hodi itafuata baadae taarifa kwanzaBisha kwanza hodi usivamie jukwaa kihivyo
Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for real nimeaprciate wakuu.Kwa sasa nipo meru mashariki maeneo Hellow ya ambureni. Joshua Nassari amewashika vilivyo wananchi wa eneo hili.samahanini nimeshndwa kuambatanisha picha wakuu!
Ujumbe tumeupata lakini badilisha rangi ya mandishi mkuu........................Hellow jamiiforums......!! !! wakuu ni mara yangu ya kwanza kutuma post ktk mtandao huu wa ukweli! Na kilichonivutia zaidi mpaka nikajiunga ni hoja nzito ambazo zinajadiliwa humu jamvini for real nimeaprciate wakuu.
Kwa sasa nipo meru mashariki maeneo Hellow ya ambureni. Joshua Nassari amewashika vilivyo wananchi wa eneo hili.samahanini nimeshndwa kuambatanisha picha wakuu!
Hebu kajifunze kuandika vizuri zuzu wewe....Sema kweli msafara wa Nasari na CDM yenu umezomewa ulipokuwa ukiingia kitaa cha amburueni hadi kudikia baadhi ya viongozi kulalamika katika ofic ya kata. Habara zilizopo sasa wakazi wa eneo hilo hawataki kabisa CDM wafanye mkutano wao wa kampeni kwani wanaposha umma
Sema kweli msafara wa Nasari na CDM yenu umezomewa ulipokuwa ukiingia kitaa cha amburueni hadi kudikia baadhi ya viongozi kulalamika katika ofic ya kata. Habara zilizopo sasa wakazi wa eneo hilo hawataki kabisa CDM wafanye mkutano wao wa kampeni kwani wanaposha umma
Bisha kwanza hodi usivamie jukwaa kihivyo
Aribu, jitahidi kusoma rules za jamvi, aksante kwa taarifa
Bravo!!! ila picha zingesema zaidi ya maneno. Tunashukuru kwa taarifa ingawa CCM hawapendi kusikia haya.
Hebu kajifunze kuandika vizuri zuzu wewe....