CHADEMA wamejiandaa vipi KUENDESHA NCHI?

bhageshi

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
264
101
Kufikiria kuwa CHADEMA wanaweza kuongoza kupata kuongoza nchi ni alinacha. Igunga kipimo tosha.

Huwa nakueshim sana na posts zako nyingi lakini unaposhindwa kufanya tahimini ndogo sana kama hii ya takwimu za uchaguzi kwa upande wa ccm napata wasiwasi na ulewa wako wa wa HESABU na sisemi HISABATI, narudia tena HESABU, maana viongozi wengi wa ccm wamesoma HESABU na walikuwa wanafeli kweli HISABATI, lakini sasa inapofikia hata HESABU haisaidii napata sana wasiwasi juu ya haya yaandikwayo na watu niliokuwa nawaheshimu. chama kilikuwa kinashinda kwa kimbunga more than 89% kila mwaka au kila uchaguzi unaojitokeza wanashuka kwa asilimia bado takwimu hizo zinashindwa kukusaidia kuona wapi tunaelekea!!!!!!! au ndio UBISHI TU mradi umebisha pasipo kuangalia statistics facts. Faiza Badilisha kauli yako nirudishe heshima kwao.
 

maulaga

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
472
120
Nchi gani hiyo unayo ongelea hapa? Jifunzeni ustarabu kwanza halafu acheni udini. Hii nchi itaongozwa na watu wenye akili timamu na sio wavuta bangi.
Nitafurahi sana watu wenye akili timamu kama akina Rage wakiwana bastora zao viunoni watakapo iongoza nchi hii ambayo haina udini wala kufuata ushauri wa BAKWATA na Watainufaisha sana kwani kila mwanamke atakaye jifunika mtandio atakuwa mwakilishi wa waislamu wa Tanzania na mtanzania wakweli kuliko wanawake wanaojifungulia watoto kwenye majalala kwani fedha ya kuwapa huduma bora imepelekwa Igunga kuimarisha daraja la mto Mbutu.
 

Kimbojo

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
387
54
Usiwe na wasiwasi , tutaongozwa na Katiba ya chama na katiba ya nchi inayokuja mda si mrefu, Kwani CCm walikuwa na maandalizi ambayo ungeweza kuyataja?
 
21 Reactions
Reply
Top Bottom