CHADEMA wamejiandaa vipi KUENDESHA NCHI?

Wajikoni kaniambia CDM naongoza.
Pia wajikoni kaniambia kuna kontena la kura limekamatwa Itigi
 
Ni kweli kama sio mpumbavu basi atakuwa taahira,na hakika ni mtu mwenye laana kubwa iliyotokana na dhuluma ya umma wenye shida na njaa,tena zinazoletwa na mtawala legelege kiutawala ila mwenye nguvu na imara kwa ufisadi wa mchana kweupe,na unafiki,uongo na kukosa huruma kwa wananchi wenzake.
 
Hasira ikiisha rudi utoe mawazo yako. Unaongelea njaa wakati umepita kwenye supu na vitumbua asubuhi hii
 
Sijakuelewa boss unaposema chadema wamejiaandaa kuendesha nchi, ni nchi ipi iyo?
 
Kufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.

FaizalFoxy

You must becrazy in ur head. Ni watu kama wewe wenye kufikiria kwa kutumia MASABURI wanaweza kuongea upuuzi kama huu.
Lakini kwa Great Thinkers USHINDI WA CCM IGUNGA SI USHINDI HATA KIDOGO kama tukifanya tathmini za kina. Labda nikupe highlights kidogo tu kuonyesha kuwa CCM wameshindwa Igunga na hii ni INDICATOR YA UCHAGUZI WA 2015 kuwa CCM hawatapata kitu:
  1. CCM wametumia NGUVU KUBWA sana kwa maana ya PESA about 10 Bilioni zimetumika Igunga peke yake! Je 2015 wataweza kutumia gharama kama hiyo kwa kila jimbo? The answer is a big NO!
  2. CCM wametumia raslimali za Serikali kwenye Kampeni za Igunga kwa maana ya MAGARI YA SERIKALI PAMOJA NA MAWAZIRI ambao wametumia pesa ya walipa kodi kuifanyia kampeni CCM kitu ambacho si HALALI na 2015 nafasi kama hiyo hawatakuwa nayo!.
  3. CCM wametumia uchakachauji na HONGO/RUSHWA ili kuwanunua wapiga kura wenye njaa huko Igunga. Tumesikia kukamatwa kwa gari la CCM/Serikali lilokuwa na 20 millioni Tshs. lakini hakuna hatua zozote zimechukuliwa zidi ya CCM.
CCM wakae mkao wa KUONDOKA IKULU 2015. Hilo halina ubishi.
 
Asanteni sana wakuu kwa michango yenu na HOJA zenye taswira enderevu!

Ila jamani nawaombeni kwa dhati mjitahidi kutumia lugha ya taifa, maana ujumbe wenu unatugusa hata sisi wa shule za kata! Sioni umuhimu wakutumia lugha za kigeni zaidi ikiwa mtoa mada katumia yetu ili ujumbe umfikie kila mtu. Ktk kupambana na ufisadi, ubadhilifu, unyonyaji na mfumo mbovu wa utawala hata mimi (wa shule za kata) nahusika, hivyo jamani msinitenge kwa LUGHA!

MUNGU ISAIDIE CHADEMA!!
 
The Boss sio kwamba ww hauna chama chochote, wote humu ndani JF tunajuana nani yuko upande gani. Boss wewe ni CHADEMA kufa na unajulikana.

Kuchukua nchi hii kwa CHADEMA bado ni jibu tete sana, na uelewe siasa ni kitu cha mabadiliko hata hao ccm nao wakijipanga vizuri na kutekeleza ahadi zao vizuri usije shangaa wakapita kiubwete. Nalo watakiwa kulizingatia, usiwe one sided ww kama GT
 
Naanza kwa ombi hili kwa Allah>>>>>>> MUNGU ibariki Tanzania,Mungu Ibariki CHADEMA...Tusaidie watanzania tuelewe namna tunavyoteswa na kunyanyaswa,tupatie hekima na uwezo wa kujua uhaini wa CCM,wapatie hekima viongozi wa CHADEMA,wanachama na mashabiki wake,tulinde dhidi ya uovu na uhaini wa CCM..tunaamini katika wewe maaana unaona mateso yetu watanzania.Amen!!!

Baada ya ombi hili,nawatia moyo wanaharakati,wapiganaji,maskini kama mimi,kuwa mapambano yaendelee bila kukata tamaa,bila kuangalia tumeshinda au tumeshindwa Igunga maana matokeo mpaka sasa bado...Ukombozi hauji kwa siku moja ni mchakato,nimefarijika mpaka sasa kule Hanang sasa CHADEMA nimesikia tuna viti 12 na CCM viti 12 vya udiwani..hii ni dalili nzuri kwa ukombozi wa taifa hili...Nawaambia msiogope,msikate tamaa,msilale,msinunuliwe,msirudi nyuma,jitoeni kwa dhati kabisa kwa ukombozi wa Taifa hili,watoto wenu,wajukuu wenu watayasoma mawazo yenu kwenye hostoria ya taifa hili..songeni mbele maana kuna mwanga mzuri waonekana kwa mbali....CCM inaendelea kutumia umasikini wetu na ujinga wetu kututawala,lakini mwisho wao waja na wala sio mbali...Nawatia moyo Mungu yu-pamoja na sisi....

