CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Kama vyama vinakaguliwa na CAG na Zitto anajua, basi kuna jambo Zitto analitafuta, ama anatafuta umaarufu ambao unataka kupotea. Hapa kuna ka harufu ya mgombea binafsi inanukia kwa Zitto

Mkuu Mungi mbona Chadema mnatoka povu? umaarufu wa Zitto upo na utakuwepo kwani michango yake kisiasa imegusa mioyo ya watanzania na itabaki kuwa hivyo katika historia yetu.Kwahiyo hata Dr Slaa anaposema kuna ufisadi sehemu tuanze kuamini anafanya vile kutafuta umaarufu?
 
Hapo sasa!
 
Wakati wowote ule, sijapata kuelewa Wanasiasa humaanisha nini kwa maneno "Masilahi ya Umma"? Kuna kila haja ya kupata tafsiri ya Kikatiba ya maneno haya ili kuepusha mkanganyiko katika matumizi yake.

Maswali:
  1. Iwapo siku ya PAC kuwahoji Makatibu Wakuu Dr.W.Slaa atakuwa na udhuru wa kushindwa kuhudhuria, ni nani ndani ya CHADEMA anapaswa kumwakilisha?
  2. Na, Je kwenye Jopo la kumuhoji mwakilishi wa CHADEMA Zitto atasimama kwa kofia ipi? Hakuna mgongano au mgogoro katika vyeo vyake dhidi ya azma iliyo mbele yake?

Nitakujibu swali No.1
Mara zote Dr.anaposafiri au kuwa nje ya Ofisi John Mnyika ndiye hua anakaimishwa, ingawa kiprotokali Zitto ndiye anayepaswa kukaimu nafasi ile Hapo usiniulize kwanini maana mi pia sijui ila kuna uzi flani hivi wa @Election Observer una kichwa habari "Ugaidi ndani ya Vyama vya siasa " unaweza kuunganisha dots
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kutumika kwa kujua au pasipo kujua, na hili linathibitika kupitia kauli za Zitto. Kama kweli kamati yake inaweza kuwatia hatiani viongozi wa chama wasiofuata sheria yeye anakwepaje hatia hiyo?

Pia Zitto anakosea kusema kama ni umaarufu yeye ni maarufu tayari, hajui umaarufu huwa unashuka na kupanda? Anathibitishaje kuwa wakwake bado uko juu, anaweza kujipima mwenyewe? Naona kunakujisahau kisiasa kwa huyu mwenzetu.
 
Mpango mfu wa ccm na kibaraka wao unapikufa huku wakiona

Tatizo lenu kubwa Bavicha ni dhana ya kila jambo analolizungumza Zitto kuhusiana na vyama au chama chake mnahisi anamlenga Dr Slaa.Sikatai kwenu kumpenda babu yenu lakini msimchukieZitto kwa kuzungumza ukweli.Suala la ripoti na ukaguzi ni utaratibu uliopo wala si jambo la mtu kujitafutia umaarufu sasa hofu yenu nyinyi iko wapi au mnataka kuficha nini?
 
Nitakujibu swali No.1
Mara zote Dr.anaposafiri au kuwa nje ya Ofisi John Mnyika ndiye hua anakaimishwa, ingawa kiprotokali Zitto ndiye anayepaswa kukaimu nafasi ile Hapo usiniulize kwanini maana mi pia sijui ila kuna uzi flani hivi wa @Election Observer una kichwa habari "Ugaidi ndani ya Vyama vya siasa " unaweza kuunganisha dots

Mkuu unahangaika sana kwenye huu uzi mpaka nakuonea huruma.

Mbona imekuuma sana kusikia Mnyika ameachiwa ofisi?
 
