CHADEMA wana Maslahi gani na Arusha Mjini?

CHADEMA wana Maslahi gani na Arusha Mjini?

Hakuna wakujitambua, 90% ya wafuasi wa CDM Arusha ni madereva wa boda boda na chokoraaa ambao wachache sana wamesoma angalau kufika darasa la 7, wanaidanganyika kuwa CDM itawapa utajiri bila kufanya kazi. Kama huku ni kujitambua basi Arusha iongozwe milele na CDM.

Wewe ndio hujajitambua kuchumia tumbo kupitia buku 7 za lumumba. Arusha ni jiji lenye watanzania wanaojitambua wasiosombwa kwa malori kwenda kuwafurahisha mafisadi kama mfanyavyo walamba viatu vya CCM
 
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui[/QUWestonfl

Kumbe Weston songoro na wewe ni zuzu? Uzi gani Wa kipuuzi umeanxisha?huu
 
Kwanin mwigulu anafanya sana mikutano mwanza kuliko arusha? Labda tujibu
 
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.

siku zote hujui Arusha wachaga wote wapo hapo wamekimbia moshi pili makao makuu ya chadema yapo hapo
 
Kweli JK ameifikisha nchi shimoni na bado inatitia haswa.
Nimesoma comments za vijana wa CCM humu zinasikitisha.
Discrimination za kuongozwa kaseme hivi na vile lkn JK Nyerere angekuwa kama huyu JK wa Leo Hi nchi ingeshasambaratikaga muda Mrefu sana.
Mdomo huumba na haya mnayojaziwa midomoni muandike na kuongea ipo siku yatatokea live.
 
Back
Top Bottom