Akome kazidi kuropoka bila utafiti.
hapo naona aliyewashauri cdm kwenda mahakamani kawauza. ccm kwa kugushi achana nao, mbona hizo data watakuja nazo.
Akome kazidi kuropoka bila utafiti.
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Msemaji wa nape?
Kwa hiyo watakuja na za kugushi mahakamani?hapo naona aliyewashauri cdm kwenda mahakamani kawauza. ccm kwa kugushi achana nao, mbona hizo data watakuja nazo.
Hapa sio suala la nchi kukataa ila katika akili ya kawaida ambayo haihitaji hata cheti cha sheria hakuna nchi yeyote duniani inaweza kuingia mkataba wa namna hiyo.Hizo ni propoganda za siasa ambazo anatakiwa athibitishe sasa.Kumbukeni ya Mwembeyanga ya mafisadi waliapa kwenda mahakamani watajwa je walienda? CDM hawakurupuki mtaona muda tunao.Hii kesi inaweza kuwa ngumu sana kwa upande wa Nape kwa sababu kwenye madai yake (yeye Nape) ni kwamba kuna nchi za nje zinazotoa fedha kwa CHADEMA kwa makuliano ya kuuziwa/kupewa rasilimali za Tanzania. Hapa issue sio kupekea pesa, ila atatakiwa athibitishe beyond reasonable doubt kuwa kuna nchi zimetoa fedha kwa masharti wa kupewa rasilimali za Tanzania. Sasa itakuwaje kama hizo nchi zitakataa?
Mkuu ondoa wasiwasi, haijalishi kama jaji atambeba ama la, kwa kuwa kesi zinaendeshwa hadharani na watanzania siku hizi tunaakili ya kupima ukweli, tutapima ushahidi na kutoa hukumu yetu ya kijamii hapa JF.Tatizo Hakimu Ni CCM
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.
Ni wakati wa Chadema kuumbuka. Nape atakuja na ushahidi wa kutosha.