Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.
RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na makundi ya watu fulani fulani.MAJAMAA wakatumia miezi kadhaa kuikanusa kwa nguvu kubwa na ndipo hapo watanzania wakaanza kuwastukia.
REPOTI ikasema tena kuwa kulikuwa na kundi la watu/VIJANA zaidi ya 500 Porini wakipatiwa mafunzo maalum ya jinsi ya kufanya vurugu.
Mzee Warioba na wanaharakati wenzake(Generali Ulimwengu) wakatengeneza "mahojiano ya mchongo",kukataa kwamba hakukuwa na kundi hilo la watu zaidi ya 500 mita kumi kutoka kilipo kituo cha Polisi.
Kachero wa Kivita wa China Tzu anasema "always appear far while your near and vice versa/ Opposite.."Hii ni kanuni ya Deception and trickery.
Sikushangaa adui kufanya "Operations" zake karibu na kituo cha Polisi,Ndio majambozi hayo.
Msikilize Ndugu John Heche,Makamu Mwenyekiti wa Chadema akiwa Mji wa Katoro, Geita ndio utajua kwamba No One alipanga vurugu za Oct 29 zaidi ya yeye na wenzake.
Ofisi ya Msajili "IMEMPROVOKE" HECHE bila kujua,hatamaye ameweza kufhnguka kwamba wao ndio walifanya Oct 29 iwe Oct 29 kupitia No Reforms No Election.
Hizi kauli za John Heche ni ngumu mno kuvumilika.Yaani anatishia tena kwamba Wanaweza kurudia ya Oct 29 kama Msajili atafanya lolote juu ya Chama chao.