Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,807
- 128,830
Siku hizi chadema wana migodi?
Hivyo visu na manati nazo za nini kwenye siasa?
Kwa umri wako wewe sishangai kwa propaganda hizi za kizee, ila ninapoona na vijana wenu wanafanya kama nyie napatwa na mashaka sana. Mama waambie tu BVR ziandikishe watu wote halafu hiyo october tuingie kwenye uchaguzi, safari hii nilishakuambia muandae jeshi la kutosha kuwabakisha madarakani. Hatukujua kama tuliwaachia wahuni na watu wenye uwezo mdogo hivi wa kuongoza nchi.
Baadhi ya upuuzi mliofanya ni kama eti mmiliki wa Dowans kuja nchini lakini akagoma kupigwa picha. Sasa naona ile impact muliyotegemea ya Act imegoma inabidi mje na mambo ya kitoto kama haya.
Sasa mmbakiza mbinu moja tu kama ile ya mkutano wa cdm kule soweto Arusha. Ila kurudi madarakani kwa njia ya kura wala msiendelee kuingia hasara kwa kumwaga hela kwani zitaliwa na vijana bure. Wewe upo kambi ipi, Membe au EL?