CHADEMA waja na na mtindo wa Siasa za Kurusha Ngumi Hewani

1.Kichwa cha habari hakifanani na habari yenyewe.
2.Ni jukumu la chama cha upinzani kujijengea umaarufu na kujiandaa kwa uchaguzi.
3.Unadai hatuna katiba alafu unasema nchi yetu inaongozwa kwa utawala wa sheria;hoja hii inajiconflict.Unahitaji kujifunza usanifu wa hoja(Sio jukumu langu).
4.Unaamini wabunge hawapaswi kuzunguka na kuinyima usingizi serikali;hiyo ni imani potofu.Kazi ya wabunge ni kuibana na kuisimamia serikali NDANI NA NJE YA BUNGE iwaletee wananchi maendeleo.
5.Kazi ya Slah ni kukijenga chama.Anapozunguka nchini anatimiza wajibu wake.Angezurura nje ya nchi kama JK tungempinga.
6.Unashangaa kumsikia mbowe akisema lazima kieleweke?Ulitaka aseme kisieleweke?
COME AGAIN.
BADAE.
 
Kwa yeyote anajua kuangalia siasa na kupima mienendo ya CHADEMA katika siasa ya sasa anaweza gundua mambo mawili
1. Chadema inajenga umaarufu wa kupata watu wengi kwa mtaji wa 2015
2.Chadema wanajaribu kupindua serikali kwa mwendo wa kutikisa kiberiti kama kimejaa
Kwa hoja ya pili Chadema wanatishia kuiondoa serikali kama ilivyofanyika kwa Nchi za kiarabu,hoja kubwa ni baada ya kumaliza maandamano wanayo zunguka Nchi nzima sasa itakua ni kuiondoa serikali! Mimi nasema huu ni uhuni tena ni Uhaini wa wazi kabisa,hivi Chadema wamesahau kama Nchi hii Hatuna Katiba? Hivi kweli Mbowe na Slaa hawajui kama NNchi yetu inaendeshwa kwa Utawala wa Sheria? Jana Mbowe amekaliliwa anasema wataandamana hadi Kieleweke! Swali kieleweke kwa lipi? Mwisho Chadema ikumbuke kuwa kuna majimbo wameaminiwa na Watanzania kuwakilishwa Bungeni pamoja na kuletewa maendeleo! Swali je hawa Wabunge wanaendelea na maandamano watatimiza lini majukumu yao? Najua Chadema inawatu makini kama Prof Baregu,Zitto na Mnyika! Hivi wanashindwa kumwambia Slaa kama anachofanya ni kuhatarisha ustawi wa Taifa letu! Aidha naona hapa Slaa hana kazi ya kufanya baada ya kushindwa Uchaguzi imekua nongwa!

Salva rweyemamu umetoka usingizini au una ma....................
 
Jana Mbowe amekaliliwa anasema wataandamana hadi Kieleweke! Swali kieleweke kwa lipi?

Kuna baadhi ya maneno sentensi chache ambazo wajanja wachache walioko serikalini uzinukuu na kuzitumia kuwa wadanganya watanzania. Hivi huyo aliyeuliza swali hapo juu anaishi nchi gani? Hajui kuwa Rais wetu hajibu maswali mengi ya watanzania ktk hotuba zake? Hajui kuwa kuna mfumko wa bei na watanzania sasa hawawezi kumdu gharama za maisha achilia mbali chakula cha kila siku? Hajui kuwa watanzania walitaka kujua hatua zipi Rais anachukua juu ya mmiliki wa DOWANS ambaye hakumjua hata yeye baada ya adithi nyingi ikiwemo uongo wa mchana wa waziri wake wa madini na nishati?

Watanzania! Watanzania!.... Sasa hawa wachache wanaojifanya hawaoni tuwatambue mapema na tuwaogope kama ukoma. Ni wanfiki na watatuletea matatizo mkubwa sana nchi hii. Tukisha wajua tuwawajibishe!
 
Kwa yeyote anajua kuangalia siasa na kupima mienendo ya CHADEMA katika siasa ya sasa anaweza gundua mambo mawili
1. Chadema inajenga umaarufu wa kupata watu wengi kwa mtaji wa 2015
2.Chadema wanajaribu kupindua serikali kwa mwendo wa kutikisa kiberiti kama kimejaa
Kwa hoja ya pili Chadema wanatishia kuiondoa serikali kama ilivyofanyika kwa Nchi za kiarabu,hoja kubwa ni baada ya kumaliza maandamano wanayo zunguka Nchi nzima sasa itakua ni kuiondoa serikali! Mimi nasema huu ni uhuni tena ni Uhaini wa wazi kabisa,hivi Chadema wamesahau kama Nchi hii Hatuna Katiba? Hivi kweli Mbowe na Slaa hawajui kama NNchi yetu inaendeshwa kwa Utawala wa Sheria? Jana Mbowe amekaliliwa anasema wataandamana hadi Kieleweke! Swali kieleweke kwa lipi? Mwisho Chadema ikumbuke kuwa kuna majimbo wameaminiwa na Watanzania kuwakilishwa Bungeni pamoja na kuletewa maendeleo! Swali je hawa Wabunge wanaendelea na maandamano watatimiza lini majukumu yao? Najua Chadema inawatu makini kama Prof Baregu,Zitto na Mnyika! Hivi wanashindwa kumwambia Slaa kama anachofanya ni kuhatarisha ustawi wa Taifa letu! Aidha naona hapa Slaa hana kazi ya kufanya baada ya kushindwa Uchaguzi imekua nongwa!

This what we call Tigo Brain!
 
mbona kumshauri babako mdogo jakaya kikwete asitulie kitako ofisini kwake afanye kazi?
 
kumwacha mtu atuchezee miaka mitano kisa alitangazwa na tume is a hell!! what we need ni kumpindua! we cant wait for another 5 yrs in a hell!!
 
Kwa yeyote anajua kuangalia siasa na kupima mienendo ya CHADEMA katika siasa ya sasa anaweza gundua mambo mawili
1. Chadema inajenga umaarufu wa kupata watu wengi kwa mtaji wa 2015
2.Chadema wanajaribu kupindua serikali kwa mwendo wa kutikisa kiberiti kama kimejaa
Kwa hoja ya pili Chadema wanatishia kuiondoa serikali kama ilivyofanyika kwa Nchi za kiarabu,hoja kubwa ni baada ya kumaliza maandamano wanayo zunguka Nchi nzima sasa itakua ni kuiondoa serikali! Mimi nasema huu ni uhuni tena ni Uhaini wa wazi kabisa,hivi Chadema wamesahau kama Nchi hii Hatuna Katiba? Hivi kweli Mbowe na Slaa hawajui kama NNchi yetu inaendeshwa kwa Utawala wa Sheria? Jana Mbowe amekaliliwa anasema wataandamana hadi Kieleweke! Swali kieleweke kwa lipi? Mwisho Chadema ikumbuke kuwa kuna majimbo wameaminiwa na Watanzania kuwakilishwa Bungeni pamoja na kuletewa maendeleo! Swali je hawa Wabunge wanaendelea na maandamano watatimiza lini majukumu yao? Najua Chadema inawatu makini kama Prof Baregu,Zitto na Mnyika! Hivi wanashindwa kumwambia Slaa kama anachofanya ni kuhatarisha ustawi wa Taifa letu! Aidha naona hapa Slaa hana kazi ya kufanya baada ya kushindwa Uchaguzi imekua nongwa!

mlengo wa kati sijakuelewa hapo kwenye red nani anahatarisha kati ya Slaa na mafisadi. acha kuogopesha watu kama kiongozi wako mafisadi wamechukua kila kitu cha nchii hii na walalahoi na waamkahoi wamehatarishiwa maisha yao siku nyingi hongera kwa kuwa kwenye payroll
 
hapo ni bungeni, aliyelala ni john komba mbunge wa mbinga........anayeng'ang'ania makalio ya mwenzake ni mh. juma kapuya..anafurahia sebene la akudo...ndio kushika hatamu kwenyewe huko!
 
komba1.jpg
Ndiyo wabunge wa chama Tawala.....
 
Great thinkersssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwa yeyote anajua kuangalia siasa na kupima mienendo ya CHADEMA katika siasa ya sasa anaweza gundua mambo mawili
1. Chadema inajenga umaarufu wa kupata watu wengi kwa mtaji wa 2015
2.Chadema wanajaribu kupindua serikali kwa mwendo wa kutikisa kiberiti kama kimejaa
Kwa hoja ya pili Chadema wanatishia kuiondoa serikali kama ilivyofanyika kwa Nchi za kiarabu,hoja kubwa ni baada ya kumaliza maandamano wanayo zunguka Nchi nzima sasa itakua ni kuiondoa serikali! Mimi nasema huu ni uhuni tena ni Uhaini wa wazi kabisa,hivi Chadema wamesahau kama Nchi hii Hatuna Katiba? Hivi kweli Mbowe na Slaa hawajui kama NNchi yetu inaendeshwa kwa Utawala wa Sheria? Jana Mbowe amekaliliwa anasema wataandamana hadi Kieleweke! Swali kieleweke kwa lipi? Mwisho Chadema ikumbuke kuwa kuna majimbo wameaminiwa na Watanzania kuwakilishwa Bungeni pamoja na kuletewa maendeleo! Swali je hawa Wabunge wanaendelea na maandamano watatimiza lini majukumu yao? Najua Chadema inawatu makini kama Prof Baregu,Zitto na Mnyika! Hivi wanashindwa kumwambia Slaa kama anachofanya ni kuhatarisha ustawi wa Taifa letu! Aidha naona hapa Slaa hana kazi ya kufanya baada ya kushindwa Uchaguzi imekua nongwa!

Jul-10 Feb-11 Ongezeko %
Mchele 1,100 1,750 650 59%
Mafuta ya kupikia (Korie 10l) 16,500 26,000 9,500 58%
Gesi ya kupikia - 15kgs 37,000 45,000 8,000 22%
Maji (Dawasco) - 1M3 650 820 170 26%
Diesel 1,500 1,800 300 20%
Maji ya kunywa (Uhai 1l) 500 600 100 20%

Hii ndio maana ya Mbowe kuwa tutapambana hadi kieleweke
 
aliyekuagiza akakudanganya tumelala eti uje unanyata ili tusisikie kakudanganya. MWAMBIE UMETUKUTA MACHO! chama makini hii usitichurie!
 
Sio lazima kila mtu aanzishe thread yake.
Huyu jamaa anatuzingua na walah kama ningekuwa ninamjua ninge#@$@...

Ushauri wa bure bora kabla hujaanzisha mada jiandae kunywa maji mengi kwa siku kuruhusu mzunguko mzuri wa damu katika ubongo wako ili uwezo wako wa kufikiri japo uongezeke
 
Kwa yeyote anajua kuangalia siasa na kupima mienendo ya CHADEMA katika siasa ya sasa anaweza gundua mambo mawili
1. Chadema inajenga umaarufu wa kupata watu wengi kwa mtaji wa 2015
2.Chadema wanajaribu kupindua serikali kwa mwendo wa kutikisa kiberiti kama kimejaa
Kwa hoja ya pili Chadema wanatishia kuiondoa serikali kama ilivyofanyika kwa Nchi za kiarabu,hoja kubwa ni baada ya kumaliza maandamano wanayo zunguka Nchi nzima sasa itakua ni kuiondoa serikali! Mimi nasema huu ni uhuni tena ni Uhaini wa wazi kabisa,hivi Chadema wamesahau kama Nchi hii Hatuna Katiba? Hivi kweli Mbowe na Slaa hawajui kama NNchi yetu inaendeshwa kwa Utawala wa Sheria? Jana Mbowe amekaliliwa anasema wataandamana hadi Kieleweke! Swali kieleweke kwa lipi? Mwisho Chadema ikumbuke kuwa kuna majimbo wameaminiwa na Watanzania kuwakilishwa Bungeni pamoja na kuletewa maendeleo! Swali je hawa Wabunge wanaendelea na maandamano watatimiza lini majukumu yao? Najua Chadema inawatu makini kama Prof Baregu,Zitto na Mnyika! Hivi wanashindwa kumwambia Slaa kama anachofanya ni kuhatarisha ustawi wa Taifa letu! Aidha naona hapa Slaa hana kazi ya kufanya baada ya kushindwa Uchaguzi imekua nongwa!

Unajua bwana wewe, mwanzoni nilifurahia maoni yako. Ulitibua ulipoacha kuorodhesha points na kuanza maelezo ambayo yamenifanya nikugeuke. Umepotea njia kabisa bila shaka. Nakubaliana nawe kwamba Chadema wanajiandaa kwa mwaka wa 2015, hata CCM wanajua kwamba mwisho wao ni 2015, kujiandaa kwa chadema kunamkera hata mwenyekiti wao JK maana keshauona upepo unamzidi nguvu. Mama Nyerere amesema waziwazi kwamba 2015 CDM wanaweza kuibeba nji hii, "WANAWEZA" maana ccm wakichakachua tena kwa nguvu ya madaaraka waliyo nayo na kwa kuichelewesha katiba mpya yawezekana isiwe hivyo kama ilivyojitokeza hivi punde. JK ameeleza kwamba vyama vijiandae kwa ajili ya 2015.

Kwamba wanafanya maandamano na mwishowe wataipindua serikali nakubaliana nawe kwa sababu sasa hivi hawaipindui ila wanaelimisha umma ujue kujipindua wenyewe ifikapo 2015 pasipo kuruhusu uchakachuaji. Huo sio uhuni ila ni ubunifu mahiri. Siasa ni kamchezo ka opportunity utilisation. Sasa hivi ccm wawe macho zaidi, maana wakiteleza tu cdm haooo! ccm walidhani ni wa milele kumbe ni Mungu tu aliyestahili umilele. Hata cdm wakipewa nji na wakajisahau watapinduliwa kwa ubunifu sawasawa. Mapinduzi hayo ruksa. JK analalamika kwa sababu amejua kazidiwa kete na kushikwa pabaya. Hayo mambo ya warabu waachie waarabu wenyewe, sie tuna style zetu.Ukisema waarabu maana yake mobilization zao zipo kidini pia tangu enzi za Mtume, Kristo hakufanya kiarabu, kasome historia ya kuenea kwa dini mbili kubwa hizi utaona tofauti kubwa sana. Hujasikia mobilization za mto wa mbu? hizo ndizo typical kiarabu, hata DSM wakristo wangefanya kama walivyofanya waislam mto wa mbu, lakini mobilization strategies zao ni tofauti kabisa. Kwa hiyo uarabu ondoa akilini mwako labda kama wewe ni wa huko.

Nakushauri uwe mwangalifu kuwasilisha hoja, maana ukiwa na jazba utaharibu maana usikivu wa walio wengi kwa kuwa suio wote katika JF ni wana ccm au wana cdm, tupo wengi hatuna vyama hapa ila tunajali ni chama gani kinachojali interest zetu katika nchi. Pia sio wote waislam au wakristo hapa, wapo wenye dini zingine na wengine hawana dini kabisa kwa hiyo tuwatendee haki wote kwa kujitahidi kuwa neutral. Kama unataka kuhubiri dini yako, bora uende kwenye jukwaa hilo JF wamewakumbuka kuwapa.

Kwa heri masikio yanauma kusikiliza ubaguzi usio na tija.
 
Back
Top Bottom