CHADEMA wanafikiria namna bora ya kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha

Aibu waziri anawashwa washwa. Mpango wenu wa kuwanyima mawakala wa CHADEMA wasiapishwe hadharani. Jitayarisheni kwa kimbunga
Kamanda hii mbinu ya Chadema kujidhuru ili kujenga taswira ya kuonewa imeshtukiwa na wananchi
 
CCM na akili za kuku
8e5d622d052e29f27e7aaa583666995e.jpg
Jikite kwenye hoja
 
Muwape mawakala barua ..leo tumemzika aliyekuwa meneja kampeni msaidizi marehemu Tambwe..
Kesho tunarejea..

Yani huu uzushi waaminishe wasio wana kinondoni.

Awamu hii hapa kinondoni CCM mtakimbia nawaambia.
Vijana tupo mitaani nyumba kwa nyumba. Hii ni style iliyowachanganya sana CCM.
Unaishi Kinondoni sehemu gani? Au nawewe ni keyboard warrior
 
Igwe wanaJF

Mambo ni hivi!! huenda wanamikakati wa Chadema sasa wanafikiria namna bora ya kuutangazia umma wa watanzania kuwa wanajitoa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kinondoni na Siha. Kwa sasa itabidi waje na sababu mpya maanake ile ya kuminywa demokrasia wananchi wameichoka.

Wengi walimshauri Mbowe kutoshiriki ili kuepuka aibu na angeendelea na ile ile sababu ya kuwa wao 'wananyanyaswa na kuuawa' lakini kwa sasa baada ya uchaguzi siri itafichuka kumbe hata kwenye kata 43 na Longido wananchi waliwakataa.

Sasa mambo ni hivi..hivi....hiviii! Ni wakati was kuacha kujiaminisha Kongo na kuukubali ukweli kwamba Chadema imefubaa.

Naam,namaliza kwa kusisitiza....Chadema mambo ni hiviii!
Mtajitoa nyinyi, subirini kadri siku zinavyosogea kuelekea uchaguzi utajua vema chadema wanatania au wanasema kitu walichodhamiria, pamoja na mbinu chafu za kizandiki lkn taarifa za ndani zinadai chadema wamejiandaa kufa kwa ajili ya kupinga dhuluma, unyanyasaji na uminywaji wa demokrasia kwenye uchaguzi, hakika nakwambia mtonyaji wangu ameniambia tayari vikosi vyote vyenye weledi wa kukabiliana na policcm na Tissccm vimewasili jijini Dar kuungana na walioko Dar, wengine tunaona umwagaji damu utatamalaki kama ccm wataendelea na electoral fraud hususan ni intimidation na mengine kama hayo.

Mikakati yote ya kukutana na wapiga kura (voter contact activities) ccm wamezidiwa iwe ni public meeting au door to door na nyinginezo tathimini inaonyesha ccm wamezidiwa.

Na mmoja wa wanamikakati amenitonya kwamba hata hesabu za ku-calculate base voters wa chadema sambamba na wale swing voters kupitia kanuni inayojengwa na category of polling stations ccm wamezidiwa.
Sasa mleta uzi sijui umetumwa na nani kutaka kupotosha watu hapa JF.
Muda ni mwalimu mzuri, tusubiri tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom