CHADEMA wana Maslahi gani na Arusha Mjini?

Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
Maswali ya kipuuzi na ujinga, hata hivyo mbona huulizi kwa nini baba yako alimuowa mama yako mwenye mtindio wa ubongo?
 
Yaani wakuu baadhi yenu mnafikiria pafupi kinoooma, na sina imani km kweli mpo A18yrs coz mawaxo yenu ya kitoto! kweli unaandika post kushangaa kuhudhuria kwenye uchaguz wa chama chake?

Eti nyie ndo vijana mnaopiga debe umri wa raisi upunguzwe! hamuoni kuwa mnafikiria kidogo kuliko ujana wenu?

Uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana, angalia arusha kwa jicho la tatu mkuu, arusha kumechafuka kwa ajili ya cdm hao hao, leo uchaguzi tena wanakwenda kurundikana hapo baba, mama, mkwe n.k kuna agenda gani ya siri kesho tutasikia mabomu tena
 
Binafsi nilihudhuria, lakini UDINI bado ni tatizo kubwa. Na kibaya zaidi Lema alikuwa na mtu wake Bw Innocent.
Haukuwa uchaguzi huru kabisa...

Kwa CHADEMA kama umeona haki haikutendeka, unaweza kata rufaa na ukasikilizwa.

Hiyo ndio tufauti na maccm
 
Binafsi nilihudhuria, lakini UDINI bado ni tatizo kubwa. Na kibaya zaidi Lema alikuwa na mtu wake Bw Innocent.
Haukuwa uchaguzi huru kabisa...
Hili suala la udnini halijakaa sawa kabisa ndani ya CDM. kule DMV tumekuwa tukishuhudia minyukano hii ya kidini. Inavyoonekana ndani ya CHADEMA Waislam hawana kabisa nafasi ya uongozi. Kwa wale wanaobahatika wanasakamwa mpaka waonekane hawafai
 
Maswali ya kipuuzi na ujinga, hata hivyo mbona huulizi kwa nini baba yako alimuowa mama yako mwenye mtindio wa ubongo?
Acha hasira mkuu mleta mada ameandika vitu vya msingi sana kwa nini arusha.ambako hali ya kiusalama ni ya.mashaka.sana?
 
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
usiwaamishe watu mada kwanza naomba katimize ahadi kwa madiwani wa shinyanga ingawa najua sio kasumba yenu kufanya hivyo
 
Hili suala la udnini halijakaa sawa kabisa ndani ya CDM. kule DMV tumekuwa tukishuhudia minyukano hii ya kidini. Inavyoonekana ndani ya CHADEMA Waislam hawana kabisa nafasi ya uongozi. Kwa wale wanaobahatika wanasakamwa mpaka waonekane hawafai

Ni hatari sana kwa kweli, watanzania tuna haja ya kutafakari upya siasa hizi za udini
 
Maswali ya kipuuzi na ujinga, hata hivyo mbona huulizi kwa nini baba yako alimuowa mama yako mwenye mtindio wa ubongo?
Watu wakikosa hoja wanaattack personalities. Pole sana dada. Hapa si mahala pake
 
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
Pro-Chadema wengi ambao hawajitambui wapo Arusha halafu ukiongeza na ukaskazini wao basi unaona kabisa makao makuu ya Chadema yapo Arusha kwenye makazi ya Mzee Mtei.
 
Mkutano wa uchaguzi wilaya(Jimbo) kuhudhuriwa na viongozi wote wa ngazi za juu CHADEMA inamaanisha.

CHADEMA Arusha iko kwenye zama zake za mwisho kabisa.

- LEMA hana ushawishi tena kama mwanzo, watu wameshagundua ni tapeli.
Cha kushangaza Huyu Mwenyekiti mteule wa CHADEMA wilaya Arusha, ni muhuni tu na Jobless wa siku nyingi aliyekuwa anaandamana na LEMA kwenye fujo, mikutano na maandamano, kwahiyo sio mtu wa maana, Ni mtu aliyewekwa na LEMA kulinda maslahi yake. CCM wamejipanga ipasavyo kurudisha jimbo la Arusha mjini, kwa kuwa LEMA ameshindwa kutekeleza ahadi yake angalau moja, kati ya zile alizoahidi.
- Wana Arusha wamechoshwa na fujo zisizo na tija zinazoratibiwa na Mbunge wa Arusha mjini.
Hakika Mkuu. Umenena vema. Wana Arusha safari hii hawatafanya tena makosa
 
Pro-Chadema wengi ambao hawajitambui wapo Arusha halafu ukiongeza na ukaskazini wao basi unaona kabisa makao makuu ya Chadema yapo Arusha kwenye makazi ya Mzee Mtei.
Kweli kabisa Mkuu. Mzee Mtei ndo kila kitu ndani ya CHADEMA. Nilistaajabu sana jinsi alivyoshiriki kupanga baraza kivuli la UKAWA
 
Kwani ubunge wa Lema alipewa na nani kama siyo mahakama.
Ni kweli Mkuu. Lema alishinda ubunge kimahakama lakini si mahakama ya ndani ya chama. Ni mahakama inayoongozwa na serikali ya ccm
 
Kweli kabisa Mkuu. Mzee Mtei ndo kila kitu ndani ya CHADEMA. Nilistaajabu sana jinsi alivyoshiriki kupanga baraza kivuli la UKAWA
Kuna siku moja nilikwenda Arusha kutembea nikawa natembelea maskani za Chadema pale Desemba makao mapya.

Nilikutana na vijana wa Chadema wengi wao wanaamni siku Chadema wakitwaa dola watakua matajiri hata bila kufanya kazi, na mimi nikajifanya Chadema naitwa Kweka natokea Kimara Dar.

Nikawambia ninazo nyaraka za siri nimezichomoa wizara ya fedha zinaeleza ufisadi nikawapa kesho yake wakampa Lema akapanda nazo kwenye mkutano wa Chadema niliandika uongo tu mwingi sana hawa jamaa walivyokuwa hawana upeo wa kupembea mambo wakaona wamepata data.

Kesho yake nikaondoka nikawa napigiwa simu wanataka zingine nikawambia tawapelekea makao makuu Ufipa.
 
Kuna siku moja nilikwenda Arusha kutembea nikawa natembelea maskani za Chadema pale Desemba makao mapya.

Nilikutana na vijana wa Chadema wengi wao wanaamni siku Chadema wakitwaa dola watakua matajiri hata bila kufanya kazi, na mimi nikajifanya Chadema naitwa Kweka natokea Kimara Dar.

Nikawambia ninazo nyaraka za siri nimezichomoa wizara ya fedha zinaeleza ufisadi nikawapa kesho yake wakampa Lema akapanda nazo kwenye mkutano wa Chadema niliandika uongo tu.
Tehetehetehetehetehe! Eeeeeheeeeeee! Wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom