CHADEMA wana watu wa kuunda Serikali endapo watachukua nchi?

hakuna pale shule hakuna.uzoefu hakuna.labda majungu na kuteka watu.
Ndipo mnapofanya JF watu wajitoe Kwa vile sio tena home of great thinkers bali group la wajinga na mbumbumbu.
Kazi za kitendaji za serikali sio za siasa ni za watanzania wenye sifa za taaluma sio itikadi ya siasa.
Sasa kujadili mambo ya siasa na MTU ambaye hata hilo halijui in kupoteza muda.
Kuna msemo usemao "Don't argue with a fool people might not notice a difference"
Ndio kuhusu kundi lenu hilo la f....s

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema itafutilia mbali wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa , viongozi wachache watakaowekwa wanapaswa kufuata misingi ya Katiba ya nchi , Chadema haihitaji kiongozi atakayekuwa mtumwa wa chama
..TANU iliunda vipi serekali wakati tunapata Uhuru?

..ANC iliunda vipi serekali wakati utawala wa makaburu uliposalimu amri?

..kuna waTz wengi wasio na vyama ambao wana sifa za kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali.

..Na wakati umefika kwa teuzi kuzingatia UWEZO badala ya loyalty kwa vyama vya siasa.
nimeridhika na haya majibu hapa.
 
..TANU iliunda vipi serekali wakati tunapata Uhuru?

..ANC iliunda vipi serekali wakati utawala wa makaburu uliposalimu amri?

..kuna waTz wengi wasio na vyama ambao wana sifa za kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali.

..Na wakati umefika kwa teuzi kuzingatia UWEZO badala ya loyalty kwa vyama vya siasa.
Hao Watanzania wengi wasio na Vyama na wana sifa za kushika nafasi mbalimbali ni kama wale wakina Joyce Mukya na mahawara zenu wengine mliowapa nafasi za Ubunge wa viti maalum huko Chadema!?
Pathetic!
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Mimi nina hakika kuna watu makini wa kuunda serikali kutoka CHADEMA kuliko hata hawa waliounda serikali ya sasa.

Hii serikali ya sasa, wamo mpaka waliowahi kuiba baruti kule Nzega, walioomba rushwa kwa wakurugenzi wakiwa wajumbe wa kamati za Bunge, wapo wanaotumia majina yasiyo yao, wapo waliozungusha form 4, n.k.
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Akili za aina hii huwa zinajifanya niamini CCM ndicho chama chenye vijana wasomi mbumbumbu kuliko vyama vyote vya siasa duniani.
Hivi upuuzi unaofanywa na Magufuli wa kuteua Makada wa CCM (Sahihi kuwaita makapi ya uchaguzi) katika nafasi za utendaji kama uDED, DAS, RAS, Wakuu wa Mashirika ya Umma ndio mnaona ni sahihi? Nafasi za kisiasa zinazoendana na siasa (Ukada) nchini kwa mujibu wa katiba hazizidi 5 (1.Dc, 2.Rc, 3.Waziri, 4.Naibu Waziri, 5.....).

Na hawa ndio wanaotuharibia nchi kwa kuingiza siasa sehemu zinazo hitaji taaluma.
 
Hao Watanzania wengi wasio na Vyama na wana sifa za kushika nafasi mbalimbali ni kama wale wakina Joyce Mukya na mahawara zenu wengine mliowapa nafasi za Ubunge wa viti maalum huko Chadema!?
Pathetic!
Unatia huruma kwa kuwa mjinga beyond acceptable level.
Nini tatizo lako? Kukosa malezi au malezi ya hovyo tuwalaumu wazazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi

Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.

Kumbuka chadema sera yao ni majimbo na ukanda(county). Watakuwa na system tofauti ya kibaguzi, kidini na kikabila. Kwa hiyo kwao wao hawahitaji watu wwnye weledi kuongoza nchi. Na ndio maana hata kama wananchi wajinga watashawishika na ujinga wa chadema na kuwachagua, kamwe hatuwezi kuwapa nchi. CCM itatawala milele katika nchi ya Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema itafutilia mbali wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa , viongozi wachache watakaowekwa wanapaswa kufuata misingi ya Katiba ya nchi , Chadema haihitaji kiongozi atakayekuwa mtumwa wa chama

Seems huwafahamu wanasiasa, kama unadhani kuna tofauti kati ya CCM na CDM nakupa pole, pamoja na wote wanaodhani kuwa kuna chama kitakuja kuleta mabadiliko including CCM.
 
Wasomi ni wengi sana nchi hii na hawana kazi , chadema itateua wote nnje ya koo 26 nufaika na wamiliki wa ccm .
 
Chadema itafutilia mbali wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa , viongozi wachache watakaowekwa wanapaswa kufuata misingi ya Katiba ya nchi , Chadema haihitaji kiongozi atakayekuwa mtumwa wa chama
Kwa hiyo kwa kuwa hamna watu wa kujaza hizo nafasi mnaona option iliyopo ni kufuta hizo nafasi? Mawaziri na manaibu waziri mnao?
 
Kama kawaida. Swali la msingi ila halijibiwi bali kejeli. Ni ushahidi tosha kuwa chadema haina hao watu.
 
Back
Top Bottom