CHADEMA wana Maslahi gani na Arusha Mjini?

Weston Songoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
2,793
Reaction score
1,086
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.
 
Kwanza acha uongo Uchaguzi huo ulifanyika juzi Jumamosi tarehe 26 mwezi huu wa Saba. Uwepo wa mzee Mtei na Mbowe sio jambo la kushangaza. Wanaweza wakawepo katika uchaguzi wowote itategemea na muda na maandalizi. Na sio kwamba ni kweli kuwa hao walikuwa wasimamizi au waangalizi wa Uchaguzi. Mzee Mtei yeye kama Muasisi wa Chama alienda pale baada ya kualikwa na uongozi wa chama. Na iliwezekana yeye kwenda kwa sababu ya urahisi kutokana na yr kuwa na makazi Arusha. Mbowe yeye alienda baada naye kualikwa. Mbowe alikuwepo Arusha alipokuwa anahudhuria mkutano wa Common Wealth. Alienda pale kwa dakika chache akahutubia kidogo kisha akatoa vyeti vya pongezi kwa waliokuwa Viongozi wa Chadema Wilaya ya Arusha. Baada ya hapo aliondoka kurejea kwenye mkutano wa Common wealth. Hakuwa msimamizi wa Uchaguzi. Mzee Mtei na Mbowe hawakuwepo wakati uchaguzi unafanyika.
 
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.

muhas slaa alikuwepo kwenye uzinduzi wa tawi labda nikuulize na wewe swali kama hili
 
Arusha kimekuwa kichaka cha cdm kujificha, 2015 inabidi kifyekwe
 
Kwanza acha uongo Uchaguzi huo ulifanyika juzi Jumamosi tarehe 26 mwezi huu wa nne. Uwepo wa mzee Mtei na Mbowe sio jambo la kushangaza. Wanaweza wakawepo katika uchaguzi wowote itategemea na muda na maandalizi. Na sio kwamba ni kweli kuwa hao walikuwa wasimamizi au waangalizi wa Uchaguzi. Mzee Mtei yeye kama Muasisi wa Chama alienda pale baada ya kualikwa na uongozi wa chama. Na iliwezekana yeye kwenda kwa sababu ya urahisi kutokana na yr kuwa na makazi Arusha. Mbowe yeye alienda baada naye kualikwa. Mbowe alikuwepo Arusha alipokuwa anahudhuria mkutano wa Common Wealth. Alienda pale kwa dakika chache akahutubia kidogo kisha akatoa vyeti vya pongezi kwa waliokuwa Viongozi wa Chadema Wilaya ya Arusha. Baada ya hapo aliondoka kurejea kwenye mkutano wa Common wealth. Hakuwa msimamizi wa Uchaguzi. Mzee Mtei na Mbowe hawakuwepo wakati uchaguzi unafanyika.
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui
 
... Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. ...
Rais akiwa mgeni rasmi kwenye baraza la eid, ina maana ana maslahi na watu wanaoamini huko?
 
Wadau, kama mnavyofahamu ni kwamba chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinafanya uchaguzi wake wa ndani ambapo kwa sasa upo ngazi ya wilaya. Tanzania ina Wilaya zaidi ya 100 ambazo ndizo zinazotumiwa na CHADEMA kama mamlaka yake ya kichaguzi.

Ijapokuwa uchaguzi huo unafanyika nchi nzima, Jana Tarehe 27 Julai ilikuwa ni uchaguzi wa kuwapata viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini. Huwezi kuamini, Mzee wa Tengeru, Edwin Mtei na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe walikuwa ni miongoni mwa wageni walioshuhudia uchaguzi huo. Watu wengi walikuwa wanajiuliza, Arusha kunani mpaka ikawasukuma mtu na mkwewe kushiriki uchaguzi huo? Kama ni uwajibikaji wa mwenyekiti huyo, mbona hajaenda Kasulu au Nkasi au Kibaha au Rufiji? Arusha kunani? Wakati tunajadili haya, tukumbuke kuwa kwa sasa Jiji la Arusha linaongoza kwa miripuko ya mabomu ambayo chanzo chake bado hakijabainishwa.

ukombozi wa nchi hii ulianzia Arusha
 
Binafsi nilihudhuria, lakini UDINI bado ni tatizo kubwa. Na kibaya zaidi Lema alikuwa na mtu wake Bw Innocent.
Haukuwa uchaguzi huru kabisa...
 
muhas slaa alikuwepo kwenye uzinduzi wa tawi labda nikuulize na wewe swali kama hili
Yes, Dr Slaa alienda MUHAS kwa vile kulikuwa na maslahi kwake. Dr Slaa ni mwanasiasa wa matukio. Baada ya viungo vya binadamu kutelekezwa na hospitali ya IMTU, Dr Slaa akaona kuwa hapo ndo pakutokea. Ndo maana akaomba awe mgeni Rasmi ili aeleze hisia zake kutokana na tukio hilo. Ndivyo alivyofanya
 
Well, suala la kukosea siku uchaguzi ulipofanyika hiyo si hoja ya msingi sana. Ndo maana hata wewe uliposema kuwa umefanyika mwezi huu wa nne mimi sikuona ni tatizo pengine ulikuwa umeteleza tu. kuhusu muasisi kuhudhuria uchaguzi huo eti kwa vile tu alialikwa na eti tu kwa vile makazi ya Mzee Edwin Mtei yapo Arusha hiyo si hoja ya msingi. Je ina maana ni Arusha Mjini tu ndio wameona umuhimu wa kumualika Mzee amtei na Mbowe? Haya ni majibu ya ajabu sana na umeyaleta kwa lengo la kuficha ukweli. Au kwa vile na wewe ni ukoo wa Mzee Mtei ndo maana unatetea hata katika mambo ambayo huyajui
Huyu nicasc mtei ndo wale wale mkuu wana ukoo wa cdm
 
Yaani wakuu baadhi yenu mnafikiria pafupi kinoooma, na sina imani km kweli mpo A18yrs coz mawaxo yenu ya kitoto! kweli unaandika post kushangaa kuhudhuria kwenye uchaguz wa chama chake?

Eti nyie ndo vijana mnaopiga debe umri wa raisi upunguzwe! hamuoni kuwa mnafikiria kidogo kuliko ujana wenu?
 
Binafsi nilihudhuria, lakini UDINI bado ni tatizo kubwa. Na kibaya zaidi Lema alikuwa na mtu wake Bw Innocent.
Haukuwa uchaguzi huru kabisa...
Lema.lazima.awe kaburi la cdm arusha, kwa mabomu hayo tusubiri tu
 
Mkutano wa uchaguzi wilaya(Jimbo) kuhudhuriwa na viongozi wote wa ngazi za juu CHADEMA inamaanisha.

CHADEMA Arusha iko kwenye zama zake za mwisho kabisa.

- LEMA hana ushawishi tena kama mwanzo, watu wameshagundua ni tapeli.
Cha kushangaza Huyu Mwenyekiti mteule wa CHADEMA wilaya Arusha, ni muhuni tu na Jobless wa siku nyingi aliyekuwa anaandamana na LEMA kwenye fujo, mikutano na maandamano, kwahiyo sio mtu wa maana, Ni mtu aliyewekwa na LEMA kulinda maslahi yake. CCM wamejipanga ipasavyo kurudisha jimbo la Arusha mjini, kwa kuwa LEMA ameshindwa kutekeleza ahadi yake angalau moja, kati ya zile alizoahidi.
- Wana Arusha wamechoshwa na fujo zisizo na tija zinazoratibiwa na Mbunge wa Arusha mjini.
 
Back
Top Bottom