CHADEMA wamkana Zitto

CHADEMA wamkana Zitto

Facts should be kept at a public disposal son,it is not for Zitto to know,it is for the public to get rid of the suspi cion at this particular moment and for the party to comply!!!!!!

Kamati ndio inataka mkuu sio ZZK jamani kwa nini analaumiwa yeye binafsi,vipi kama aliwaambia kamati kuwa cdm imekaguliwa na kamati ikasema wana mashaka na ukaguzi hivyo zoezi lirudiwe kwa vyama husika sasa hapo yeye asemaje?????!!!

Hivi kama wewe ni mfanyabiashara na TRA wanadai haukupeleka estimates za kodi kwa mwaka huo,nini unafanya???!!! Si unaambatanisha barua,makadirio na barua waliyokuandikia inayotamka makadirio kutka kwao,au unaitisha mkutano na wanahabari?????!!!!!

Au point yako ni kuwa alitakiwa awatonye kuwa kamati itakisanua,au alitakiwa afanyaje sasa????!!!

Labda nikuitie Mmasai mwenzako Ole Sendeka labda u mtaelewana lugha maana yeye si Mzee ila ni wa zamani.

Mimi hatutaelewana Kiswahili maana mimi nikisema Dar es salaam wewe utalazimisha kwamba ni Saridalama.
 
Kwa habari hizi za poac na vyama inaonyesha dhahiri kabisa kuwa zitto ndani ya chama chake anakula mshahara tu ila mengineyo ndani ya chama kinaendeshwaje hajui lolote
 
Sikuzote mhasibu akishakagua lazima apeleke mahesabu kwa uongozi husika au wewe unajifanya hujui huo utaratibu? Mhasibu anakagua yeye hana maamuzi wenye maamuzi ni viongozi ambao nikina zitto. Huo utakua unafiki mkubwa sana kwa zitto. Hata mhasibu wenu hapo kumumba anapowapa buku7 mwisho wa siku lazima Mwingulu na timu yake wajue.

Kwa hiyo point yako ni kuwa anajifanya hajui au anajua kuna ubaya lakini hajatumia nafasi yake kufunika???!!!
 
Hivi kwa nini alaumiwe Zitto wakati kinachotetewa ni pesa yetu walipa kodi????!!!

Yaani imefikia maslahi ya nchi yakipiganiwa na wakati huo vyama vikiguswa basi wananchi wanasimama upande wa vyama??????!!!!!!


Sisi bado sana kukomboka!!!!
 
Wengi hawaelewi ukaguzi wa CAG maana yake ni nini. CAG anawajibu wa kukagua Vyama Vya Siasa kwa kutuma wakaguzi kutoka ofisi yake au kwa kuteua wakaguzi binafsi kufanya huo ukaguzi kwa niaba yake. Ukaguzi unafanywa na ofisi yake na ule uliofanywa na kampuni binafsi kwa niaba yake yeye CAG ndiye anayesaini taarifa ya ukaguzi.
Swala kwamba hesabu zimekagulia au la, nani alizikagua ni CAG au kampuni binafsi? Kama ni kampuni binafsi, aliifanya hiyo kazi kwa niaba ya CAG au aliteuliwa tuu na bodi ya wadhamini wa chama? Kama aliifanya kwa niaba ya CAG, taarifa hiyo ya ukaguzi itakuwa imesainiwa na CAG, tofauti ya hapo bado hesabu hazijakaguliwa na CAG kwa mujibu wa sheria
 
Ishu ya ukaguzi kwenye vyama ni rahisi. Serikali iseme kwa maandishi/kisheria kuwa nani anatakiwa kukagua vyama vya siasa.
 
