CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Maneno mengi ya nini. Kama ripoti ipo si kupeleka tu ukiambatanisha na barua iliyokubali kupokea na kufanyiwa kazi kwa riooti husika!!!!!!???????

Halafu kwa nini anachukuliwa personally wakati ni mwenyekiti wa kamati????!!!!!

Labda kuna kitu hukielewewi ni kwa nini watu wenye akili timamu tumeshajuwa nini kinaendela,

Tufanye Mwenyekiti wa PAC ni Mwigulu Nchemba na Mwigulu huyu ni naibu katibu mkuu wa CCM, sasa Mwigulu akiwa ni sehemu ya secretariat anatakiwa kuanza kubwabwaja barabarani au anapaswa kuwa na internal communications na chama chake kabla ya kupayuka kwenye public?

Zitto atakamata akili za wajinga tu mnafki huyu.
 
Zitto nadhani amefikia wakati hajui afanye nini na aache nini.
Ni mtu asiyekuwa makini tu ndio anaweza kufanya mambo bila kumalizia.
zile pesa za uswiswi ameshaleta report au ilikua maneno tu!!!!
 
chadema wanaweweseka kwa sababu wamezikwapua na kujilia tu ovyo ovyo. walafi sana
 
kama mmekaguliwa mnawewesekwa na nini?? kwann msitulie sheria ichukue mkondo wake?? chadema mna matatizo sana
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kimewasilisha taarifa zake za fedha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha 2010/11 na 2011/12.
Kwamba, hilo linathibitishwa na barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa.
Uthibitisho huo umetolewa kukanusha taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, iliyosema kuwa vyama vya siasa vinavyopata ruzuku kutoka serikalini havijawasilisha taarifa yake ya mapato na matumizi kwa ajili ya kufanyiwa ukaguzi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.
 
Kiongozi hilo nalo neno. Zitto kiongozi wa ngazi ya juu sana ndani ya CDM lakini inanishangaza kuona kama hajui hata hesabu za chama chake kama zimeshakaguliwa. Huo ni unafiki wa hali ya juu sana.
wewe ni mwehu, kwani yy ni mhasibu wa chadema?? acheni uroho
 
Siasa za bongo ni za kilaghai sana. Sijaona sababu ya kulialia kwote huku kwenye vyombo vya habari kama hivi vyama vingekuwa safi. Hapa ni wazi kuna ubabaishaji mkubwa sana katika matumizi ya pesa za umma.
 
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa kimewasilisha taarifa zake za fedha kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha 2010/11 na 2011/12.
Kwamba, hilo linathibitishwa na barua ya Msajili wa Vyama yenye kumb. Na CDA.112/123/01a/37 ya Septemba 4, 2012, iliyopelekwa kwa makatibu wakuu wa vyama vyote vya siasa.
Uthibitisho huo umetolewa kukanusha taarifa ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe, iliyosema kuwa vyama vya siasa vinavyopata ruzuku kutoka serikalini havijawasilisha taarifa yake ya mapato na matumizi kwa ajili ya kufanyiwa ukaguzi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.
hiyo ni danganya toto, chadema wamezila na familia zao bila kuzitumia kwa manufaa ya chama ndio mana ni wakali wakiulizwa
 
There must be something fische!ataumbuka m2 hapo!zitto hakurupuki!
 
Nb: Eti kamati yenyewe ya PAC makamu mwenyekiti ni Aden Rage Al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za FAT.
Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za Simba pale Msimbazi na akabidhi pesa za Okwi.

Shikamoo Matola..
 
Last edited by a moderator:
kikulacho ki nguoni mwako, huyo jamaa ni joka kubwa haaminiki, mbegu yenye sumu kali CDM wanatakiwa wawe makini na huyu kijana.
 
wewe ni mwehu, kwani yy ni mhasibu wa chadema?? acheni uroho

Sikuzote mhasibu akishakagua lazima apeleke mahesabu kwa uongozi husika au wewe unajifanya hujui huo utaratibu? Mhasibu anakagua yeye hana maamuzi wenye maamuzi ni viongozi ambao nikina zitto. Huo utakua unafiki mkubwa sana kwa zitto. Hata mhasibu wenu hapo kumumba anapowapa buku7 mwisho wa siku lazima Mwingulu na timu yake wajue.
 
