CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

Hawa Polisi hawana akili. Ndio maana Mkuu wao alipigia SALUTI mwili wa marehumu KANUMBA!

Hiyo kwa T. Lissu ni fasta imeisha!
Mkuu unadhani kuna kesi hapo,ni wahuni wamejipiga picha,wala hakuna ofisi ya cdm
 
Kama hii habari imetolewa na polisi basi nchi imeanza kuingizwa pabaya na wana usalama wetu kitengo cha propaganda cha polisi kinajitahidi kweli kweli kama hii ni polisi wameitoa watakuwa wanajidhalilisha sana.

Naomba mwenye picha zile ccm wakiwa na zana halisi za kivita aweke hapa.
 
Hawa Polisi hawana akili. Ndio maana Mkuu wao alipigia SALUTI mwili wa marehumu KANUMBA!
Nyie vijana ambao hata mgambo hamjapitia hamjui kitu.Maiti yeyote mwanajeshi na polisi hupigia saluti kama njia ya heshima ya marehemu.
 
Move hii itawasaidiaje CCM? Sana ni kupotezeana muda mahakamani na kumpa presha msajili akifute CDM. Mengi yanakuja.
 
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu

Umeona ehe!!!!! Eti vifaa vya kijeshi. Mleta mada inabidi uone aibu kwani inaelekea wewe na hao polisi hamjui vifaa vya kijeshi vinafafanaje.

Tiba
 
Ccm na polisi wake wako hoi Kama wanakuja kwenye media kwa ajili ya kuogopa manati
 
Mleta mada Tumia akili japo kidogo,visu vya kukatia nyanya na mandate ya kuwindia ndege ndo zana za kijeshi?nawe eti greater thinker ni shiiida.
 
Kwa umri wako wewe sishangai kwa propaganda hizi za kizee, ila ninapoona na vijana wenu wanafanya kama nyie napatwa na mashaka sana. Mama waambie tu BVR ziandikishe watu wote halafu hiyo october tuingie kwenye uchaguzi, safari hii nilishakuambia muandae jeshi la kutosha kuwabakisha madarakani. Hatukujua kama tuliwaachia wahuni na watu wenye uwezo mdogo hivi wa kuongoza nchi.

Baadhi ya upuuzi mliofanya ni kama eti mmiliki wa Dowans kuja nchini lakini akagoma kupigwa picha. Sasa naona ile impact muliyotegemea ya Act imegoma inabidi mje na mambo ya kitoto kama haya.

Sasa mmbakiza mbinu moja tu kama ile ya mkutano wa cdm kule soweto Arusha. Ila kurudi madarakani kwa njia ya kura wala msiendelee kuingia hasara kwa kumwaga hela kwani zitaliwa na vijana bure. Wewe upo kambi ipi, Membe au EL?

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Siku hizi chadema wana migodi?

Hivyo visu na manati nazo za nini kwenye siasa?

 
Halafu mbona masimulizi hayaendani na vinavyoonekana? Mtunga stories hajafuzu kuandika script vizuri iendane na clips zinazorekodiwa wakati was igizo...
 
Ccm kazi mnayo hivi vifaa vya kijeshi ni visu, buti na bendera??
 
Siku hizi chadema wana migodi?

Hivyo visu na manati nazo za nini kwenye siasa?

Picha hizi zinanikumbusha Alshabab wa Chagonja kule Tanga na Picha za Helikopta na askari wetu wa JWTZ wakipambana, halafu mmoja akafa bila kuzikwa popote.

Visu vya CUF ya Mahita siku hizi tunakatia kachumbali. Mwaka huu Magamba wanalo, kila mti wanaorukia unateleza
 
Sijaona vifaa vya kijeshi hapo, nilitarajia kukuta MG, LMG, RPG, mabomu ya kutega ardhini na ya kutupa, kifaru nk, ninachokiona hapo ni nguo za mitumba za mtaa wa kongo wanazovyaa wasanii huko marekani na buti za migodini...teteteh....kama hizo ndo taarifa za kiinterejensia tutashuhudia mengi mwaka huu
Watanzania msiwe wazembe wa kufikiri. Katika nchi zenye watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua mambo Tanzania nashani ni kinara.

Hakuna nchi inayoongozwa na watu makini inaweza kuacha huu upuuzi wa vyama vya siasa uendelee na hii hatua imechelewa mno na siamini kama hii serikali Ya jk ingeweza chukua hatua kama tusingepiga kelele. Watu wanaandaa makomandoo watanzania wanaangalia tu sasa nchi nzima hiki chama kina jeshi ambao ni mwanzo tu .

Na kutokana na ufukara wetu vijana ni dhahri wamekosa uzalendo na wanaweza kurubuniwa any time anywhere. Hivyo pongezi kwa jeshi la polisi ila wajue hii hatua imekuja too late na imezoeleka hii serikali haichukui uamuzi Mpaka watu tupige kelele ndo iamke katika usingizi wa pono
 
HII KALI MANATI YANATAKA KUVURUGA AMANI YA NCHI ama kweli mafisi mwaka huu yarudi msituni
 
Back
Top Bottom