WAO NA PESA ZAO,SISI NA MUNGU WETU......
 
Kufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.
Faiza in faith ur now my Friend, but may i remind U this... Hakuna kidumucho chini ya hili jua..ni vyema ukabaki na mapenzi yako kwa chama but yasipitilize na kuamini kitadumu milele
 
Boss sio kwamba ww hauna chama chochote, wote humu ndani JF tunajuana nani yuko upande gani. Boss wewe ni CHADEMA kufa na unajulikana . Kuchukua nchi hii kwa CDM bado ni jibu tete sana, na uelewe siasa ni kitu cha mabadiliko hata hao ccm nao wakijipanga vizuri na kutekeleza ahadi zao vizuri usije shangaa wakapita kiubwete. Nalo watakiwa kulizingatia, usiwe one sided ww kama GT
Atleast U talk something today,. keep up brother
 
Mimi sijawahi kuwa mwanachama wa chadema wala ccm....but nikiwa kama mtanzania huru ambaye nafuatilia japo sio kwa undani saana siasa za nchi hii.....

Sasa niko convinced kabisa kuwa CHADEMA wanaelekea kuchukua uongozi wa nchi... na kwamba kifo cha CCM sasa ni uhakika.....tatizo langu ni hili .....

Je, CHADEMA wanajiandaa kweli kuendesha nchi?

Wasiwasi wangu ni kuwa wanatumia nguvu kuubwa kupambana na kuiondoa CCM na ikitokea kwa mfano huu uchaguzi wa Igunga CCM wametangazw
http://www.google.com
 
boss sio kwamba ww hauna chama chochote, wote humu ndani jf tunajuana nani yuko upande gani. Boss wewe ni chadema kufa na unajulikana . Kuchukua nchi hii kwa cdm bado ni jibu tete sana, na uelewe siasa ni kitu cha mabadiliko hata hao ccm nao wakijipanga vizuri na kutekeleza ahadi zao vizuri usije shangaa wakapita kiubwete. Nalo watakiwa kulizingatia, usiwe one sided ww kama gt
khaa sasa unamlazimisha kuwa chadema wewe mpe point labda unaeza kumconvice
 
Pamoja kwa igunga na wapongeza cdm kwa icho walchopata ila chama kijtahdi 2014 tuanze na serikal za mitaa.mungu ashukuriwe propaganda zao azjafanikiwa kwa kiwango cha juu japo zimeiuwa kafu kwa bara.viva cdm
 
Naanza kwa ombi hili kwa Allah>>>>>>> MUNGU ibariki Tanzania,Mungu Ibariki CHADEMA...Tusaidie watanzania tuelewe namna tunavyoteswa na kunyanyaswa,tupatie hekima na uwezo wa kujua uhaini wa CCM,wapatie hekima viongozi wa CHADEMA,wanachama na mashabiki wake,tulinde dhidi ya uovu na uhaini wa CCM..tunaamini katika wewe maaana unaona mateso yetu watanzania.Amen!!!

Baada ya ombi hili,nawatia moyo wanaharakati,wapiganaji,maskini kama mimi,kuwa mapambano yaendelee bila kukata tamaa,bila kuangalia tumeshinda au tumeshindwa Igunga maana matokeo mpaka sasa bado...Ukombozi hauji kwa siku moja ni mchakato,nimefarijika mpaka sasa kule Hanang sasa CHADEMA nimesikia tuna viti 12 na CCM viti 12 vya udiwani..hii ni dalili nzuri kwa ukombozi wa taifa hili...Nawaambia msiogope,msikate tamaa,msilale,msinunuliwe,msirudi nyuma,jitoeni kwa dhati kabisa kwa ukombozi wa Taifa hili,watoto wenu,wajukuu wenu watayasoma mawazo yenu kwenye hostoria ya taifa hili..songeni mbele maana kuna mwanga mzuri waonekana kwa mbali....CCM inaendelea kutumia umasikini wetu na ujinga wetu kututawala,lakini mwisho wao waja na wala sio mbali...Nawatia moyo Mungu yu-pamoja na sisi....

WAO NA PESA ZAO,SISI NA MUNGU WETU......
BAKWATA walikuwahi kuomba dua.
 
Pamoja kwa igunga na wapongeza cdm kwa icho walchopata ila chama kijtahdi 2014 tuanze na serikal za mitaa.mungu ashukuriwe propaganda zao azjafanikiwa kwa kiwango cha juu japo zimeiuwa kafu kwa bara.viva cdm
Kwanza anzeni na kurekebisha vijiofisi vyenu kwanza. ofisi za chama zimekaa kama bucha.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom