CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

CHADEMA wajiondoa kugombea ubunge - EALA

Status
Not open for further replies.
bibi ki kakurupuka hebu someni hapa hakuna panapoonyesha ccm wapate viti 8

Article 50 (1)
provides;

"The National Assembly of each Partner State shall elect, not from among its members, nine members of the
Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that Partner State, in accordance with such procedure as the National Assembly of each Partner state may determine"


hapo kwenye red ndipo chadema wanasimamia kuwa viti vya uwakilishi EALA lazima viendane na idadi ya wabunge ndani ya bunge la jamhuri ambapo upinzani unapaswa kuwakilishwa na wabunge wawili.

mathematically:

CCM: (260/347) X 9 = 6.74 (APPRO. WABUNGE 7)

UPINZANI (86/347) X 9 = 2.23 (APPRO. WABUNGE 2)
 
Hakika wamebaki watu wachache ktk nchi hii wenye nia ya kuongoza kwa kufuata sheria na taratibu za nchi. Mfano ulio hai ni CDM. Bravo!
Lakini, naomba niulize, hivi Bi. Kiroboto ana elimu gani? Si tu kale ka-Adv Dipl. ka IDM Mzumbe? Oooh, nilisahau, huenda na miaka mingi kwenye uongozi nayo ni taaluma (a.k.a Mzoefu). Ndio maana anaongoza chombo cha kutunga sheria ktk kuvunja sheria. Sidhani hata Kanuni anazijua, muulizeni vifungu vya sheria/kanuni anazotumia kama hatakutajia au kukuonyesha vimemo mezani kwake kutoka Magogoni! Si ndio huyu huyu aliyekalia ushahidi wa Kamanda Lema akitaka ku-prove Kiongozi wa shughuli za serikali Bungeni kaongopa? Hivi hakuna wa kumkumbusha tusikilize ile kwanza kabla Lema hajaondoka na ushahidi wake? Badala yake anakomaa kuwabania CDM, sawa kabisa na kulazimisha mto utiririshie maji mlimani! Huenda ni kimada wao!
i
 
hichi kibibi kiroboto ama kinaruka na ungo usiku au ufagio
 
Tukiwa kwenye kikao dr.slaa kampigia simu antony na kumwelekeza ampigie wakili mmoja kwa ajili ya kwenda mahakamani kesho asubuhi
 
Wamejiondoa au wamesoma alama kwamba watapigwa chini vibaya!

Hatukosi kuzijua hila za magamba, kudos CDM!
Magamba wamechanganyikiwa na kikao cha kesho cha Bunge, Wabunge vilaza wa CCM michango yao yote kesho itakuwa ni CDM tu, itakuwa bonge la promo kwa CDM.
 
Hivi kwani kuweka uwiano sawa wanaona shida gani Jamani hawa ccm? Au taratibu za huo ubunge zikoje kwani?
 
Katika maeneo ambayo magamba wamewahi kushikwa pabaya basi ni kwenye hii inshu. Maana kila kitu kinajionyesha kisheria. Watajuta mwaka huu.
 
Ha ha ha! Big up chama makini CDM, hawa magamba mwaka huu watakoma na watakufa kwa presha kutokana na watu makini kama wakina lissu'
 
Wamejiondoa au wamesoma alama kwamba watapigwa chini vibaya!

tatizo lako mkuu tume ya katiba unapenda sana kupata challenge kutoka kwa watu wa chadema humu,
shauri zako bhana na mzaha wako huo kwani ipo siku utajisahau na kuleta mzaha kama huu hata ukweni kwako.
 
Wakati mwingine wangempitisha tu mtu wao hafu rufaa baadae. Itakuwa too late to catch the moving train. Walimkataa JK, Leo wamemkubali. Waligomea Mchakato wa Katiba Leo wamempeleka Baregu. Sometimes they o not think deep. Wanasusa wenzao wanakula.
 
Wakati mwingine wangempitisha tu mtu wao hafu rufaa baadae. Itakuwa too late to catch the moving train. Walimkataa JK, Leo wamemkubali. Waligomea Mchakato wa Katiba Leo wamempeleka Baregu. Sometimes they o not think deep. Wanasusa wenzao wanakula.

Hujui unachokiongea.Uko gizani.
 
hapa ndipo napolipenda chama kubwa yaani linapenda mabadiliko, linapinga taratibu zote kandamizi. wapinzani wengine wanangoja wafaidike na haki hii inayopiganiwa na chadema, wangekua na akili nao wangejitoa mapema ili ccm itafute wapinzani wao wa kuwapa. Hii ishu itawafanya ccm waumbuke maana inaonekana utaratibu huu wameupanga wenyewe wa kujipendelea, chadema tunawaunga mkono muendelee kusimamia haki tu tupo nyuma yenu. Kama mmeweza hili kesho naamini kabisa hamtokaa kushiriki uchaguzi huo wakimagamba. Yaani mmeukonga sana moyo wangu kwa kuwasababishia magamba aibu nyingine, hii suprise hawajaitegemea kabisa..teh teh teh
 
Makinda asubiri aibu, kwani kama uganda walishinda kesi ya namna hiyo CDM nao watashinda na uchaguzi utarudiwa
 
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
kudos CDM!! kuliko kupelkeshwa na kupigia kura manyan'gau bora kubaki mnadai haki...this is what was expected of you......
 
wakuu, kama kawaida, spika ana makinda amekataa mapendekezo yote yaliyopelekwa na wapinzani pursuant to EAC charter kuwa wabunge huchaguliwa kwa uwianao toka bunge la nchi husika. ameshilikia msimamo kuwa ni lazima wabunge 8 watoke ccm na wapinzani kiti kimoja. chadema ili kulinda charte ta EAC, na demokrasia katika ukanda huu wameamua rasmi kujitoa kwenye kinyanganyiro hicho. sasa wanakimbilia kwenye mahakama ya afrika mashariki kutafuta haki
Hapo kwenye red ndio umeteleza! CDM ni chama makini na watanzania wanajifunza kutoka kwao hivyo basi lugha iliyotumika sio sahihi badala yake waweza kusema baada ya kujitoa katika mchakato pale mjengoni Dodoma CDM wataupinga mchakato huo East Africa Court Of Justice. We should not be partisans on reporting.
 
Ni uamuzi wa busara CDM tuko pamoja karibu tunafika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom