CHADEMA wameishakata tamaa Kalenga kabla hata ya half time.

CHADEMA wameishakata tamaa Kalenga kabla hata ya half time.

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,948
Ndugu zanguni,

Taarifa nilizopata toka kwa ndugu zangu huko Kalenga ni kuwa wale wasindikizaji wa uchaguzi mdogo wa Kalenga tayari wameishakata tamaa na wameanza kuonyesha sura za kusikitisha kabla hata half time ya game haijafika.

Inasemekana kuwa baada ya Slaa kuhutubia watu waliokuwa wakisubiri mabasi ya kwenda mjini na watoto wadogo kwenye ufunguzi, kaamua kula kona na kumuachia kibaraka wake mmoja aitwaye mawazo aendelee kuwaza nini la kufanya.

Mimi niliishawaonya jamaa zangu wasiende huko lakini wakaniona mzushi, sasa yamewakuta

NA BADO!
 
pipe-dream-1-postcard.jpg
 
,Lakini bado tunao wanachama ambao ni wafitini wakubwa bila kujitambua. Nimenukuu sababu ya kunukuu ninayo........!!!
 
Ndugu zanguni,

Taarifa nilizopata toka kwa ndugu zangu huko Kalenga ni kuwa wale wasindikizaji wa uchaguzi mdogo wa Kalenga tayari wameishakata tamaa na wameanza kuonyesha sura za kusikitisha kabla hata half time ya game haijafika.

Inasemekana kuwa baada ya Slaa kuhutubia watu waliokuwa wakisubiri mabasi ya kwenda mjini na watoto wadogo kwenye ufunguzi, kaamua kula kona na kumuachia kibaraka wake mmoja aitwaye mawazo aendelee kuwaza nini la kufanya.

Mimi niliishawaonya jamaa zangu wasiende huko lakini wakaniona mzushi, sasa yamewakuta

NA BADO!
Umeambiwa ? sasa hivi umeonekana ukitoa comments kwenye thread nyingine baada ya kuandika kuwa Mawazo ndo anaenda kusimamia kampeni, uongo kwa mtu mzima haufai, ulitegemea Katibu mkuu wa chama muda wote atakuwepo Kalenga ? hivi hana majukumu mengine ya kufanya ?
 
Unasumbuliwa na rambirambi za marehemu, si bure.
 
Chris Lukosi unaandamwa na mikosi kwa ku-swindal rambirambi
 
Last edited by a moderator:
Umeshalaaniwa siku nyingi,na unabweka kama juha tu.
Rudisha rambirambi za mjane.
 
Ndugu zanguni,

Taarifa nilizopata toka kwa ndugu zangu huko Kalenga ni kuwa wale wasindikizaji wa uchaguzi mdogo wa Kalenga tayari wameishakata tamaa na wameanza kuonyesha sura za kusikitisha kabla hata half time ya game haijafika.

Inasemekana kuwa baada ya Slaa kuhutubia watu waliokuwa wakisubiri mabasi ya kwenda mjini na watoto wadogo kwenye ufunguzi, kaamua kula kona na kumuachia kibaraka wake mmoja aitwaye mawazo aendelee kuwaza nini la kufanya.

Mimi niliishawaonya jamaa zangu wasiende huko lakini wakaniona mzushi, sasa yamewakuta

NA BADO!
weka picha tuone
 
Unasumbuliwa na rambirambi za marehemu, si bure.
Hivi huyu jamaa kila mtu anamkumbusha kupeleka rambirambi za mama wa watu na hasikii ila kila siku kuandika uozo tuu hapa JF jee kweli akili zake zinamtosha au tunabishana na chizi bure? Maana haiwezekani hela kidogo kama hiyo shs milioni moja ashindwe kuikusanya mwaka mmoja toka aile na kuipeleka kutokana na mazingira haya ya kusemwa sana.
Huyu sio bure, kichwani kumefyatuka.
 