Kama hii taarifa ya Bw. Anthony Komu ni sahihi basi Zitto Kabwe atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye ubongo wake. Kwamba haelewei haya ndani ya chama chake hadi kukiingiza kwenye kapu la kutaka kikatiwe ruzuku? Vipi kwa NCCR Mageuzi ambao nao taarifa za ukaguzi wake zinaonekana kufika kwa CAG na msajili wa vyama? Right, inawezekana analenga kile anachokiita maslahi ya taifa lakini hata kutaka kujiridhisha kwa taarifa anashindwa?

Naona anawatafuta MAGAMBA kupitia mgongo wa CHADEMA
 
This is just silly; vyama havitakiwi kusema lolote sasa hivi. Wanaotakiwa kutoa maelezo ni CAG na Msajili. Wao ndio wanapaswa kusema kama vyama vimekidhi matakwa ya sheria au la. Ukimya wa vyombo hivi viwili ndio vitu vinavyonitibuaga mimi. Kamati ya Bunge imesema na kutoa maagizo CAG na Msajiri wanatakiwa waseme kama watakagua, wameshakagua au hawana mpango wa kukagua hivi karibuni.
 
Labda kuna kitu hukielewewi ni kwa nini watu wenye akili timamu tumeshajuwa nini kinaendela,

Tufanye Mwenyekiti wa PAC ni Mwigulu Nchemba na Mwigulu huyu ni naibu katibu mkuu wa CCM, sasa Mwigulu akiwa ni sehemu ya secretariat anatakiwa kuanza kubwabwaja barabarani au anapaswa kuwa na internal communications na chama chake kabla ya kupayuka kwenye public?

Zitto atakamata akili za wajinga tu mnafki huyu.

Facts should be kept at a public disposal son,it is not for Zitto to know,it is for the public to get rid of the suspi cion at this particular moment and for the party to comply!!!!!!

Kamati ndio inataka mkuu sio ZZK jamani kwa nini analaumiwa yeye binafsi,vipi kama aliwaambia kamati kuwa cdm imekaguliwa na kamati ikasema wana mashaka na ukaguzi hivyo zoezi lirudiwe kwa vyama husika sasa hapo yeye asemaje?????!!!

Hivi kama wewe ni mfanyabiashara na TRA wanadai haukupeleka estimates za kodi kwa mwaka huo,nini unafanya???!!! Si unaambatanisha barua,makadirio na barua waliyokuandikia inayotamka makadirio kutka kwao,au unaitisha mkutano na wanahabari?????!!!!!

Au point yako ni kuwa alitakiwa awatonye kuwa kamati itakisanua,au alitakiwa afanyaje sasa????!!!
 
This is just silly; vyama havitakiwi kusema lolote sasa hivi. Wanaotakiwa kutoa maelezo ni CAG na Msajili. Wao ndio wanapaswa kusema kama vyama vimekidhi matakwa ya sheria au la. Ukimya wa vyombo hivi viwili ndio vitu vinavyonitibuaga mimi. Kamati ya Bunge imesema na kutoa maagizo CAG na Msajiri wanatakiwa waseme kama watakagua, wameshakagua au hawana mpango wa kukagua hivi karibuni.

Ninachojua kwa mujibu wa sharia CAG akishakamilisha ukaguzi wake anaripoti PAC, sasa kitendo cha Zitto kuchomoka hadharani na kudai vyama havijakaguliwa maana yake hata CAG hajafanya kazi yake katika hili sawia na Msajili wa vyama. Lakini swali langu bado ni hili; kama maelezo ya CDM yana ukweli ni nini kinamfanya Kabwe asifanye mawasiliano na vyama (maana yeye anaonekana si mdau/wala kiongozi wa chama chohote) au kutaka ufafanuzi kutoka kwa CAG na Msajili wa vyama? Kwa mtu makini ataona kuna matege katika hiki anachokipigia kelele Zitto
 
Ni zuzu pekee atakayejaribu kukata tawi la mti alilokalia kwa sababu yoyotel ie!kijana ana busara finyu huyu sijapata kuona.Naomba J.J Mnyika amfunze namna ya kutenda na kufanya kwa busara
 
Back
Top Bottom