Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,917
- 33,493
Kama mlivyoisusia Voda?TBC Ni TV ya ajabu duniani. Tena jiepusheni nayo haina watazamaji na nyie mkijiunga nayo hakuna mtu atasoma habari zenu mtazisoma wenyewe.
Kama mlivyoisusia Voda?TBC Ni TV ya ajabu duniani. Tena jiepusheni nayo haina watazamaji na nyie mkijiunga nayo hakuna mtu atasoma habari zenu mtazisoma wenyewe.
Chadema watashika dola? Dola ile sarafu ya Marekani au?Waache kuandika na wasiandike milele!
CDM wakishika dola watakuwa wakwanza kujipendekeza!Maandishi ya habari makanjanja hayo!
Dunia kijiji.Ni ajabu waandishi wa habari bado wanajiona relevant, in this day and age, information monopoly hakuna tena.
Labda dola marekani au ya kanada.Nasisi kama CHADEMA hatutaki tuanfikwe na hatutaomba radhi...
Lakini wasali na kufunga sana tusishike dola
Kwani kampeni hizi ni za kutafuta dola ipi?Chadema watashika dola? Dola ile sarafu ya Marekani au?
Jana kwenye ufunguzi wa kampeni za ACT Lindi, most of the time camera silikuwa focused jukwaani na hazioneshi audience wanaposhangilia lakini walijitihadi kuacha sauti za wazungumzaji pasipo kukatisha kwa yale mazungumzo yao kama ya kwenye ufunguzi wa kampeni za CHADEMA.Sisi tuliokuwa nyumbani tukiangalia uzinduzi wa kampeini za CDM kupitia TBC1 tunajua kero tuliyosababishiwa na TBC1.
Hakukuwa na namna nzuri zaidi ya kuwataka waondoke. Kuondolewa kwao, pengine kuliwasaidia kujua namna nzuri ya kuchukua na kurusha matukio mubashara...
Kwanguvu za Tiss na policcm wakishirikiana na NEC hawawezi.lakini kwa hiking chama ambayo hakiwezi Kujaza uwanja bila wasanii? Hilo linawezekana CCM inaongezwa na NYAPARA LILILOCHOKAChadema watashika dola? Dola ile sarafu ya Marekani au?
Yaani njaa ni mbaya sana. Yaani watakao pata hasara sasa ni Chadema au ni waandishi wa habari wenyewe? Chadema iko kwenye roho za watu haihitaji kutangazwa. Ila waandishi wana taka maslahi. Kaleni Ccm uchaguzi ukiisha mtakuja wenyeweWanajitekenya wanacheka wenyewe, na sisi hatununui magazeti yao tuone ataumia nani