Umeambiwa ? sasa hivi umeonekana ukitoa comments kwenye thread nyingine baada ya kuandika kuwa Mawazo ndo anaenda kusimamia kampeni, uongo kwa mtu mzima haufai, ulitegemea Katibu mkuu wa chama muda wote atakuwepo Kalenga ? hivi hana majukumu mengine ya kufanya ?
Majukumu gani mengine? hayupo kwenye bunge la katiba na hakuna chaguzi nyingine
 
Kuna Dr. mmoja hapa alishatuambia wazi kuwa Chris Lukosi ni mgonjwa wa magonjwa hatari mengi sana!!! Mkuu umeshapona??? Subiri kipenga cha mwisho!!! Mara ohh kukata tama, mara ohhh katibu na mwenyekiti anataka kutekwa!!! Maji shingoni!!! Mfa maji haachi kutapatapa!!! Mambo ndiyo yameanza!!! Ngoma inogile kalumbu!!!!
 
Ndugu zanguni,

Taarifa nilizopata toka kwa ndugu zangu huko Kalenga ni kuwa wale wasindikizaji wa uchaguzi mdogo wa Kalenga tayari wameishakata tamaa na wameanza kuonyesha sura za kusikitisha kabla hata half time ya game haijafika.

Inasemekana kuwa baada ya Slaa kuhutubia watu waliokuwa wakisubiri mabasi ya kwenda mjini na watoto wadogo kwenye ufunguzi, kaamua kula kona na kumuachia kibaraka wake mmoja aitwaye mawazo aendelee kuwaza nini la kufanya.

Mimi niliishawaonya jamaa zangu wasiende huko lakini wakaniona mzushi, sasa yamewakuta

NA BADO!

Vipi hii unaizungumziaje? Maana naona umejivua akili wakati picha kama hizi zinajionyesha jinsi CCM ilivyo huko Kalenga. umeona mgombea wenu anavyohutubia na jinsi hao waliomsindikiza sura zao na mkao wao ulivyo?

IMG_0078.JPG
 
Nipo Kalenga hata asipopata msaada wowote huyu mama jimbo atachukua.huwezi kuamini huyu mama ni so popular
 
  • Thanks
Reactions: MTK
[h=2]Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA[/h]
Kwenu Wasomaji….Natumia nafasi hii kwanza kuwasalimieni wana jamii forum na waTanzania wenzangu kwani ni mara yangu ya kwanza kuandika hapa japo si mgeni sana kusoma yanayochangiwa na wengine.

Bila ya kupoteza muda, nalazimika kuandika hapa kutokana maandishi ya Mr Chris Lukosi ya mara kwa mara juu ya mapenzi yake na chama Tawala (CCM) na mtizamo wake binafsi dhidi ya chama kikuu pinzani (CHADEMA)

Nitajitahidi kuandika kwa ufupi sana kadri niwezavyo kwa kutumia facts zenye wepesi wa kueleweka na bila emotions ili kumsaidia mlengwa na wote wenye kuwaza sawa na yeye.

Kwako Mr Chris Lukosi....Historia inatufundisha wazi kwamba upande wowote ambao ulishawahi kuingia kwenye ushindani wa aina yoyote ile bila kujijua uwezo (let alone uwezo wa adui) matokeo yake siku zote uwa ni failures zisizoelezeka.

Natambua wazi kwamba wewe unaniita rafiki yako na mimi ninapenda niamini hivyo kwa kizingatia hata leo tumeongea kwenye simu kuhusu una/liyoandika na nikakupa ushauri (siri) wangu ambao haukufuatwa na matokeo yake ukalitaja jina langu vibaya ktk hali isiyovumilika iliyopelekea watu kunihoji. Mimi kama rafiki yako ninakuandikia kwa njia hii unayoipenda wewe ili upate kusaidika.

Angalizo: Nitatumia lugha nyepesi ambayo nitaitetea kwa kirahisi endapo utaamua kuona umeonewa, na kwenda mbele ya haki.

Ninatumia nafasi yangu hii kukunyima nafasi ya kujibizana na wewe si kwa sababu tu hauna uwezo bali kwa sababu nahisi ni mgonjwa wa akili. Nimefanya tathmini kwa muda mrefu na kujadiliana na rafiki yangu (psychiatric specialist) na kujiridhisha kwamba inawezekana una ugonjwa wa akili uitwao OCD (Obsessive Compulsive Disorder). Na kwa sababu hii ndo maana unarudia rudia mambo ya zamani yasiyo na tija pasipo kuwa na tamati na hata unaposhauriwa haukomi.

Inawezekana una tatizo lingine la Delusions of Grandeur, ambalo linawafanya watu kama wewe wajihisi as being much greater and more powerful and influential than they really are… Hapa ndo utaona watu wanatangaza zaidi mionekano yao ya nje kwa gharama yoyote ili tu watu wadhanie ni watu wa muhimu sana katika jamii n.k.

Kwa uzoefu nilionao, nadhani wewe ni mwongo sana kwa sababu inawezekana una ugonjwa wa CLD (Compulsive Lying Disorder) - A person with CLD often lies to cover up feeling of inadequacy or low self-esteem. Inawezekana una-serious conflicting personalities (selves) ambazo zinakusababishia hata kujidanganya mwenyewe (Self Deception) na ndiyo maana mtu mzima unakuwa na account/Majina kama 10 hapa Jamii Forum na unaongea, kujijibu na kufurahia kutwa nzima uki-support-iwa na wenye upeo sawa na wako.

Maskini wa Mungu, pia inawezekana una ugonjwa unaitwa ASPD (Attention Seeking Personality Disorder). Kama niko sahihi, ninyi mna tabia ya ku-pretend kuwa saviours, rescuers, organisers, manipulators, mind-poisoners, drama queens, busy bees, false confessors, online victims and the list goes on….

Zaidi, inawezekana una ugonjwa mwingine unaitwa ODD (Oppositional Defiant Disorder) ambao baadhi ya symptoms zake ni hizi hapa:- Purposely annoying people, Not taking responsibility for your mistakes, Arguing with adults, Defying requests or instructions, Easily annoyed or angered (overreacting), Vindictive and Not following rules.

Inawezekana pia ulishapatwa na ugonjwa uitwao MPD (Multiple Personality Disorder) ambao watu wengi ujitibia wenyewe kwa ku-abuse pombe, ngono na/au drugs.

Mwisho wa yote inawezekana una LD (Literacy Disorders) in your case zinazochangiwa zaidi na shule ndogo sana na lack of educational and constructive exposure. Hizi disorders sitazipa nguvu na uzito nikizingatia inawezekana unajielewa vizuri katika mapungufu haya.

Kwenu Wasomaji…Nasema haya si kwa nia ya kumshambulia Mr Chris Lukosi, hapana bali kuwasaidieni asiendelee kuwapotezeeni muda wenu kwa kudhani mnajadili na kujenga kumbe ndo inawezekana ni kilevi chake cha kuwaenjoy watu na kujitafutia umaarufu usio mbadala.

Kwa mara nyingi sana nimeona watu makini wengi wakijibizana kwa kujenga hoja na huyu mtu kwa kuwa tu amefanikiwa kuwa deceive kwamba anastahili attention, mfano wa karibu ni huu wa kujibiwa na Dr W. Slaa. Watu makini nawaombeni kwa dhati muendeleze libeneke kwa kujadili mambo yenye tija kwa taifa letu kama ilivyo kawaida yenu na si ya huyu ninayemdhania kuwa mwenye mapungufu kiasi hiki. …Nawaomba muelewe kwa dhati kwamba ni haki ya kila mtu kupenga makamasi yanayomsumbua bila kujali cheo wala nafasi yake katika jamii. Hivyo basi msimlaumu na kumbeza yeyote aliyewahi kupoteza muda wake kumjibu Mr Chris Lukosi kwani "the geezer is equally annoying". Yeye anafurahia sana kuwafanya watu makini na wa heshima zenu kum-take serious…natumaini sasa hamtafanya hivyo… as you have been warned!!!… Waacheni wafu wamzike mfu wao….

