Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
Ndugu chadema ni CCM 'B' si mbaya kuwaangalia wanaendeleaje.
Hahhaha ingekuwa CCM B mngeiruhusu ifanye Mikutano,lakini sababu mnaijua maana yake kamili lazima mfadhaike
Ndugu chadema ni CCM 'B' si mbaya kuwaangalia wanaendeleaje.
Mange anatumwa na Mbowe.... wewe unatumwa na nan??Ukiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.
Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.
Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?
Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.
Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
Unaniita binti? Hujui kwa nini wananiita Chakaza. July nakuhakikishia ungekuwa kwangu wewe tokea uveshwe shela ungeshakuwa na kadi mbili tofauti za clinic.Binti,hili ni baraza la wazee...nenda jikoni hatukuruhusu kimila kukaa hapa.
mimba za utotoni zimekuathiri sana binti,uje CCBRT kwa matibabu ya fistula.Unaniita binti? Hujui kwa nini wananiita Chakaza. July nakuhakikishia ungekuwa kwangu wewe tokea uveshwe shela ungeshakuwa na kadi mbili tofauti za clinic.
Ni jambo la kuhuzunisha kuwa unaona wenzako tuu wanaenda wewe ng'o!
jenga hoja na si kulia lia.uwiiiii umeandika nini haya?!!!buku saba hizi zinawa aibisha
nijenge hoja wapi?hapa ni mwendo wa vihoja tujenga hoja na si kulia lia.
Booooooooooooooo!!!!!limeumbukaaaarudi shule ujifunze kuandika na kusoma.

We bwabwaja tuu, Mange huko kwao sasa hivi wamelala. Akiamka utajuta na huko bungeni sijui utaweka wapi sura yako maana atakubomoa waziwazimimba za utotoni zimekuathiri sana binti,uje CCBRT kwa matibabu ya fistula.
Mpe vyake katumwa uyoUnao ushahidi kwamba Mbowe anamlipa Mange ili kufanya propaganda chafu?
Mada kama hizi za kupumbavu zinashusha hadhi ya JF.
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG].
kumbe wewe ni Mange?hongera!We bwabwaja tuu, Mange huko kwao sasa hivi wamelala. Akiamka utajuta na huko bungeni sijui utaweka wapi sura yako maana atakubomoa waziwazi
lazima hoja imekuchoma,matusi ni dalili ya dawa kuingia.Acha usenge mavi
Watu kama nyie ndio chama kinawaitajiUkiangalia kwa kina Chadema wamejielekeza kuibomoa nchi katika Nyanja za kiuchumi,kijamii na kiutamaduni. Kwa sasa ni dhahiri Chadema na wafuasi wake wamejielekeza kuibomoa na kuifitini nchi. Wamewekeza nguvu nyingi kuharibu taswira ya nchi, kufadhili waharibifu wa rasilimali, kuchochea machafuko na kuhakikisha wananchi wanagoma japo wanashindwa.
Ni dhahiri wananchi walio wengi wamewapuuza, wamewadharau na hawafuati maovu yao, mara kadhaa wameshindwa kuwashawishi wananchi kuwaunga mkono wamebaki kulaumu serikali. Ni nani atakayemwamini Mbowe akisimama jukwaani awaambie wananchi wachangie ujenzi wa huduma za jamii ili hali ametumia muda mwingi kuwahamasisha wagomee huduma hizo? kila mtu atajiuliza huyu 'shetani' kazeeka hadi kugeuka malaika kutushauri mambo ya muhimu?.
Je leo Mbowe na washirika wake wanaweza kwenda Mwembeyanga na kuueleza umma wakaaminika?
Mbowe leo anamlipa mamilioni ya ruzuku Mange Kimambi kufanya propaganda chafu huku akiwaacha na njaa vijana wake kama akina Yeriko ,Malisa na wengine? ni kweli Mange ana mashiko? mange huyu anaweza kukaa meza moja na Lowassa?. Tufike mahali chadema waelewe hamwezi kuhamishia hasira kwa taifa kwa kuishindwa CCM, Chanzo kikuu cha kushindwa ni sababu moja tu ni mbinu yenu mbovu kutumia wagombe 'mitunguo' /oili chafu kupambana na CCM, hamwezi kuishindwa kamwe,mtaishia kujilaumu wenyewe kwa wenyewe msipate suluhisho.