Zitto kachemka sana.mtuhumiwa hapo ni Msajiri na ndiyo kamati ya zitto inapoishia kiutendaji, Kinachofanywa na PAC kwa sasa ni sawa na CEO wa shirika aulize utendaji kazi wa mhudumu wa ofisi wakati MAJIBU ANAPASWA APATE KUTOKA KWA dIRECTOR of HR.This is too low kwa PAC. Anyways!!!au kwa sababu kamati yenyewe imekusanya takataka hadi kina ADEN RAGE.Poleni wana PAC kuna siku mtakwenda na TANAPA kuuliza akina nani wame-supply goods and services
 
zitto ni mnafki. Period.

Yeye ni sehemu ya uongozi chadema licha ya kwamba anaongea kwa niaba ya kamati ya pac lakini ana uwezo wa kuwasiliana na viongozi wenzake internal. Huyu jamaa bichwa lilishamvimbaga kwa kutafuta sifa za kijinga ila kwa hili amejikaanga mwenyewe na kila mwenye akili timamu sasa anafahamu fika zitto ameamuwa kupigana vita ya makundi ndani ya chadema kwa kuitumia kamati ya pac.

Vita hii haiwezi kwani atakuwa defeated tu, anajaribu kudivert akili za wajinga kutoka kwenye hoja kuu ya katiba mpya.

Nb: Eti kamati yenyewe ya pac makamu mwenyekiti ni aden rage al shabaab mwizi aliyewahi kufungwa jela kwa wizi wa pesa za fat.

Nimeshangaa sana huyu kwanza akakamilishe ukaguzi wa hesabu za simba pale msimbazi na akabidhi pesa za okwi.

hilo nalo neno.kwani zito ni msafi kwa kiwango gani???
 
Maneno mengi ya nini. Kama ripoti ipo si kupeleka tu ukiambatanisha na barua iliyokubali kupokea na kufanyiwa kazi kwa riooti husika!!!!!!???????

Halafu kwa nini anachukuliwa personally wakati ni mwenyekiti wa kamati????!!!!!

Huyo ZZK mwenyewe maneno mengi, ninachojua huwa kuna utaratibu wa kutoa notification kwa jambo au limecheleweshwa au halikufanywa kabisa, sasa unataka kusema POAC wametoa notification yoyote ikashindikana hadi wakaamua kuibroadcast hii habari? Mbona kuna dalili kuwa kuna jambo! Na itakuwa ana maana gani kusema 4yrs wakati ni mwaka mmoja tu tena ambao bado haujaisha? Pamoja na kuwa mwaka wa serikali unaishia July, angeuliza si angepewa maelezo kwa nini imechelewa? Hapa mchezo unaweza kuwa wa kuchuja hadi anabaki yule uliyekuwa unamtafuta. Kumbe kuna ambao hawajawahi kupeleka na wala hawatajwi sana, ZZK anataka kusema ameilenga CCM au CDM? Ngoja tuone mwisho wa mziki utakuwaje
 
Mimi sifanyi siasa hapa, natekeleza jukumu langu kama mwenyekiti wa kamati,......nipo tayari kunyongwa nikitetea masilahi ya umma"
Wakati wowote ule, sijapata kuelewa Wanasiasa humaanisha nini kwa maneno "Masilahi ya Umma"? Kuna kila haja ya kupata tafsiri ya Kikatiba ya maneno haya ili kuepusha mkanganyiko katika matumizi yake.

Maswali:
  1. Iwapo siku ya PAC kuwahoji Makatibu Wakuu Dr.W.Slaa atakuwa na udhuru wa kushindwa kuhudhuria, ni nani ndani ya CHADEMA anapaswa kumwakilisha?
  2. Na, Je kwenye Jopo la kumuhoji mwakilishi wa CHADEMA Zitto atasimama kwa kofia ipi? Hakuna mgongano au mgogoro katika vyeo vyake dhidi ya azma iliyo mbele yake?
 
Ishu ya ukaguzi kwenye vyama ni rahisi. Serikali iseme kwa maandishi/kisheria kuwa nani anatakiwa kukagua vyama vya siasa.

