CHADEMA wanafikiria namna bora ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha

Aibu waziri anawashwa washwa. Mpango wenu wa kuwanyima mawakala wa CHADEMA wasiapishwe hadharani. Jitayarisheni kwa kimbunga
Kamanda hii mbinu ya Chadema kujidhuru ili kujenga taswira ya kuonewa imeshtukiwa na wananchi
 
Unaishi Kinondoni sehemu gani? Au nawewe ni keyboard warrior
 
Mtajitoa nyinyi, subirini kadri siku zinavyosogea kuelekea uchaguzi utajua vema chadema wanatania au wanasema kitu walichodhamiria, pamoja na mbinu chafu za kizandiki lkn taarifa za ndani zinadai chadema wamejiandaa kufa kwa ajili ya kupinga dhuluma, unyanyasaji na uminywaji wa demokrasia kwenye uchaguzi, hakika nakwambia mtonyaji wangu ameniambia tayari vikosi vyote vyenye weledi wa kukabiliana na policcm na Tissccm vimewasili jijini Dar kuungana na walioko Dar, wengine tunaona umwagaji damu utatamalaki kama ccm wataendelea na electoral fraud hususan ni intimidation na mengine kama hayo.

Mikakati yote ya kukutana na wapiga kura (voter contact activities) ccm wamezidiwa iwe ni public meeting au door to door na nyinginezo tathimini inaonyesha ccm wamezidiwa.

Na mmoja wa wanamikakati amenitonya kwamba hata hesabu za ku-calculate base voters wa chadema sambamba na wale swing voters kupitia kanuni inayojengwa na category of polling stations ccm wamezidiwa.
Sasa mleta uzi sijui umetumwa na nani kutaka kupotosha watu hapa JF.
Muda ni mwalimu mzuri, tusubiri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…