"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

eti wamechakachua....na bado hapo hujaona kitu subiri 2014 ndio utajua ka hua wanachakachua au ni vitu LIVE
 
Dk.+Willibrod+Slaa+kutubia..jpg

Angalia vizuri hizo picha zote ni za jana kwenye mkutano wa Chadema Morogoro, picha hizi majukwaa yanafanana, tofauti ipo kwenye bendera picha moja ina bendera ingine aina, halafu angalia nyuma kabisa picha moja inaonyesha nyumba ingine aina nyumba.

JF daima....:clap2:

Naona Mkuu Duble Chris amewaingia Mkenge Magamba akina Ritz nayo yameingia Mkonge yanaleta Picha zaidi kujiumbua

Mkuu Ritz tuambie katika hizo ulizoweka ipi ni Sahihi ambayo haijachakachuliwa?
 
unamaanisha nini? we nawe kumbe kilaza ujue mi nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu wa busara kumbe kilaza wa ccm kafie mbele
 
SAM_4817.JPG

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

Hapa inaonyesha huna tofauti na mtu anaekikana kimvuli chake,vipi kichwani upo sawa au ulitupia kinywaji kidogo kabla ya kuudondosha huu Uzi jamvini!?.Kwani ni nini kimekufanya usiamini picha?Kama wewe ni mtaalamu Wa picha hebu tuonyeshe ni wapi na sisi tukuamini?
 
SAM_4817.JPG

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

HAYA UNAWEKA HOJA as a Main topic questioning a picture VALIDITY lakini hauelezi kasoro Unazoziona; Ila unaleta

Uwalakini na watu kuzungumzia huo Uwalakini bila hata wewe kuprove? HII NI HATARI kweli kwa NCHI yetu; watu

Wakianza kuleta habari na kusema ni Makosa lakini hamuonyeshi hayo Makosa; Italeta Machafuko NCHINI sasa kama

Mtu Mwingine kama Wewe akiweka Habari kuhusu UDINI au UKABILA na bila kuthibitisha na ni mbaya na watu wakariact

na huyo mtu haku-proove hiyo habari just like you... itatupeleka pabaya... JAMANI kama Hamna HOJA let it GO; sio

LAZIMA muweke hoja za CHUKI ili kila MTU AELEZE HAMAKI ZAKE? Nadhani JAMII FORUMS haikuanzishwa kwa Mantiki hiyo

Mnatumaliza kweli nyinyi watu msioona MBALI... Mmbebakia kubeba na kushabikia UCHAMA TU...
 
Hahaha Mimi nilikuweko Mkuu hakuna uchakachuaji hapo Mimi mwenyewe nilishidwa kupata picha za makamanda ka ajili ya nyomi iliyokuweko sikuweza kusogea mbele zaidi ya nilipo kuweko na ilikuwa ni umbali wa zaidi ya mita 300 jutoka jukwaa kuu.Polisi walidhani Kuua ni kutushia kumbe ndio walikuwa Wana hamasisha vichwa, watz wamechoka na kukata tamaa sema ni busara za makamanda kuto chukua au kufanya maamuzi magumu aka tahariri squire
SAM_4817.JPG
Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tuMasalaKulangwasource mjengwa
 
Naona Mkuu Duble Chris amewaingia Mkenge Magamba akina Ritz nayo yameingia Mkonge yanaleta Picha zaidi kujiumbua

Mkuu Ritz tuambie katika hizo ulizoweka ipi ni Sahihi ambayo haijachakachuliwa?

  • [h=2]"CHADEMA Wamechakachua Picha"![/h]

    quote_icon.png
    By Ritz
    Dk.+Willibrod+Slaa+kutubia..jpg

    Angalia vizuri hizo picha zote ni za jana kwenye mkutano wa Chadema Morogoro, picha hizi majukwaa yanafanana, tofauti ipo kwenye bendera picha moja ina bendera ingine aina, halafu angalia nyuma kabisa picha moja inaonyesha nyumba ingine aina nyumba.

    JF daima....:clap2:

    Naona Mkuu Duble Chris amewaingia Mkenge Magamba akina Ritz nayo yameingia Mkonge yanaleta Picha zaidi kujiumbua

    Mkuu Ritz tuambie katika hizo ulizoweka ipi ni Sahihi ambayo haijachakachuliwa?​

    "Kwa hiyo kwa mwaka 2010 Divisheni Four + Divisheni Zero Jumla yake ni 310,826 ====== 88.1%" Albedo Mwenyewe

  • [h=3]
    reply_40b.png
    [/h]

NILISEMAJE: HIYO PICHA HAPO JUU NDIO IMECHAKACHULIWA KUWANUFAISHA watu wachache... Sijui ni MJENGWA

NI HUYU JAMAA ALIYEBANDIKA HII HABARI... MNA SHANGAZA SANA... Main Picture ndio walio igushi sio ya UKWELI...

TUNDU+LISI+PIX+NO+1.jpg

Huyu ni Tundu Lisu; Bendera Ilee Ipo... Na Nyumba zilee zipo... Waongo Walee Wakimbia

Watanzania; Siasa Hatuzijui Kwanini tusijiangalie deep inside our hearts and see if we have truth in our selves?

Dk.+Willibrod+Slaa+kutubia..jpg

Dr. Slaa Bendera Ipo pale pale toka picha ya Mwanzo na wananchi hawajabadilika ati?

MAKAMU+MWENYEKITI+ZN+SAID+ISSA+MOHAMED.jpg

Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar Said Issa Mohamed

IGUNGA+PIX+NO+1.jpg

Joseph Kashindye... Bendera IPO na Nyumba zipo... Usanii Haupo... it is a Shame... low class

MNYIKA+AKIPANDA+JUKWAANI+PIX+NO+2.jpg

Umati upo pale pale...

UMATI+MKUTANO+WA+CHADEMA+PIX+NO+1.jpg

UMATI ni ULE ULE...
 
Tatizo wana CCM wengi hudhani uongo unazidi ukweli na kwa sababu habari za umbea huaminika kuliko kitu halisi....Picha hiyo ni kweli kabisa,mimi sina chama cho chochote ila huwa napenda kusikiliza sera za vyama tofauti,hivo nilishuhudia umati huo hapo Morogoro. Amini usiamini hiyo picha ni ya kweli......
 
kweli RITZ umeishiwa kwahiyo tofauti ni uwepo/kutokuwepo kwa bendera lakn watu ni wale wale?jitahidi kukubari ukweli kuwa GAMBA limekuelemea
 
Kama huamini ya MORO, katusubirie TANGA twaja na hko yakheeeeeeeeeeeeeeeee?
 
Hebu tuambie Nassari ndiyo yupi hapa?

SAM_4817.JPG

Acheni kutafuta sababu. Hapa ni Morogoro hata na mjomba wangu namuona hapa.

Na ukweli ni kwamba mjomba toka azaliwe hadi kichwa kimejaaa mvi hajafika hata mkoa wa Arusha maishani mwake.

Au ndio Technologia wamembandika mjomba wangu hapo?? Wamemjuaje kama ni mwenyeji wa Morogoro na wamepata wapi picha yake??

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Je katika hizo picha mbili zote kuna majengo yameonekana? Bendera hazijaonekana kwenye picha zote kwa sababu ya utofauti wa upigaji picha. Mimi nilikuwepo na nishahidi kuwa watu walikuwa wengi zaidi ya hiyo picha inavyoonesha kwani inaonesha upande mmoja wa mbele ya jukwaa mimi nilikuwa upande wa kushoto wa jukwaa ambao haupo hapo kwenye picha. Mbishi huwa haamini bila kushindwa naamini mtaamini tu 2015 hakuna haja ya kuwafosi kuamini.
 
kuna kitu hujakifahamu bado niuliza ukweli mimi niliyekuwepo nikupe data za ukweli watu walikuwa wengi kuliko unavyofikiria na hiyo siyo mida ya asubuhi ilikuwa ni jioni muda ambao watu walikuwa wengi kiasi kwamba huwezi pata hata sehemu ya kukanyga
 
KAka pole sana,hata TV huwa huangalii??? Ushahidi upi unao utaka? Nakushauri nenda ITV watakupa play back video ya siku ya tukio. PIa unaweza kwenda morogoro ukawauliza wenyeji na polisi na magamba yenyewe yatakuambia. Hili ni kutumia akili kidogo sana.
 
C.c.m mtaacha kulialia lini magamba? Kulia hakuwasaidii na ninyi nendeni kuvuna wanachama vijini badala ya kulialia na picha ambaya imetolewa na media sio chadema
 
unamaanisha nini? we nawe kumbe kilaza ujue mi nilikuwa nakuheshimu sana na kukuona ni mtu wa busara kumbe kilaza wa ccm kafie mbele
tatizo lako unakurupuka mno ni bora sana uwe unamsoma mtu kabla hujakurupuka. Unapoandikiwa source jaribu kuitafuta ujue nini kilichoko huko kabla hujapost chochote

M4C DAIMA MKUU
 
SAM_4817.JPG

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa

Mimi nataka kuwambia wale watu ambao wana macho yenye akili, waangalie yule mtu mwenye T-shirt jekundu na lile la punda mlia utaona limejirudia rudia, sasa watu kama hawa wanaoweza kuchakachua picha, watashindwa kuua,? kama wanaweza kuwahadaa wananchi kwa picha watashindwa kuhujumu nchi kulipa madeni wanayopata kutoka kwa ma agent wa ushoga ulimwenguni?
Watanzania tutafakari hiki chama cha wachaga land.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom