Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
YES KAFULILA !Tumbili unamaanisha KAFULILA

Acha roho mbaya wewe, wachaga wameenda shule toka kitambo . Tukiwa shule nyie mko mnachunga.Hiyo serikali yao watajazana wachaga kuanzia mawaziri mpaka wafagiaji ofisini. Rejea Ufipa jinsi mameku walivyojazana.
Nimekupopoa eeh...??? Poleee...!!!Acha roho mbaya wewe, wachaga wameenda shule toka kitambo . Tukiwa shule nyie mko mnachunga.
Hiyo zamani .."mabeberu"watakuja kuwanyosha ..Na migambo yenu itaufyata..reference Gambia Na Ivory coastKumbuka chadema sera yao ni majimbo na ukanda(county). Watakuwa na system tofauti ya kibaguzi, kidini na kikabila. Kwa hiyo kwao wao hawahitaji watu wwnye weledi kuongoza nchi. Na ndio maana hata kama wananchi wajinga watashawishika na ujinga wa chadema na kuwachagua, kamwe hatuwezi kuwapa nchi. CCM itatawala milele katika nchi ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisubiri hoja kama hii na sasa umejileta. Wakati upinzani bado ni upinzani kuna watu bora kabisa ambao wananunuliwa kwa bei mbaya waisaidie serikali ya chama kilichoshinda-CCM. Itakuwaje upinzani ukishinda wenyewe? Hebu fikiria, Mhe.Waitara, Dr. Slaa, Kafurila, Mama Anna Mgwira, Parobas Katambi, Manchali, Karanga, Mtulia, Dr. Molel, Mukundi, Prof. Kitila Mkumbo; hawa wamepatikana kabla ya upinzani kushinda! Je ukishinda ( upinzani) wenyewe?Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi
Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.
Wewe kuna nafasi kabla hujateuliwa lazima uwe mtu wa chama tena unaeaminika na hicho ndicho wapinzani hawana wataunda serikali yenye mamluki kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndio matatizo yetu waafrika sasa mkurugenzi awe kada ili iweje wakati ni muajiliwaBinafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi
Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.
Hoja dhaifu sana. Usitake kutuaminisha kuwa hakuna watu wanaoweza kuongoza katika vyama vya upinzani. Hiyo ni akili ya alieshikiwa akili. Kila mtu ana uwezo was kutenda. Tofauti za viwango zipo kwa asili na hazichagui chama. Bali zinategemea kwa kiwango kikubwa matakwa ya kikatiba, uhusiano na jamii, majukumu ya nafasi na utashi binafsi wa mhusika.Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi
Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.
Sugu waziri wa michezo
Lema waziri wa mambo ya nje
Msigwa waziri wa kilimo
Mdee waziri wa sheria
Hahahahahjahah itakuwa kituko cha karne
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???
Watatakiwa kuwa na watu wakufiti nafasi zifuatazo.
1. Mawaziri na manaibu waziri wasiopungua 40 itategemea na muundo wa wizara.
2. Wakuu wa mikoa 26
3. Wakurugenzi wa mikoa 26
4. Wakuu wa wilaya 138
5. Wakurugenzi wa wilaya 138
6. Wakurugenzi wa Mifuko, idara, Mamlaka, Wakala, Bodi, Mabaraza. Ambao ni zaidi ya 70.
7. Mabalozi
Kwa hawa wachache tu jumla yao ni 438 ambapo kwa kiasi kikubwa wanatakiwa kuwa na ueledi wa kazi lakini pia kuwa LOYAL kwa chama ili wasiweze kutumika vibaya na vyama vingine. Ukitafakari kwa kina utagundua kuwa hakuna mpinzani mwenye uwezo wa kuunda serikali madhubuti kwa sasa, ukilinganisha CCM pamoja na kuwa na watu lakini bado wapo wanaoihujumu.
Serikali inaundwa na watanzania waadilifu na wanaoipenda nchi yao popote pale walipo,, Serikali haiundwi na wanachama wa Chadema tu,.Ukumbuke pia hata Public service inaendelea ile ile ikiwa na mabadiliko machache sana hasa kwa nafasi za Makatibu wakuu nao siyo wote. Kuna watanzania wengi wenye sifa bila kujalisha ni wanachama au siyo wanachama ,,wanaofaa kuwa viongozi wa hizo taasisi na nchI yetu ikasonga mbele. Tatizo la nch yetu siyo watumishi wa Umma bali lichama la CCM. Kwa CCM, Chama kwanza nchi baadaye, Kwa CHADEMA Nchi kwanza Chama baadaye.Binafsi nimekaa nikatafakari kwa kina endapo siku moja UPINZANI ukashinda uchaguzi na kutakiwa kuunda serikali itakuwaje???