CHADEMA wana watu wa kuunda Serikali endapo watachukua nchi?

Jemmie

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
216
285
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Chadema itafutilia mbali wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa , viongozi wachache watakaowekwa wanapaswa kufuata misingi ya Katiba ya nchi , Chadema haihitaji kiongozi atakayekuwa mtumwa wa chama
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

..TANU iliunda vipi serekali wakati tunapata Uhuru?

..ANC iliunda vipi serekali wakati utawala wa makaburu uliposalimu amri?

..kuna waTz wengi wasio na vyama ambao wana sifa za kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali.

..Na wakati umefika kwa teuzi kuzingatia UWEZO badala ya loyalty kwa vyama vya siasa.
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Wewe kweli punguani.
Nani aliyekudanganya wengine lazima wafuate Chama Cha Majinga (CCM) model of governance??
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Acha ujinga nyie mmekariri kazi zote zinawastahili wana Lumumba tu Tanzania inawasomi mamilioni iweje wakosekane watu wenye akili timamu kushika nyazifa,? Hivi unadhani sisi hatutamani kufanya kazi za serikali? Ambao hatuko ccm
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Tupo wengi sana. Kama Bashite na akina Jerry Muro wameweza, CHADEMA hawatakosa majembe ya kushikilia hizo nafasi kwa ufanisi mkubwa kushinda hawa zero brain waliopo.
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Ukiondoa mawaziri na manaibu waziri, hizo zingine zote hazihitaji wanasiasa. Pia, siyo mawaziri wote ni wanasiasa, baadhi yao wanateuliwa tu kuwa wabunge na kupewa uwaziri
 
Chadema hakuna kabisa kama tangia atoke mtei mpaka leo mwenyekiti ni yuleyule.miaka nenda miaka rudi hii inamaanisha chadema hakuna option ya viongozi zaidi ya mbowe anayeweza kufit uwenyekiti,......sasa huku kwengine kwenye ngazi za chini ndo itakuwa ni kusagula sagula tuu bora apatikane mtu wa kukaa kwenye ofisi.
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Sasa nimeamini kuwa akili za wana lumumba zimeliwa na popo. Yaani unafikiri kazi ya kuendesha serekali ya nchi ni jukumu la wanachama wa chama kilichoshinda uchaguzi. Mmeisha jenga hizo fikra kiasi cha kuwa mnakanyagana wenyewe kwa wenyewe, mnajipendekeza na kuramba miguu ya viongozi wenu ili mteuliwe kwenye nafasi za uongozi. Viongozi wenu wamesajengea hisia kuwa nafasi za uongozi serekalini ni za wana ccm tu. Mkuu ni aibu kusema eti chama cha upinzani kikishika madaraka kitakosa watendaji wa kuongoza serekali. Tanzania ina raia takribani milioni 40 na zaidi, watakosaje idadi ndogo kama hiyo kuwateua. Kumbuka mkuu raia yoyote wa Tanzania anahaki ya kupewa madaraka serekalini ilimradi awe na sifa, awe hana chama au mwanachama wa chama cha siasa. Mkuu hao watendaji mahiri wenye sifa ws ccm ni akina bashite au sio?
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Serikali uundwa kwa miongozo IPO.Kama wanaweza teuliwa toka upinzani watashindwa vipi,ukiwezaongoza chama utoshindwa kuongoza nchi
 
Chadema hakuna kabisa kama tangia atoke mtei mpaka leo mwenyekiti ni yuleyule.miaka nenda miaka rudi hii inamaanisha chadema hakuna option ya viongozi zaidi ya mbowe anayeweza kufit uwenyekiti,......sasa huku kwengine kwenye ngazi za chini ndo itakuwa ni kusagula sagula tuu bora apatikane mtu wa kukaa kwenye ofisi.
Hiyo serikali yao watajazana wachaga kuanzia mawaziri mpaka wafagiaji ofisini. Rejea Ufipa jinsi mameku walivyojazana.
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Ccm yenye wajinga wengi ina watawalaje,??
 
Tanzania ina watu zaidi ya milioni 50, kati ya hao kuna mamilioni wenye uwezo wa kuingoza, tatizo mmedumaa akili kwenu nyie kiongozi lazima awe mtoto wa kada fulani mkongwe! wazandiki wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom