"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

"CHADEMA Wamechakachua Picha"!

Naona shughuli imenoga, CCM wanapigana kutoka kila front, it is a desperate war, they are quickly losing tactical ground; they are fighting every thing from the shades of their own sins,pictures to gun battle assisted by the police and corrupted state organs! Watu wa sampuli hii ndiyowaliosheheni TBCmagazeti ya Uhuru na ya vikaragosi walamba buti za magamba. Go CHADEMA go..... Aluta Continua. Hakuna kulala hadiukombozi kamili. Shame on you CCM boot lickers!
 
nimetumia ujuzi wangu wote wa photo reading and interpretation nikaunganisha na uwezo wangu wote wa kutumia photoshop na technolojia ya picha nimeconclude kuwa picha hii ni original haijafanyiwa editing au modification yoyote
 
...Gamba linaweweseka ndoto ya kuitawala Tanzania milele ni dhahiri haitotimia.... mlidhani Watanzania milele wataogopa virungu, maji ya kuwasha na risasi za moto kutoka kwa polisi magamba...imekula kwenu.
 

SAM_4817.JPG

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa



Hata ile ishu ya ulimboka cdm ndio waliochakachua.
 
Weka ambayo haijachakachuliwa....

ni kweli watu walikuwa wengi sana,walianza kupungua baada ya saa kumi na mbili ingawa Dr. Slaa alisema hawamalizi saa kumi na mbili,mpaka watu wachoke maana polisi walivuruga ratiba
 
JF members

Nilichokifanya mimi ni copy na kupaste mawazo toka kwa mjumbe wa Mjengwa blog kama yalivyo baada ya kuona yana utata nimeleta kwa Great thinkers ili muweze kumwelisha hali halisi ilivyo kuwa

nashukuru sana kwa wote walio toa ukweli halisi hasa kwa kuonesha picha zingine kutoka MICHUZI pamoja na Ritz nadhari sasa kabadilika mno hongera !!

asanteni
 
Acha uvivu wa kufikiri kama mtanzania aliyepoteza matumaini ya kuishi. Hii picha ni sahihi kabisa kwani hata mimi nilihudhuria mkutano huo ambao haijawahi tokea hapa moro coz nina miaka mingi naishi hapa. Pamoja na mauaji ya kudhamiria yaliyofanywa na polccm watu walikuwa wengi sana tena sana hadi ilipelekea mbunge wa ubungo 'Mnyika' kupaki gari lake nyuma na kuanza kutembea ili aweze kupenya huku watu wakimshangilia kwa nguvu. Dalili hii inaonyesha ccm imechakaa na watu hawaitaki tena. Go to the hell ccm.
 

SAM_4817.JPG

Mimi ni kati ya watu nisiyopenda propaganda za kijinga.Nani anaweza akaamini kuwa CHADEMA walipata watu umati wote huu jana wakati mtu mmoja alikuwa ameshauawa na wengine kujeruhiwa mchana huohuo? tuache kudanganyana hapa,CHADEMA wametengeneza hii picha siyo halisi.kama kweli watu wamejaa hivi baada ya mauwaji basi chama hiki kipo mioyoni mwa watu na hakuna atakaye kizuia.Hata hivyo msimamo wangu mpaka nitakapopata ushahidi mwingine ni kuwa picha hii chadema wameichakachua tu
MasalaKulangwa

source mjengwa




Acha kupayuka leta yako uliyopiga kuwa ndo picha halisi.
 
ni mawazo yako,waza unavyoweza>zile zilizoonyeshwa kwa itv zimechakachuliwa?
 
Maonesho ya wanamuziki yanahudhuriwa na maelfu ya watu, mbona hayawasaidii kuondoa umaskini (washabiki haanunui CD), maelfu ya watu wanahudhuria mikutano ya kidini mbona maasi yanaongezeka? Hivyo wingi wa watu usiwe kipimo cha mafanikio, wengi wakwenda kushuhudia tu, labda kumuona Slaa kwa macho yao, au Mbowe, wanataka wasisimuliwe,
Wabunge wa CDM wakiitisha mikutano majimboni mwao kama wanaipenda CDM wanahudhuria watu wengi hivyo? Inaonekana hata hao wabunge wanajitangaza kupitia viongozi wao wa kitaifa, tena wanashukuru maana wenyewe hawana ubavu.
 
Yaani nyie wazee wa liwalo na liwe, richmond, meremete, mgodi wa barrick, sh.315billion-uswizi, ulimboka, sinema ya kova mbona mnashangaza hata hii picha hamuiamini, tangu siasa za tz zianze sijawahi kuona ccm wamebanwa kiasi hichi, kazi yenu imekuwa kuji-defend tu na missiles za cdm, kazi ipo yaani mnapaki BASI kama mfumo ule wa Mourinho, poleni nchi inaondoka mikononi mwenu peupe, gamba nyie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom