CHADEMA wanafikiria namna bora ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha

Hiyo Propaganda hata mtoto mdogo anayesoma chekechea atabaini kuwa unampiga fix!

CCM bila Jeshi la Polisi na vyombo vya dola ni wepesi kama katatasi ya tissue!
Inawezenaje Serikali kukosa jeshi na polisi?
 
Hivi kwa nini CCM wanatumia nguvu sana humu mitandaoni kuhusu Kinondoni? Siha sioni, kuna nini? Nasikia wamekataa kuwaapisha mawakala wa CDM! Kuna mtu anaitwa Wandamba nadhani anaweka machapisho si chini ya 1000 kwa siku hapa JF
Wasusie tu tena.
 
Mmeshaanza kutengeneza sababu

Pole sana.Naona wakati wa kuomba kura,sidhani kama hata wazazi wenu mnawafanyia hivi.Ukiona mtu anakusalimia kila dakika ujue anataka kukupiga tu.

Wakati wa kuomba kura hata mkiambiwa mchapwe viboko naona mtakubali.Na wewe nenda kapige magoti uwasujudie wapiga kura.

DVxLXYtXkAU3-Jc.jpg
 
Yupo sahihi kura wanaombwa wananchi na si kwenye keyboard
 
Back
Top Bottom