Last edited by a moderator:
Kakuambia tayari yeye ni maarufu hiyo attention itamsaidia nini? Sema kijana anatishia ulaji wa wanasaccoss wenu wa chadema.

hivi Zitto ambae ni naibu katibu mkuu wa CDM anamuomba nani hesabu za chadema? Zitto anakaa kwenye vikao vya sekretataliati ya chama na yeye ndie aliepaswa kupeleka hesabu hizo huko kunakotakiwa kama kweli hazijapelekwa ili ziweze kufanyiwa ukaguzi sasa kama alikua anajua sheria na hakuwashauri wenzake kufanya au hakuchukua jukumu yeye kama naibu katibu mkuu wa chama anatuambia sisi wengine ambao ni wananchama wa kawaida wa chadema kwamba chama hakijafanyiwa ukaguzi ili iweje? na kama kuna mtu alimzuia kutekeleza wajibu wake huo kwenye chama mbona hajawahi kuuuambia umma wa wanachadema ili tumsaidie?? suala la fedha ni nyeti na linaweza kuchafua image ya chama kwasababu ya upuuzi wa zitto na kutafuta sifa binafsi au kufanya kazi ya ccm kwa kuichafua chadema ionekane yenyewe ni kama ccm ili Watanzania wakate tamaa na waendelee kuichagua ccm inashangaza kuona hata magazeti ya mafisadi kama Rai na gazeti la uhuru la ccm yanaishambualia chadema wakati na ccm imetajwa haya yote yanafanyika kwasababu ya uhuni wa Zitto kukiweka chama chetu kwenye kapu mmoja na ccm wakati anajua kabisa kwamba chadema hesabu zake ziko kwa msajili na ametoa barua kuthibitisha hilo.Zitto anaekushauri anakupotosha sana na mwisho wake utakua kama Mrema Lyatonga.
 
Facts should be kept at a public disposal son,it is not for Zitto to know,it is for the public to get rid of the suspi cion at this particular moment and for the party to comply!!!!!!

Kamati ndio inataka mkuu sio ZZK jamani kwa nini analaumiwa yeye binafsi,vipi kama aliwaambia kamati kuwa cdm imekaguliwa na kamati ikasema wana mashaka na ukaguzi hivyo zoezi lirudiwe kwa vyama husika sasa hapo yeye asemaje?????!!!

Hivi kama wewe ni mfanyabiashara na TRA wanadai haukupeleka estimates za kodi kwa mwaka huo,nini unafanya???!!! Si unaambatanisha barua,makadirio na barua waliyokuandikia inayotamka makadirio kutka kwao,au unaitisha mkutano na wanahabari?????!!!!!

Au point yako ni kuwa alitakiwa awatonye kuwa kamati itakisanua,au alitakiwa afanyaje sasa????!!!

Nikweli mkuu facts should be kept at public disposal, lakini kwa mtazamo wangu PAC ingekutana na vyama vya siasa, msajili wa vyama vya siasa pamoja na CAG, baada ya hapo kama ingegundulika hawajafanya kama sheria inavyo wataka basi PAC inge utaarifu Umma, lakini kwanini haikuwa hivyo?
 
Mpango mfu wa ccm na kibaraka wao unapikufa huku wakiona

Tatizo lenu kubwa Bavicha ni dhana ya kila jambo analolizungumza Zitto kuhusiana na vyama au chama chake mnahisi anamlenga Dr Slaa.Sikatai kwenu kumpenda babu yenu lakini msimchukieZitto kwa kuzungumza ukweli.Suala la ripoti na ukaguzi ni utaratibu uliopo wala si jambo la mtu kujitafutia umaarufu sasa hofu yenu nyinyi iko wapi au mnataka kuficha nini?
 
Acha kuota wewe bwana mkubwa. Nape hana ubavu wa kuniajili mimi wacha kujishtukia kwasababu ya viloba unavyohongwa.

Lumumba unafanya nini kama nape hajakuajiri? Nani anayekulipa buku7 wewe. Au unamanisha umeajiriwa na mwingulu?
 
Sijui utaratibu upoje lkn CDM mutanifurahisha zaidi kama mutaenda mbele ya hiyo kamati ya Mh.Zitto na vielelezo vyenu ili tumsikie tena,mumekuja mbele ya waandishi tunashukuru lkn ni kama bado hamueleweki,so nendeni mbele zaidi wananchi waridhike,binafsi sina mashaka na nyie.....
 
