Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Wakuu mambo si shwari ndani ya Chadema , Kuna mnyukano mkali unaendelea chini kwa chini toka mkanda wa maongezi uvuje uliokuwa unam mock Lissu.
Sasa ni siku ya nne ndugu Lissu anashauriwa na wanafamilia na marafiki wasiokuwa wanasiasa ajiondoe kwenye mchujo wakiamini tayari umeingia dosari ila bwana mkubwa Lissu hajakubaliana nao bado akiamini bado ana nafasi.
Kwa mujibu wa wanyetishaji kamanda anataka Mbowe ajitoe kwenye mchakato kwani anaamini Mbowe ananguvu sana hata hawezi kumshinda
Kufanya hivyo ndio anaweza kurudi nyumbani kushiriki kumpata mgombea wa CHADEMA.
Anasema kama Mbowe hajajitoa kwenye mchakato atachukua maamuzi mengine nadhani hapa atachukua maamuzi ya familia.
Kutokana na sintofahamu hii wazee wa chama wanaendelea na mashauriano.
Tutaendelea kukuletea taarfa kama zinazojiri.