Kwenu Wana-CDM…Mr. Mukosi amekuwa akijitamba kwamba yeye ni mwanzilishi wa CDM-UK na ameliendesha tawi kwa pesa yake…Iweje mtu uanzishe tawi na na ndani ya miezi mitatu likufukuze au ulihame? Haya ni baadhi ya mambo ameyasema na kwa kuwa CDM-UK ni watu makini na kwa pamoja tusigeweza kujibizana na mtu mdogo kama huyu na mwenye matatizo kama haya niliyoyataja na mengine mengi. Kwa niaba ya CDM-UK namshukuru tena kwa kidogo alichochangia na nitumaini letu ataendelea kuchangia huko hapaitapo nyumbani. Lakini si nia yetu kuvumilia mabezo; hivyo, Ili kutunza heshima ya CDM, nilimuomba na ninarudia kumwomba hapa,…atupe breakdown ya matumizi na mimi binafsi nitasimamia zoezi la kumpa haki yake.

Kwako Mr Chris Lukosi,.. kwa sababu wewe inawezekana ni mgonjwa, sitegemei unielewe kwa urahisi na ukijifanya kunielewa kwa urahisi itakuwa ni kwa sababu inawezekana una ugonjwa wa CLD - Compulsive Lying Disorder. Ukinichukia ni sawa kwa sababuinawezekana una ugonjwa wa ODD - Oppositional Defiant Disorder. Ni vyema ukaacha huu ujinga unaokaribiana na upumbavu,ukajifunza, ukafundishika, ukaelimika na ukapata kuwa mwana jamii mwema na mwenye kuheshimika….Naomba siku zote utambue mimi ni mkweli kwa kila kitu na kwa kila mtu na hii ni karama nimepewa na Mungu hivyo siku zote naongozwa na ubongo na si tumbo.

Hivi unaelewa kwamba, kila aliyevaa nguo za kike kwa kusudi la kuwafanya watu waamini ni mwanamke, ataitwa Mwanamke?, na vivyo hivyo kwa mwanamme?. Je unaelewa kwamba kweli itagundulika na kudhirika atakapoamua kuvua nguo hadharani?. Vivyo hivyo, binadamu mkimya siku zote ataonekana mwenye busara endapo anataka kuwafanya watu waamini hivyo, ila ujinga na upumbavu wake utaonekana pale atakapovua hadharani kwa kuandika au kuongea…na wewe sasa umedhihirika…Hii ni fani na zawadi, tuachie sisi tuipe heshima inayostahili.

Nimalizie tu kwa kukupa sifa kwamba wewe si mtu mbaya sana, ni vile tu unasongwa na matatizo yanayo-limit upana wako wa kuwaza. Ni wazi kuna baadhi ya mambo unayaweza vizuri kama vile mashairi, ngoma na kubeba box na ni vyema ukaendelea na hayo lakini hili la siasa waachie watu wenye akili timamu, maono na busara…….kwa sababu mimi ni mwenye upendo, nitaendelea kukuita rafiki mpaka hapo ukiniambia vinginevyo…Lakini hata siku moja usilitumie jina langu vibaya kwa faida nisizozielewa mimi.

Angalizo: Ukitaka kunijibu hapa kama ilivyo desturi yako ya kupenda marumbano; waweza kufanya hivyo, nami nitatoa muda wangu tena kama huu mara moja tu kuku-entertain wewe.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wake wema na uwalegeze wale wote wenye mawazo mgando na potofu kwa taifa letu.

Last edited by Dr A. Paurine; 3rd April 2013 at 12:18.​
 
Back
Top Bottom