Nini madhumuni ya mpango huu? nani anawafadhili kutekeleza mipango hii? kwanini ile nguvu ya umma waliyoitegemea imekwisha?
mimba za utotoni zimekuathiri sana binti,uje CCBRT kwa matibabu ya fistula.
Hueleweki Mara wanabomoa nchi tena wamewadharau na kuwapuuza sasa unalalamikia nn?Chadema wamekula rambirambi za bukoba?wamepandisha bei ya sukari?wamezuia binge live?wamezuia mikutano ya siasa nchi nzima?wamewanyima mikopo wanavyuo?ndo waliwaita vilaza wale was UDOM na kuwafukuza usiku?ndo wamefukia maiti saba fasta bila uchunguzi huko ruvu?ndo wamezuia ajira serikalini?ndio wamezuia maandamano?ndio wamemteka Ben saanane?ndo waliomshikilia Lema kisongo ili wamkomoe?ndio wamekamata Mello kumkomoa?ndo waliahidi Tanzania ya viwanda wakashindwa wanategemea wawekezaji wa nje lakini hawaendi kuongea nao huko kwao?ndio wametangaza zika ipo Tanzania? ndio wamesababisha uhaba wa madawa Hospitalini wakiulizwa wazili anasema zipo kesho wakamu wao wa rais anasema kuna upungufu?ndio wanatamani malaika washuke i mitandao ya kijamii?ndio wana uchungu na faru John kuliko uhai wa binadamu?ndio wamepora ushindi wa uraisi Zanzibar?jinga jinga ww.
Hueleweki Mara wanabomoa nchi tena wamewadharau na kuwapuuza sasa unalalamikia nn?Chadema wamekula rambirambi za bukoba?wamepandisha bei ya sukari?wamezuia binge live?wamezuia mikutano ya siasa nchi nzima?wamewanyima mikopo wanavyuo?ndo waliwaita vilaza wale was UDOM na kuwafukuza usiku?ndo wamefukia maiti saba fasta bila uchunguzi huko ruvu?ndo wamezuia ajira serikalini?ndio wamezuia maandamano?ndio wamemteka Ben saanane?ndo waliomshikilia Lema kisongo ili wamkomoe?ndio wamekamata Mello kumkomoa?ndo waliahidi Tanzania ya viwanda wakashindwa wanategemea wawekezaji wa nje lakini hawaendi kuongea nao huko kwao?ndio wametangaza zika ipo Tanzania? ndio wamesababisha uhaba wa madawa Hospitalini wakiulizwa wazili anasema zipo kesho wakamu wao wa rais anasema kuna upungufu?ndio wanatamani malaika washuke wazime mitandao ya kijamii?ndio wana uchungu na faru John kuliko uhai wa binadamu?ndio wamepora ushindi wa uraisi Zanzibar?jinga jinga ww.

Siyo za kipumbavu tu, ila mlete uzi ni mchochozi na adui wa nchi hii, hawa ndiyo waleta maasi na maafa ya kisiasa. Mkuu huyu mtu aondoke nchi hii aende kwao. Huyu siyo mtz. Huyu mtu anaegemea ccm ili mandiko yake yakubalike. Tusimfungie macho huyu au tumwone mjinga, huyu katumwa.Unao ushahidi kwamba Mbowe anamlipa Mange ili kufanya propaganda chafu?
Mada kama hizi za kupumbavu zinashusha hadhi ya JF.
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG].
Ukitaka kumjua aliyepungukiwa, soma maandiko yake na uone kama kuna vielelezo vyovyote anavyovitumia katika kujenga hoja. Thread hii ni mfano mzuri wa mtu aliyepungukiwa uwezo wa kujenga hoja.
Nimetizama mwanzo mwisho sikuona vielelezo au rejea yoyote. Imekaa kama hadithi ya kufikirika. Uandishi kama huu ni wa kuwapotezea muda wanajukwaa.