Wewe unayo, hopeless moving figureNdugu unajitahidi kutetea CHADEMA, hivi huwaga huna Shughuli nyingine ?
Wewe unayo, hopeless moving figureNdugu unajitahidi kutetea CHADEMA, hivi huwaga huna Shughuli nyingine ?
Inawezenaje Serikali kukosa jeshi na polisi?Hiyo Propaganda hata mtoto mdogo anayesoma chekechea atabaini kuwa unampiga fix!
CCM bila Jeshi la Polisi na vyombo vya dola ni wepesi kama katatasi ya tissue!
Wasusie tena, sab si zile zile za mwanzo.Aibu waziri anawashwa washwa. Mpango wenu wa kuwanyima mawakala wa CHADEMA wasiapishwe hadharani. Jitayarisheni kwa kimbunga
Barua za nini? Hawapati.Naona kila baada ya dakika kumi ni Uzi wa Kinondoni.Wapeni Mawakala barua acheni ujuha
Wasusie tu tena.Hivi kwa nini CCM wanatumia nguvu sana humu mitandaoni kuhusu Kinondoni? Siha sioni, kuna nini? Nasikia wamekataa kuwaapisha mawakala wa CDM! Kuna mtu anaitwa Wandamba nadhani anaweka machapisho si chini ya 1000 kwa siku hapa JF
Mmeshaanza kutengeneza sababu
Pole sana.Naona wakati wa kuomba kura,sidhani kama hata wazazi wenu mnawafanyia hivi.Ukiona mtu anakusalimia kila dakika ujue anataka kukupiga tu.
Wakati wa kuomba kura hata mkiambiwa mchapwe viboko naona mtakubali.Na wewe nenda kapige magoti uwasujudie wapiga kura.
Yupo sahihi kura wanaombwa wananchi na si kwenye keyboard