Chadema, pesa za mafuta ya bodaboda na posho kwenye maandambo mngewapa mtaji Bavicha

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,996
32,433
Wanaukumbi.

Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje.

Nani analipa hizo pesa za mafuta na posho kwa bodaboda na bajaji au Mbowe anatoa kweye fungu la ruzuku maana ruzuku yote anakaa nayo Mbowe.

Jambo la kushangaza Chadema anaenda kushataki UN kuwa Bavicha hawana kazi maisha magumu UN atawasaidia ajira?

Hizo pesa kwa nini msianze na vikundi vya Bavicha kuwapa mitaji wafanye kilimo au ujasiliamali.

Mkuu we ni yule RitzOne au Ritzfetty? Huu mwandiko sio mgeni machoni pangubkabisa. Rubbish at its best.
 
Wanaukumbi.

Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje.

Nani analipa hizo pesa za mafuta na posho kwa bodaboda na bajaji au Mbowe anatoa kweye fungu la ruzuku maana ruzuku yote anakaa nayo Mbowe.

Jambo la kushangaza Chadema anaenda kushataki UN kuwa Bavicha hawana kazi maisha magumu UN atawasaidia ajira?

Hizo pesa kwa nini msianze na vikundi vya Bavicha kuwapa mitaji wafanye kilimo au ujasiliamali.
Wewe pia unaweza kuwachangia na ukabariki
 
Daaa
 
Attachments

  • 986fe283-94fb-48c2-8d18-095d8fbdb7be.mov
    3.2 MB
Kuna mtu analipaki na kulificha v8
Anapanda mara panda mara mtumbwi
Yaani vurugu mechi...lakini ndiyo siasa hiyo

Ova
 
Mkuu we ni yule RitzOne au Ritzfetty?? Huu mwandiko sio mgeni machoni pangubkabisa. Rubbish at its best.
Bavicha bana kwa akili yako unadhani UN watawapa miitaji?
 
Mbona fisiemu kila anapoenda bashite wanachukua boda wanawapa lita mbili za wese wanawaambia wakampokee mwenezi wanakusanya watu na magari ya halmashauri kuwapelek kwenye mkutano kwahyo usipanic Chademawize wakifa ya hivyo ni siasa tu kila mtu ashinde zake un akiona chadema wanaweza utaona fitna itakayoingia kwa ccm na chadema wamgekua na tamaa kama ccm wangeshaifanya nchi iwe kama kongo maana ni swala la kikao kimoja na us na kumuahidi resource alafu anatuma cia wanakuja kuvuruga nchi vita vinaanza basi us anacheta mali chadema wanaipiga ccm hakuna tena utawala wa sheria....
 
Wanaukumbi.

Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje.

Nani analipa hizo pesa za mafuta na posho kwa bodaboda na bajaji au Mbowe anatoa kweye fungu la ruzuku maana ruzuku yote anakaa nayo Mbowe.

Jambo la kushangaza Chadema anaenda kushataki UN kuwa Bavicha hawana kazi maisha magumu UN atawasaidia ajira?

Hizo pesa kwa nini msianze na vikundi vya Bavicha kuwapa mitaji wafanye kilimo au ujasiliamali.

View attachment 2883120

Ritz, you are better than this.

Hivi kweli kwa akili yako kukodi Bodaboda ni issue!!? Makonda huko aliko kila siku anakodisha bodaboda ngapi!!? After all hizi Bajaji hazimilikiwi na wana CCM tu au wasio na vyama peke yao. Kuna wana CDM pia wanazimiliki. Nevertheless, maandamano ya km 30 lazima walitakiwa wawe na pikipiki na magari kwa ajili ya kusaidia watu wanaoshindwa kutembea. Bodaboda 200 ni kidogo sana ..... labda zingekuwa 1000.
 
Wanaukumbi.

Chadema wanapoelekea kwa sasa itakuwa kama UMD kinakufa taratibu, leo hii Chadema wanaandaa Maandamano wanakusanya Bodaboda na Bajaji zaidi ya 200 wajaze Maandamano wanamdanganya nani kama raia wamekaa maandamano yako wanawaonyesha UN ili iweje.

Nani analipa hizo pesa za mafuta na posho kwa bodaboda na bajaji au Mbowe anatoa kweye fungu la ruzuku maana ruzuku yote anakaa nayo Mbowe.

Jambo la kushangaza Chadema anaenda kushataki UN kuwa Bavicha hawana kazi maisha magumu UN atawasaidia ajira?

Hizo pesa kwa nini msianze na vikundi vya Bavicha kuwapa mitaji wafanye kilimo au ujasiliamali.

View attachment 2883120

Bado mnatumia hizo propaganda outdated miaka hii? Mbona watu weshaamka muda mrefu, au nyie ndio mmeingia kulala?
 
Back
Top Bottom