CHADEMA wanaibomoa Tanzania badala ya CCM?

Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
Rafiki ukiona waliokupigia kura huwathamini bali unathamini mnyama moja, yaani uko radhi mnyama afukuliwe kwa uchunguzi lakini michango ya rambirambi ya waliokupigia kura unakula kibabe!!! Usitafute mchawi nchi ikiwashinda msitaute akiyewaroga mmejiroga wenyewe.
 
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?

Inaelekea wewe unaishi ulaya.... km mikutano ya mwembechai mbowe atakosa wa kuja kwanini inapigwa marufuku?

CCM ndio inajiita serikali na serikali ndio mratibu wa kampeni za CCM.... ukitaka kujua serikali imeuvaa u-CCM soma uliloandika.... unadhani kwanini CDM kwako inaonekana inapambana na serikali? Ni kwasababu unaamini serikali/CCM ni kitu kimoja....! Na ndio maana serikali yetu haina uwezo wa kuleta maendeleo kwa Watanzania nje ya wanaCCM....!!

Serikali inaamini upinzani ni uadui na ikiwezekana ni ugaidi...! lakini bado inakusanya kodi kwa Watanzania inaoamini ni maadui kwa nia ya kuendesha serikali hiyo hiyo ya u-CCM
 
mkuu umewadadavua vizuri....wewe ni mzalendo wa nchi hii
 
Unao ushahidi kwamba Mbowe anamlipa Mange ili kufanya propaganda chafu?
Mada kama hizi za kupumbavu zinashusha hadhi ya JF.

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG].
unahitaji ushahidi upi dogo?
 
HUU NI UCHOCHEZI AU UNAFYAGILIA CDM MAANA SIKUELEWI
 
Inaelekea wewe unaishi ulaya.... km mikutano ya mwembechai mbowe atakosa wa kuja kwanini inapigwa marufuku?

CCM ndio inajiita serikali na serikali ndio mratibu wa kampeni za CCM.... ukitaka kujua serikali imeuvaa u-CCM soma uliloandika.... unadhani kwanini CDM kwako inaonekana inapambana na serikali? Ni kwasababu unaamini serikali/CCM ni kitu kimoja....! Na ndio maana serikali yetu haina uwezo wa kuleta maendeleo kwa Watanzania nje ya wanaCCM....!!

Serikali inaamini upinzani ni uadui na ikiwezekana ni ugaidi...! lakini bado inakusanya kodi kwa Watanzania inaoamini ni maadui kwa nia ya kuendesha serikali hiyo hiyo ya u-CCM
chadema wanapambana na maslahi ya Tanzania kwa maslahi ya nani?
 
Hueleweki Mara wanabomoa nchi tena wamewadharau na kuwapuuza sasa unalalamikia nn?Chadema wamekula rambirambi za bukoba?wamepandisha bei ya sukari?wamezuia binge live?wamezuia mikutano ya siasa nchi nzima?wamewanyima mikopo wanavyuo?ndo waliwaita vilaza wale was UDOM na kuwafukuza usiku?ndo wamefukia maiti saba fasta bila uchunguzi huko ruvu?ndo wamezuia ajira serikalini?ndio wamezuia maandamano?ndio wamemteka Ben saanane?ndo waliomshikilia Lema kisongo ili wamkomoe?ndio wamekamata Mello kumkomoa?ndo waliahidi Tanzania ya viwanda wakashindwa wanategemea wawekezaji wa nje lakini hawaendi kuongea nao huko kwao?ndio wametangaza zika ipo Tanzania? ndio wamesababisha uhaba wa madawa Hospitalini wakiulizwa wazili anasema zipo kesho wakamu wao wa rais anasema kuna upungufu?ndio wanatamani malaika washuke wazime mitandao ya kijamii?ndio wana uchungu na faru John kuliko uhai wa binadamu?ndio wamepora ushindi wa uraisi Zanzibar?jinga jinga ww.
rudi shule ujifunze kuandika na kusoma.
 
Ndio hivyo mkuu yaani wamejawa chuki na maslahi ya Tanzania sijui kwanini? wapo machafuko yatokee.

Ukiona mwananchi anadhani kukosoa ni chuki au ufitini ujue amezoea maneno yaa khanga

Fitna na Chuki ni matendo dhaifu sana ktk ujenzi wa taifa lolote km haya yanaweza wakawakera basi taifa linawatendaji wenye uwezo dhaifu sana kuisimamia
 
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?

Wapuuzi tu
 
Ukitaka kumjua aliyepungukiwa, soma maandiko yake na uone kama kuna vielelezo vyovyote anavyovitumia katika kujenga hoja. Thread hii ni mfano mzuri wa mtu aliyepungukiwa uwezo wa kujenga hoja.

Nimetizama mwanzo mwisho sikuona vielelezo au rejea yoyote. Imekaa kama hadithi ya kufikirika. Uandishi kama huu ni wa kuwapotezea muda wanajukwaa.
 
unaacha kunyonyesha mwanao unakuja huku kwenye baraza la wazee.
Mie nawanyonyesha kama wewe. Umemchokoza Mange ngoja mwanamke mwenzio akufungukie kama yule mumeo hajajua kwa nini toka ndoa mpaka leo haijibu.
Ataeleza ulivyofanya matumizi mabaya ya kifaa
 
Binti,hili ni baraza la wazee...nenda jikoni hatukuruhusu kimila kukaa hapa.
 
Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.

Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.

Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?

Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.

Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?

Tutamlipaje KADA wenu mliyemnyima UBUNGE??Hebu kaa chini ufanye kazi za CCM za CDM tuachie wenyewe wanachama wa CDM
 
Ukitaka kumjua aliyepungukiwa, soma maandiko yake na uone kama kuna vielelezo vyovyote anavyovitumia katika kujenga hoja. Thread hii ni mfano mzuri wa mtu aliyepungukiwa uwezo wa kujenga hoja.

Nimetizama mwanzo mwisho sikuona vielelezo au rejea yoyote. Imekaa kama hadithi ya kufikirika. Uandishi kama huu ni wa kuwapotezea muda wanajukwaa.
Mbona unaweweseka ndugu? umeamua kupoteza muda kwa 'watu waliopungukiwa uwezo wa kujenga hoja?'. Jipime,chukua hatua ya kwenda kupima akili.
 
Tutamlipaje KADA wenu mliyemnyima UBUNGE??Hebu kaa chini ufanye kazi za CCM za CDM tuachie wenyewe wanachama wa CDM
Ndugu chadema ni CCM 'B' si mbaya kuwaangalia wanaendeleaje.
 
Cdm we a not allowed to speak public cos they are afraid of us
 
Back
Top Bottom