wenye akili ndogo walitubeza , Join the chain ulikuwa mpango wa kisasa wa kuchangia chama , mpango huu uliruhusu hata mwenye jero au buku kuchangia Chadema , Kumbuka hili lilikuwa zoezi lililofuatia baada ya Chadema Digital , Sijui kama unanielewa , Chadema Digital ilikuwa na lengo la kusajili wanachama kidigitali na kujua idadi yake , tulikuja kujua kwamba wanachama wa Chadema ni zaidi ya mil 12 , sasa hawa tukawaingiza kwenye Join the chain , hata kama wangetoa buku buku unadhani ingekuwa bei gani ? mimi binafsi nimechangia mil 10 , kyela niliweka mil 5 na Tandika niliweka mil 5 , sasa vibopa wenzangu unadhani nao waliweka bei gani ?
Sasa hapa ndio penye tofauti kati yenu nyie mliozoea kuiba na kudhulumu na Chadema yenye uwezo wa ushawishi .
Kwa msaada zaidi fuatilia nyuzi zangu kuhusu Join the chain , mle niliweka hadi kiasi kilichopatikana , na miongoni mwenu mlinitukana .
Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
RAINBOW SUPPORT FUNDS.Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
wanapata kutoka kwa mamayenu ccmIshu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.
Kuna vyama hata ile mikutano ya kusimama kwenye vituo vya dala dala hawawezi, ACT wazalendo licha ya kuwa ndani ya serikali hawawezi wapo wapo tu, swali ni je CHADEMA wanapata wapi pesa za kuzunguka nchi nzima kwa mikutano mikubwa na majukwaa ya kisasa?
Hili ni swali kama huna jibu kaa kimya tena kwa kutulia?
Hawana ruzuku kwa sasa?
Siwasikii wakichangishwa pesa mikutanoni kama zamani?
Hakuna taarifa yoyote ile ya wanachama kuwa chama kimepokea msaada kutoka nje hasa Ujerumani?
Tuliambiwa Mbowe aliyekuwa anatumia pesa zake binafsi kuwakopesha kisha anajilipa baadae amefirisiwa na serkali ya Magufuli na kubaki apeche alolo yupo yeye na gwanda zake tu?
Hawana wabunge walikuwa wanawachaji milioni kila mwezi?
Hawana madiwani wala halmashauri wanazo ongoza?
Tetesi;
Je, wamepewa pesa na serikali ya CCM (pesa za walipa kodi)?
Je, wameamua kumuangukia msajili na sasa wanachukua ruzuku ya Covid-19 kimya kimya?
USSR
ambazo wewe ulihusika kuwapaWamepewa pesa za ruzuku usidanganyike[emoji35]
utakiwa msukumiwa moto wewe wa ccmLGBQ countries
Tanzania kuna serikali moja tu nayo ni wa wananchi na ndiyo inayotunza kodi zote wanazolipa watanzania ikiwa ni pamoja na zile wanazokwiba viongozi wa CCM. Pesa wanazotumia Chadema zinatokana na wanachadema na marafiki wa Chadema.Ishu ya kufanya mikutano sio kazi ndogo ni ishu kubwa hasa inahitaji pesa sio tu pesa pesa haswa kutoka huku na huko zikusanywe ziwe mingi mfanye jambo.