Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Kwa sasa chadema ni kama wamepotoea,mwanzo walipata umaarufu kwa kujihusisha na "nguvu ya umma" ukiangalia mabadiliko haya yaliasisiwa na Lowassa katika sherehe za mwaka mpya wa 2016 alipotetea majipu katika ibada.
Tokea hapo wafuasi wa chadema wamekuwa mstari wa mbele kutetea na kuwafariji "majipu".Je ni muelekeo sahihi?
Nakaribisha maoni ya wadau.
Tokea hapo wafuasi wa chadema wamekuwa mstari wa mbele kutetea na kuwafariji "majipu".Je ni muelekeo sahihi?
Nakaribisha maoni ya wadau.