Hasira ikiisha rudi utoe mawazo yako. Unaongelea njaa wakati umepita kwenye supu na vitumbua asubuhi hiiNi kweli kama sio mpumbavu basi atakuwa taahira,na hakika ni mtu mwenye laana kubwa iliyotokana na dhuluma ya umma wenye shida na njaa,tena zinazoletwa na mtawala legelege kiutawala ila mwenye nguvu na imara kwa ufisadi wa mchana kweupe,na unafiki,uongo na kukosa huruma kwa wananchi wenzake.
Kufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.
Faiza in faith ur now my Friend, but may i remind U this... Hakuna kidumucho chini ya hili jua..ni vyema ukabaki na mapenzi yako kwa chama but yasipitilize na kuamini kitadumu mileleKufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.
Atleast U talk something today,. keep up brotherBoss sio kwamba ww hauna chama chochote, wote humu ndani JF tunajuana nani yuko upande gani. Boss wewe ni CHADEMA kufa na unajulikana . Kuchukua nchi hii kwa CDM bado ni jibu tete sana, na uelewe siasa ni kitu cha mabadiliko hata hao ccm nao wakijipanga vizuri na kutekeleza ahadi zao vizuri usije shangaa wakapita kiubwete. Nalo watakiwa kulizingatia, usiwe one sided ww kama GT
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chadema wala ccm....but nikiwa kama mtanzania huru ambaye nafuatilia japo sio kwa undani saana siasa za nchi hii.....
Sasa niko convinced kabisa kuwa CHADEMA wanaelekea kuchukua uongozi wa nchi... na kwamba kifo cha CCM sasa ni uhakika.....tatizo langu ni hili .....
Je, CHADEMA wanajiandaa kweli kuendesha nchi?
Wasiwasi wangu ni kuwa wanatumia nguvu kuubwa kupambana na kuiondoa CCM na ikitokea kwa mfano huu uchaguzi wa Igunga CCM wametangazw
http://www.google.com
khaa sasa unamlazimisha kuwa chadema wewe mpe point labda unaeza kumconviceboss sio kwamba ww hauna chama chochote, wote humu ndani jf tunajuana nani yuko upande gani. Boss wewe ni chadema kufa na unajulikana . Kuchukua nchi hii kwa cdm bado ni jibu tete sana, na uelewe siasa ni kitu cha mabadiliko hata hao ccm nao wakijipanga vizuri na kutekeleza ahadi zao vizuri usije shangaa wakapita kiubwete. Nalo watakiwa kulizingatia, usiwe one sided ww kama gt
BAKWATA walikuwahi kuomba dua.Naanza kwa ombi hili kwa Allah>>>>>>> MUNGU ibariki Tanzania,Mungu Ibariki CHADEMA...Tusaidie watanzania tuelewe namna tunavyoteswa na kunyanyaswa,tupatie hekima na uwezo wa kujua uhaini wa CCM,wapatie hekima viongozi wa CHADEMA,wanachama na mashabiki wake,tulinde dhidi ya uovu na uhaini wa CCM..tunaamini katika wewe maaana unaona mateso yetu watanzania.Amen!!!
Baada ya ombi hili,nawatia moyo wanaharakati,wapiganaji,maskini kama mimi,kuwa mapambano yaendelee bila kukata tamaa,bila kuangalia tumeshinda au tumeshindwa Igunga maana matokeo mpaka sasa bado...Ukombozi hauji kwa siku moja ni mchakato,nimefarijika mpaka sasa kule Hanang sasa CHADEMA nimesikia tuna viti 12 na CCM viti 12 vya udiwani..hii ni dalili nzuri kwa ukombozi wa taifa hili...Nawaambia msiogope,msikate tamaa,msilale,msinunuliwe,msirudi nyuma,jitoeni kwa dhati kabisa kwa ukombozi wa Taifa hili,watoto wenu,wajukuu wenu watayasoma mawazo yenu kwenye hostoria ya taifa hili..songeni mbele maana kuna mwanga mzuri waonekana kwa mbali....CCM inaendelea kutumia umasikini wetu na ujinga wetu kututawala,lakini mwisho wao waja na wala sio mbali...Nawatia moyo Mungu yu-pamoja na sisi....
WAO NA PESA ZAO,SISI NA MUNGU WETU......
Dukani umemuacha nani?Navuka Singida nakwenda Igunga nitarudi baadaye.
Kwanza anzeni na kurekebisha vijiofisi vyenu kwanza. ofisi za chama zimekaa kama bucha.Pamoja kwa igunga na wapongeza cdm kwa icho walchopata ila chama kijtahdi 2014 tuanze na serikal za mitaa.mungu ashukuriwe propaganda zao azjafanikiwa kwa kiwango cha juu japo zimeiuwa kafu kwa bara.viva cdm
BAKWATA walikuwahi kuomba dua.