Natamani angeita wafuasi wote kwa masuala kama ya katiba mpya, mafao ya kustaafu, kuzuia watoto wa kike wenye mimba wasiende shule, vitu vinavyomgusa mwananchi moja kwa moja siyo issue personal za kiongozi wa upinzani inawafanya kuonekana kama wanatumia wafuasi wao kwa maslahi yao binafsi tu. Ni bora hata basi wangeitisha maandamano pale Lissu alipopigwa risasi naamini watu wengi wangeitikia wito hata hivyo hebu tuone itakavyokuwa hiyo 6 Desemba kwasababu upinzani wa barabarani unahitajika kwasasa, Wafuasi jitokezeni .