Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
- Thread starter
- #41
Habari ndio hiyoSubiri tarehe 17 ifike ndio ulete huu upuzi wako.
Habari ndio hiyoSubiri tarehe 17 ifike ndio ulete huu upuzi wako.
Kamanda hii mbinu ya Chadema kujidhuru ili kujenga taswira ya kuonewa imeshtukiwa na wananchiAibu waziri anawashwa washwa. Mpango wenu wa kuwanyima mawakala wa CHADEMA wasiapishwe hadharani. Jitayarisheni kwa kimbunga
Jikite kwenye hojaUzi wa kijinga sana !
Jikite kwenye hojaCCM na akili za kuku
Umeanza link?Nyie na nani? I am neither CCM nor CDM, I stand for justice
Unaishi Kinondoni sehemu gani? Au nawewe ni keyboard warriorMuwape mawakala barua ..leo tumemzika aliyekuwa meneja kampeni msaidizi marehemu Tambwe..
Kesho tunarejea..
Yani huu uzushi waaminishe wasio wana kinondoni.
Awamu hii hapa kinondoni CCM mtakimbia nawaambia.
Vijana tupo mitaani nyumba kwa nyumba. Hii ni style iliyowachanganya sana CCM.
PovuRubbish.
source of information is important for whatever you post here if you are not an originator!Umeanza link?
Hujambo?source of information is important for whatever you post here if you are not an originator!
Hujambo?source of information is important for whatever you post here if you are not an originator!
Unamsalimia nani? maana sikuelewiHujambo?
Hujambo?source ni Ufipasource of information is important for whatever you post here if you are not an originator!
Indeed walahi!ni mtulia tena kinondoni ccm mbele kwa mbele ushindi wa kimbungaaa
makarai peleka kwenye ujenzi hapa kazi tu.wapinzani na muisome namba.
wewe hii umepost nini? huna la kufanya?Ndugu unajitahidi kutetea CHADEMA, hivi huwaga huna Shughuli nyingine ?
Jamaa akishaandika kizungu chake cha kuombea maji huwaga anajionaa, utafikiri ndio ameambiwa ataenda mbinguni, duh.Hujambo?
Kwa sababu CHADEMA siyo wananchi?Kamanda hii mbinu ya Chadema kujidhuru ili kujenga taswira ya kuonewa imeshtukiwa na wananchi
Mtajitoa nyinyi, subirini kadri siku zinavyosogea kuelekea uchaguzi utajua vema chadema wanatania au wanasema kitu walichodhamiria, pamoja na mbinu chafu za kizandiki lkn taarifa za ndani zinadai chadema wamejiandaa kufa kwa ajili ya kupinga dhuluma, unyanyasaji na uminywaji wa demokrasia kwenye uchaguzi, hakika nakwambia mtonyaji wangu ameniambia tayari vikosi vyote vyenye weledi wa kukabiliana na policcm na Tissccm vimewasili jijini Dar kuungana na walioko Dar, wengine tunaona umwagaji damu utatamalaki kama ccm wataendelea na electoral fraud hususan ni intimidation na mengine kama hayo.Igwe wanaJF
Mambo ni hivi!! huenda wanamikakati wa Chadema sasa wanafikiria namna bora ya kuutangazia umma wa watanzania kuwa wanajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha. Kwa sasa itabidi waje na sababu mpya maanake ile ya kuminywa demokrasia wananchi wameichoka.
Wengi walimshauri Mbowe kutoshiriki ili kuepuka aibu na angeendelea na ile ile sababu ya kuwa wao 'wananyanyaswa na kuuawa' lakini kwa sasa baada ya uchaguzi siri itafichuka kumbe hata kwenye kata 43 na Longido wananchi waliwakataa.
Sasa mambo ni hivi..hivi....hiviii! Ni wakati was kuacha kujiaminisha Kongo na kuukubali ukweli kwamba Chadema imefubaa.
Naam,namaliza kwa kusisitiza....Chadema mambo ni hiviii!