Tatizo watu wengi humu wanampinga Zitto badala ya kupinga hoja za Zitto
 
Last edited by a moderator:
Zitto Ni naibu Katibu Mkuu Chadema.This means Hana taarifa ya mawasilisho au mawasiliano Kati ya ofisi yake na ya msajili?Kuwa mwenyekiti wa PAC Ni jambo la ziada na haiondoi kumbukumbu za nyaraka kichwani mwake, akiwa kama Naibu Katibu Mkuu Chadema.Vinginevyo huu unaibu Katibu Mkuu Ni wa jina tu na pasi ikithibitika hivyo hana haja ya kushikilia nafasi hiyo.
 
Huyo ZZK mwenyewe maneno mengi, ninachojua huwa kuna utaratibu wa kutoa notification kwa jambo au limecheleweshwa au halikufanywa kabisa, sasa unataka kusema POAC wametoa notification yoyote ikashindikana hadi wakaamua kuibroadcast hii habari? Mbona kuna dalili kuwa kuna jambo! Na itakuwa ana maana gani kusema 4yrs wakati ni mwaka mmoja tu tena ambao bado haujaisha? Pamoja na kuwa mwaka wa serikali unaishia July, angeuliza si angepewa maelezo kwa nini imechelewa? Hapa mchezo unaweza kuwa wa kuchuja hadi anabaki yule uliyekuwa unamtafuta. Kumbe kuna ambao hawajawahi kupeleka
na wala hawatajwi sana, ZZK anataka kusema ameilenga CCM au CDM? Ngoja tuone mwisho wa mziki utakuwaje

Mkuu kama kuna mtu anatafutwa na kweli anafuja pesa au hafuati taratibu ubaya uko
wapi??????

Usipotimiza wajibu wako kuna mawili,upewe onyo kwa mdomo, barua au yote kwa pamoja. Mkosaji hachagui jinsiyakuwajibishwa
 
Zito anakoelekea atasababisha sheria ibadilishwe ili kiongozi wa kamati ya hesabu za serikali isiwe lazima atoke upinzani. Nahisi hapa kuna watu wamemtuma ili aanze kuropoka baadae ionekane hii kamati ipo kimajungu na sheria ibadilishwe.
Mtaniambia mbele ya safari.
 
Nikweli mkuu facts should be kept at public disposal, lakini kwa mtazamo wangu PAC ingekutana na vyama vya siasa, msajili wa vyama vya siasa pamoja na CAG, baada ya hapo kama ingegundulika hawajafanya kama sheria inavyo wataka basi PAC inge utaarifu Umma, lakini kwanini haikuwa hivyo?

Hivi kuna haja gani ya kufichana kiasi hicho ilhali wanatumia pesa zetu?????
No wonder kuna watu wanataka bunge lisiwe live!!!!!

Mbona mabilioni ya Uswisi tulifurahia na mishahara ya bigbosses alivyotaja mbona hamkumsihi akutane nao wajadili badala ya kuweka hadharani? ????!!!!
 
Zito anakoelekea atasababisha sheria ibadilishwe ili kiongozi wa kamati ya hesabu za serikali isiwe lazima atoke upinzani. Nahisi hapa kuna watu wamemtuma ili aanze kuropoka baadae ionekane hii kamati ipo kimajungu na sheria ibadilishwe.
Mtaniambia mbele ya safari.

Kwanza mpaka sasa kamati yenyewe haina maana yeyote na imeshapoteza muelekeo.

Kamati makini kabisa kwa maslahi ya nchi hii Aden Rage hawezi kuwa makamu mwenyekiti. Hana udhu huo.
 
Nafikiri hujamuelewa; ameuliza swali la msingi.. Jukumu la kukagua au kuhakikisha zimekaguliwa ni la CAG au Chama husika (in this case CDM)..? Kama ni la CAG, je, walifanya kazi yao ya kwenda kukagua au walienda kukagua wakanyimwa access to the required information (i.e. limitation of scope).? Kama ni jukumu la chama, je, walimu-engage independent auditor kukagua hesabu zao na wao kuziwasilisha kwa msajili.? If chama walikaguliwa kwa madai ya Komu na hesabu kaguliwa (audited accounts) zikawa submitted to the right authorities as required; then hakuna cha ku-discuss here..!!

Thus,the on going saga will let us know!!!!
 
Back
Top Bottom