CAG anatakiwa kwnd kukagua kikatiba,Zito aseme kama CAG alinyimwa hesabu hizo,chini ya kifungu cha 14 kifungu kidogo cha 2 cha sheria ya vyama vya siasa,chama kipeleke audited accounts kwa msajili.hii inapotoshwa makusudi
 
Zitto kachemka sana.mtuhumiwa hapo ni Msajiri na ndiyo kamati ya zitto inapoishia kiutendaji, Kinachofanywa na PAC kwa sasa ni sawa na CEO wa shirika aulize utendaji kazi wa mhudumu wa ofisi wakati MAJIBU ANAPASWA APATE KUTOKA KWA dIRECTOR of HR.This is too low kwa PAC. Anyways!!!au kwa sababu kamati yenyewe imekusanya takataka hadi kina ADEN RAGE.Poleni wana PAC kuna siku mtakwenda na TANAPA kuuliza akina nani wame-supply goods and services

Hoja yako ipo sawa......Ila nimecheka sana
 
wewe ni mwehu, kwani yy ni mhasibu wa chadema?? acheni uroho

Wewe ni hewa kabisa. Kama suala ni uhasibu, Nape alipokalisha mbupu zake mbele ya wanahabari kusema wanakaguliwa alikuwa anasema kama mhasibu au kama nani?
 
Kama hii taarifa ya Bw. Anthony Komu ni sahihi basi Zitto Kabwe atakuwa ana matatizo makubwa sana kwenye ubongo wake. Kwamba haelewei haya ndani ya chama chake hadi kukiingiza kwenye kapu la kutaka kikatiwe ruzuku? Vipi kwa NCCR Mageuzi ambao nao taarifa za ukaguzi wake zinaonekana kufika kwa CAG na msajili wa vyama? Right, inawezekana analenga kile anachokiita maslahi ya taifa lakini hata kutaka kujiridhisha kwa taarifa anashindwa?

Inawezekana ni wewe ndo mwenye chuki ya kike. PAC ndiyo imetoa akizo kwa vyama vya siasa na si Zitto kama unavilazimisha iwe. Chuki zako za kipuuzi kwa Zitto, peleka huko ....hazitamzuia yeye kutekeleza majukumu yake kama mwenyekiti wa PAC! ...over...
 
Pesa ya serikali bora umefuata taratibu wahusika wamesaini basi, mambo ya ilifanya nini na kwa nini huwa hakuna.
Mtu kazi anafanya masaa 3 anaandika kafanya kwa siku 10 na mabosi wanasaini. Kiutaratibu hakuna kosa, PAC watapewa makaratasi bac!!
Zitto naona anaongeza list ya pending zake... na hii baadaye inaweza kuwa pending pia...
a) Pesa za uswis - pending.... (on going)
b) Matumizi ya ruzuku vyama vya siasa -- (active)
 
CAG anatakiwa azifuate au vyama vinatakiwa vipeleke?????!!!!!

Watu wanatafutwa kila siku na ndio kazi ya taratibu na kanuni achilia mbali sheria zooote ni kumulika wazembe!!!!!!

Attendance register pia inatafuta mtu anayeitwa mchelewaji,au kazi yake nini?????!!!!!!

Nafikiri hujamuelewa; ameuliza swali la msingi.. Jukumu la kukagua au kuhakikisha zimekaguliwa ni la CAG au Chama husika (in this case CDM)..? Kama ni la CAG, je, walifanya kazi yao ya kwenda kukagua au walienda kukagua wakanyimwa access to the required information (i.e. limitation of scope).? Kama ni jukumu la chama, je, walimu-engage independent auditor kukagua hesabu zao na wao kuziwasilisha kwa msajili.? If chama walikaguliwa kwa madai ya Komu na hesabu kaguliwa (audited accounts) zikawa submitted to the right authorities as required; then hakuna cha ku-discuss here..!!
 
Zitto anatafuta attention ya wajinga ambao ni wengi na anajua atawapata tu na kuwapa cha kusema

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom