CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

Status
Not open for further replies.
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki

Excellent my lovely CDM,realy you walk on peoples power.YES CHANGE WE NEED!
 
Majudge wakenya wako fiti, lets hope hukumu kwa kuwa iko obivious itachukua siku si zaidi ya 10! Lakini kwa nini CCM wako hivyo, kwa nini wasiangalie proportionality tuu, Yaani hawajui au ndio makusudi? Kweli Vancad parties are enemies of right!
 
Si waanzishe maandamano nchi nzima si unajua tumeya miss kweli kweli!
 
Hi habari sio nzuri kwa Le Mutus.
Mtu ambaye yuko kwenye genge la wanyonyaji hii haiwezi kuwa habari njema si Baharia peke yake, maana kesho watachaguana na uchaguzi itabidi urudiwe sasa zile pesa wanazoongana saa hizi usiku huu itabidi waandae bajeti nyingine, maana watakuwa wameununuwa Ubunge kwa bei ya kuruka.
 
sijui ni mwanafalsafa gani alisema maeneno haya "ni heri kuishi siku moja ukiwa umesimama kuliko kuishi miaka mia ukiwa umepiga magoti"
 
Wakati mwingine wangempitisha tu mtu wao hafu rufaa baadae. Itakuwa too late to catch the moving train. Walimkataa JK, Leo wamemkubali. Waligomea Mchakato wa Katiba Leo wamempeleka Baregu. Sometimes they o not think deep. Wanasusa wenzao wanakula.

We mpuuzi kweli! Bilashaka una mapepo /majini mabaya sana unahitaji kuombewa na Anthony Lusekelo (Mzee wa upako)
 
bibi ki kakurupuka hebu someni hapa hakuna panapoonyesha ccm wapate viti 8

Article 50 (1)
provides;

"The National Assembly of each Partner State shall elect, not from among its members, nine members of the
Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that Partner State, in accordance with such procedure as the National Assembly of each Partner state may determine"


hapo kwenye red ndipo chadema wanasimamia kuwa viti vya uwakilishi EALA lazima viendane na idadi ya wabunge ndani ya bunge la jamhuri ambapo upinzani unapaswa kuwakilishwa na wabunge wawili.

mathematically:

CCM: (260/347) X 9 = 6.74 (APPRO. WABUNGE 7)

UPINZANI (86/347) X 9 = 2.23 (APPRO. WABUNGE 2)
Kwa Tanzania,
1. wanawake =wabunge watatu(3), hii haijalishi chama gani kinagombea kwani hata CUF wana mgombea kwenye kundi hili.
2.Zanzibar..... wapinzani wanaweza kugombania wakitaka .... no preference kwa vyama.
3.Bara...... no preference kwa yama.
4. Upinzani .... CCM hawawezi kugombea.
Ukiangalia mchakato huu, wapinzani wanaweza kuwa na wabunge wote 9. lakini CCM maximum ni 8.
Sasa ugomvi uko wapi?
 
chadema hasa mbowe wajanja sana wameona Komuhuziki,wameamua kusepa! chadema mbona hamjatoa hesabu za uwiano ijulikane from percentage za vyama idadi ya hao 8 na 1 vinapatikanaje? mambo ya kulalamika tu eti mbona CCM wanaviti vingi sisi kimoja kwani formula ikoje jamani?
 
Ni uamuzi uliopaswa; ila waangalie kama sababu walizozitoa kususia uchaguzi huu zitakapojitokeza kwenye chaguzi nyingine wawe tayari kuchukua uamuzi ule ule.
 
CDM's foreseer where are you??

hivi we mzee bado 2 upo humu kwenye forum ya vijana!
UKIWA MNAFIKI UJANANI BASI UZEENI UTAKUWA MCHAWI, sasa na ivi umezeeka, sijui upo kundi gani!?
Shame on u gamba la uwanja wa fisi.
 
Kwani nchi zingine Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi wanateuaje wawakilishi wa East Africa?
 
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
mkuu tupe source.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom