Ndugu zanguni,
Taarifa nilizopata toka kwa ndugu zangu huko Kalenga ni kuwa wale wasindikizaji wa uchaguzi mdogo wa Kalenga tayari wameishakata tamaa na wameanza kuonyesha sura za kusikitisha kabla hata half time ya game haijafika.
Inasemekana kuwa baada ya Slaa kuhutubia watu waliokuwa wakisubiri mabasi ya kwenda mjini na watoto wadogo kwenye ufunguzi, kaamua kula kona na kumuachia kibaraka wake mmoja aitwaye mawazo aendelee kuwaza nini la kufanya.
Mimi niliishawaonya jamaa zangu wasiende huko lakini wakaniona mzushi, sasa yamewakuta
NA BADO!
Hivi huyu jamaa kila mtu anamkumbusha kupeleka rambirambi za mama wa watu na hasikii ila kila siku kuandika uozo tuu hapa JF jee kweli akili zake zinamtosha au tunabishana na chizi bure? Maana haiwezekani hela kidogo kama hiyo shs milioni moja ashindwe kuikusanya mwaka mmoja toka aile na kuipeleka kutokana na mazingira haya ya kusemwa sana.
Huyu sio bure, kichwani kumefyatuka.
,Lakini bado tunao wanachama ambao ni wafitini wakubwa bila kujitambua. Nimenukuu sababu ya kunukuu ninayo........!!!
Umeambiwa ? sasa hivi umeonekana ukitoa comments kwenye thread nyingine baada ya kuandika kuwa Mawazo ndo anaenda kusimamia kampeni, uongo kwa mtu mzima haufai, ulitegemea Katibu mkuu wa chama muda wote atakuwepo Kalenga ? hivi hana majukumu mengine ya kufanya ?
Unasumbuliwa na rambirambi za marehemu, si bure.
Chris Lukosi unaandamwa na mikosi kwa ku-swindal rambirambi
Umeshalaaniwa siku nyingi,na unabweka kama juha tu.
Rudisha rambirambi za mjane.
Rambi rambi za mwangosi utapeleka lini ndo mada yetu
weka picha tuone
Hivi huyu jamaa kila mtu anamkumbusha kupeleka rambirambi za mama wa watu na hasikii ila kila siku kuandika uozo tuu hapa JF jee kweli akili zake zinamtosha au tunabishana na chizi bure? Maana haiwezekani hela kidogo kama hiyo shs milioni moja ashindwe kuikusanya mwaka mmoja toka aile na kuipeleka kutokana na mazingira haya ya kusemwa sana.
Huyu sio bure, kichwani kumefyatuka.
Rambirambi mbaya jamani
.. haka kajamaa kalikula rambirambi za mjane sasa zinampeleka putter
Kuna Dr. mmoja hapa alishatuambia wazi kuwa Chris Lukosi ni mgonjwa wa magonjwa hatari mengi sana!!! Mkuu umeshapona??? Subiri kipenga cha mwisho!!! Mara ohh kukata tama, mara ohhh katibu na mwenyekiti anataka kutekwa!!! Maji shingoni!!! Mfa maji haachi kutapatapa!!! Mambo ndiyo yameanza!!! Ngoma inogile kalumbu!!!!
Mbona alishazi rambaramba?
Huyu mshikaji mwezi ukiingia gizani tu ni taabu tupu.
Mbona mnakuwa wakali na wepesi wa kusahau maada inayozungumzwa?
Tunataka points na siyo matusi yenu hayo. Tumeshawazoea bana. Mnajifanya wakali na mimatusi kibao lengo likiwa ni kupoteza na kuupoza uzi.
Kwangu CDM haina tofauti na CCM. Yeyote ashinde na mwingine ashindwe.

Majukumu gani mengine? hayupo kwenye bunge la katiba na hakuna chaguzi nyingine
daaaaah ukoo wa kuambiwaNdugu zanguni,
Taarifa nilizopata toka kwa ndugu zangu huko Kalenga ni kuwa wale wasindikizaji wa uchaguzi mdogo wa Kalenga tayari wameishakata tamaa na wameanza kuonyesha sura za kusikitisha kabla hata half time ya game haijafika.
Inasemekana kuwa baada ya Slaa kuhutubia watu waliokuwa wakisubiri mabasi ya kwenda mjini na watoto wadogo kwenye ufunguzi, kaamua kula kona na kumuachia kibaraka wake mmoja aitwaye mawazo aendelee kuwaza nini la kufanya.
Mimi niliishawaonya jamaa zangu wasiende huko lakini wakaniona mzushi, sasa yamewakuta
NA BADO!
Hawa ni misukule wako kazini, kazi yao ni moja tu! kushambulia kila hoja inayoletwa dhidi ya CHADEMA.Mbona mnakuwa wakali na wepesi wa kusahau maada inayozungumzwa?