CHADEMA wamfungulia kesi Nape

Huku sasa nimkutafutia Nape ugonjwa wa shinikizo la damu kabla ya umri wake, hawa mapoyoyo wapunguze kuropoka, hivi kama alishindwa kufanya debate ambayo si ya kimahakama na Tundu Lisu juzi star tv sasa akisimamishwa kizimbani si ndio atajinyea!!??
 
CDM wamempeleka dogo Nape mahakamani wkt CDM hawana imani na mahakama sasa sijui itakuaje.
 
Nilisikia akisema kuwa naye ataifungulia CDM kesi, halafu nikagundua kuwa huyu mtu anaishi kwa kuiga "Anakula kwa kutumia hamu (appetite) ya wengine" Yaani CDM wakifungua kesi wakida 3bilioni naye anafungua kesi anadai fidia ya 3bil na shilingi ngapi hata nimesahau. Yaani CDM wakimkataa Tendwa utasikia na yeye akimkataa huyu mtu hana mahali pa kushika ukifanya vituko naye atafanya vituko, ukikosea na yeye atakosea hana mwelekeo. Utafikiri mtoto wa Darasa la pili!!! CCM itamfia mikononi.
 
Ona atakavyoropoka, labda wawanunue majaji
Mkuu kesi kama hii kununua majaji huwezi kwa kuwa anayeshitaki ni CDM,hivyo
Nnape anatakiwa alete ushahidi unaoonyesha hizo nchi zinazotoa hizo hela.
Akiweza kuthibitishe na mahakama ikaridhika atakuwa ameshinda.Sasa je,
anao hou ushahidi?Je hizo nchi atakazozitaja zikikataa ana kielelezo?
 
Kwa katiba tuliyo nayo CDM haiwezi kushinda kwa vile Mahakama za Tanzania hazina uhuru kamili. Ni vigumu sana kwa majaji wanaoteuliwa na Mwenyekiti wa Chama tawala CCM bila "vetting" kutoa hukumu itakayomuangusha kigogo wa CCM kama Nape. Yangu macho na masikio!
 
Huku sasa nimkutafutia Nape ugonjwa wa shinikizo la damu kabla ya umri wake, hawa mapoyoyo wapunguze kuropoka, hivi kama alishindwa kufanya debate ambayo si ya kimahakama na Tundu Lisu juzi star tv sasa akisimamishwa kizimbani si ndio atajinyea!!??
Mkuu embu utujuze hii kitu ilikuwaje, maana huku nilipo naona TV ya kipeperushi cha magamba pekee.
 
du umenikumbusha juzi jpili kwenye star tv alipandwa na jazba akaanza kuropoka ooo lisu anadanganya aaaa kumbe yupo vile je mahakamani si ndio atakimbia nchi

Mkuu jpili alibanwa kwelikweli ile ishu ya zanzibar bububu kuhusu ule mkutano akaanza kujikanyagatu ooh taarifa sina ooh zanzibar sensa wamemaliza,swali zanzibar sio tanzania ipo hewani?
 
Nape kazidi kuwa na points za kijuha na uzuzu na sijui jamaa huyu kasomea nursey gan? Primary gan? Secondary gan? High school gan na chuo kipi? Kwani jamaa ni mbumbumbu kupitiliza........... Sasa hapa makanda wangu wangu like prof.safari ndio pakukamatia mwizi.
 
Back
Top Bottom