CHADEMA wanaibomoa Tanzania badala ya CCM?

CHADEMA wanaibomoa Tanzania badala ya CCM?

Juzi wametoka ulaya kuomba pesa za operesheni kata funua
Mkuu wa sheria kawasilisha gharama za kesi ya lema,pamoja na gharama za kutetea watakaowekwa ndani baada ya kuchochea maasi ya operesheni kata funua


mbowata dol 15 tukama ataboresle jengo kuYanimbowekaliledoneataboresjengomtaufipa ? .
 
kumbe wewe ni Mange?hongera!
JS acha kuchanganyikiwa,, umelikoroga lazima ulinywe. Unapenda sana kuleta mada za kukashifu watu kwa ID hii lakini wamekugundua.
Hakika kwa atakayo yaweka hadharani yakuhusuyo ni bora ukaomba talaka mwenyewe maana yule kijana wa watuvatashindwa kukuvumilia
 
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
.
Sema wewe kwanza, nani anakufadhili kulia lia humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom