Pamoja na umaarufu alionao Zito, mi bado naamini pamoja na mabo mengine anataka kuonekana maarufu zaidi ndo maana anakuja na hoja za aina hii. Kama kiongozi ndani ya Chadema, yeye binafsi amefanya nini kuhakikisha chama chake kinafuata sheria ikiwa ni pamoja na kukaguliwa kwa kipindi chote anachokisema?,ina maana hata yeye hana lolote kama hawezi hata kusimamia chama chake ambacho anatuaminisha kushika dola miaka michache ijayo.
Siamini kama kweli hajui chama chake kimekaguliwa au la?, ila binafsi basi hafai kama hajasimamia sheria ndani ya chama chake kabla hata ya watanzania hatujampa majukumu ya kutawala nchi. Ni sawa na mtu anashindwa kusimamia familia yake harafu anakuwa mstari wa kwanza kulaumu familia nyingine. Tenda ninayosema badala ya matendo yangu ni msemo uliopitwa na wakati,watu watuoneshe kwa mfano. Amefanya mengi mazuri lakini pia atuheshimu na watz wengine kwa uelewa wetu na atuambie mambo ya tija zaidi