CHADEMA wana Maslahi gani na Arusha Mjini?

Hili suala la udnini halijakaa sawa kabisa ndani ya CDM. kule DMV tumekuwa tukishuhudia minyukano hii ya kidini. Inavyoonekana ndani ya CHADEMA Waislam hawana kabisa nafasi ya uongozi. Kwa wale wanaobahatika wanasakamwa mpaka waonekane hawafai

Hivi eeeeh!! Duuuuh!!
 
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui

Hakuna liyezuiwa kumualika kiongozi yeyote wa chama kwenye shughuli yoyote ya chama. Arusha waliona ni vyema kumualika Mzee Mtei katika uchaguzi wao ili wapate maneno ya busara kutoka kwa muasisi huyo wa chama. Sio hatia Mzee Mtei kwenda kuongea na wanachama wa Arusha. Haizuiwi kumualika. Kama kuna ambao pia watahitaji kualika kiongozi wa chama katika shughuli za ujenzi wa chama wanaruhusiwa. Wafuate taratibu za chama kama inavyotatikana. Hakuna kipengele chochote kwenye katiba kinachozuia uwepo wa kiongozi katika uchaguzi wa chama.
 
Naona umeanzisha mada nyingine ya kipuuuuzi zaidi ndani ya mada ya kipuuzi sana.
 
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui

wewe nawe una matatzo coz suala la m2 kuudhuria sion kama ni hoja ambayo mtu kama great thinker utaanza kuijadili kati kuna mambo mengi sana ya msingi zaidi ya huu upuzi ambao naweza sema ni u,.......n.....g
 
Kweli kabisa Mkuu. Mzee Mtei ndo kila kitu ndani ya CHADEMA. Nilistaajabu sana jinsi alivyoshiriki kupanga baraza kivuli la UKAWA

halafu hiki kizee ni kikabila sana.. juzi kwenye uchaguzi kilikuwa kinaongea kichaga na mbowe na lema
 
Hakuna liyezuiwa kumualika kiongozi yeyote wa chama kwenye shughuli yoyote ya chama. Arusha waliona ni vyema kumualika Mzee Mtei katika uchaguzi wao ili wapate maneno ya busara kutoka kwa muasisi huyo wa chama. Sio hatia Mzee Mtei kwenda kuongea na wanachama wa Arusha. Haizuiwi kumualika. Kama kuna ambao pia watahitaji kualika kiongozi wa chama katika shughuli za ujenzi wa chama wanaruhusiwa. Wafuate taratibu za chama kama inavyotatikana. Hakuna kipengele chochote kwenye katiba kinachozuia uwepo wa kiongozi katika uchaguzi wa chama.

mzee mtei alihakikisha hakuna.muislam anachaguliwa
 
Na kitafyekwq tu safari hii. Ndo maana mtu na mkwewe wameamua kuelekeza nguvu huko kunusuru hali

Pole Arusha wanajitambua pale hata CDM wakiweka jiwe linaishinda CCM mtaji wenu Tabora na Katavi kwenye ujinga wa kusoma na kuandika
 
Hakuna liyezuiwa kumualika kiongozi yeyote wa chama kwenye shughuli yoyote ya chama. Arusha waliona ni vyema kumualika Mzee Mtei katika uchaguzi wao ili wapate maneno ya busara kutoka kwa muasisi huyo wa chama. Sio hatia Mzee Mtei kwenda kuongea na wanachama wa Arusha. Haizuiwi kumualika. Kama kuna ambao pia watahitaji kualika kiongozi wa chama katika shughuli za ujenzi wa chama wanaruhusiwa. Wafuate taratibu za chama kama inavyotatikana. Hakuna kipengele chochote kwenye katiba kinachozuia uwepo wa kiongozi katika uchaguzi wa chama.

Hivi Wa-Islam waliwakosea nini chadema??
 
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui

hebu tueleze chalinze kuna agenda gan jimbo kuwa la ukoo ndo tujadili ya Arusha
 
Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana, angalia arusha kwa jicho la tatu mkuu, arusha kumechafuka kwa ajili ya cdm hao hao, leo uchaguzi tena wanakwenda kurundikana hapo baba, mama, mkwe n.k kuna agenda gani ya siri kesho tutasikia mabomu tena

mbona nyie mpaka mnafisadi ili mbaki madarakani? Sisi tunania ya dhati yakukomboa nchi
 
Pole Arusha wanajitambua pale hata CDM wakiweka jiwe linaishinda CCM mtaji wenu Tabora na Katavi kwenye ujinga wa kusoma na kuandika

Hakuna wakujitambua, 90% ya wafuasi wa CDM Arusha ni madereva wa boda boda na chokoraaa ambao wachache sana wamesoma angalau kufika darasa la 7, wanaidanganyika kuwa CDM itawapa utajiri bila kufanya kazi. Kama huku ni kujitambua basi Arusha iongozwe milele na CDM.
 
kwa mawazo yako wananchi wa Arusha unawafananisha na wanachi wa Chalinze sehemu ambapo hakuna maendeleo yoyote tangu uhuru, kweli kuwa ccm lazima ujitoe ufahamu
 
Watu wakikosa hoja wanaattack personalities. Pole sana dada. Hapa si mahala pake
Propaganda za kipuuzi kama hizi za kwako lazima zijipiwe kipuuzi hivyo hivyo. Sasa jibu swali uliloulizwa kwanza " vipi mbona hukumuhoji baba yako mzazi alivyomuowa mama yako mwenye mutindio wa ubongo"?
 
Back
Top Bottom