Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi
Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.