CHADEMA wanaibomoa Tanzania badala ya CCM?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
 
Juzi wametoka ulaya kuomba pesa za operesheni kata funua
Mkuu wa sheria kawasilisha gharama za kesi ya lema,pamoja na gharama za kutetea watakaowekwa ndani baada ya kuchochea maasi ya operesheni kata funua
 
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
Paragraph ya kwanza na ya pili zinakinzana. Kumbe Chadema ni dude kubwa sana linaloinyima serikali usingizi hata likiwa limenyamazishwa na serikali hiyo hiyo, huku ni kutokujiamini kwa ajabu kabisa.
 
ukisema chama tawala hakishindwi kamwe na upinzani hapo unaonyesha mapungufu ya uelewa wa mambo ya siasa ,usicopy na kupaste mazungumzo ya vijiwe vya kahawa.ndio utuletee humu,na inabidi uongelee kilichotokea,ulichoshuhudia, chadema wameharibu rasilimali wapi,wamebomoa uchumi wapi,au unaisaka nafasi aliyoipata polepole.
 
huu ni uandishi wa vi.laza wasiojua nini kinaendelea nchini..

kasome gazet la UHURU leo labda utaji"update" kidogo..kiwavi usie na mbawa!!
 
Mange Kimambi, najua utausoma uzi huu. Sasa Juliana Shonza anasema unalipwa na Mbowe kutuwekea habari unazotoa. Hizi ni tuhuma nzito sana, tunajua Mbowe sio mtu wa kujibishana na huyo binti lakini hapo naona kama kakuchokoza wewe zaidi na kukudhalilisha kuwa huna mawazo huru bali unaandika mawazo yako kwa kulipwa.
Hebu sasa anza kutumegea kuhusu Juliana Shonza na ukiweza hata jinsi mumewe anavyoweza kumvumilia katika zile tabia na utakuwa umeisaidia jamii kuelewa kuhusu muhishimiwa wa VITU maalum.
Hili litakuwa fundisho kwa wale wanaosingizia watu 'urongo'
 
Paragraph ya kwanza na ya pili zinakinzana. Kumbe Chadema ni dude kubwa sana linaloinyima serikali usingizi hata likiwa limenyamazishwa na serikali hiyo hiyo, huku ni kutokujiamini kwa ajabu kabisa.
Serikali wala CCM hazijawahi kuiogopa CCM....kinachosikitisha ni jinsi chadema walivyoshindwa kiasi cha kutumika na mabepari kama chama cha kigaidi na mpango huu umeshindwa.
 
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
Hueleweki Mara wanabomoa nchi tena wamewadharau na kuwapuuza sasa unalalamikia nn?Chadema wamekula rambirambi za bukoba?wamepandisha bei ya sukari?wamezuia binge live?wamezuia mikutano ya siasa nchi nzima?wamewanyima mikopo wanavyuo?ndo waliwaita vilaza wale was UDOM na kuwafukuza usiku?ndo wamefukia maiti saba fasta bila uchunguzi huko ruvu?ndo wamezuia ajira serikalini?ndio wamezuia maandamano?ndio wamemteka Ben saanane?ndo waliomshikilia Lema kisongo ili wamkomoe?ndio wamekamata Mello kumkomoa?ndo waliahidi Tanzania ya viwanda wakashindwa wanategemea wawekezaji wa nje lakini hawaendi kuongea nao huko kwao?ndio wametangaza zika ipo Tanzania? ndio wamesababisha uhaba wa madawa Hospitalini wakiulizwa wazili anasema zipo kesho wakamu wao wa rais anasema kuna upungufu?ndio wanatamani malaika washuke wazime mitandao ya kijamii?ndio wana uchungu na faru John kuliko uhai wa binadamu?ndio wamepora ushindi wa uraisi Zanzibar?jinga jinga ww.
 
Back
Top Bottom