okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,450
- 3,832
Inapendeza sana maana huyo mnaemwita kichaa kutwa mnalalamika anavunja sheria hakika aishi maisha marefu KUB.
Hujui unalolisema si shangai !! Je unajuwa ni kwa nini KUB analipwa mshahara na kuhudumiwa na serikali ?! Wakati wa In kule US, marehemu Maccain pamoja na kuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi, tumeona akiiwakilisha American kwenye mambo mbalimbali, na hata kutembelea majeshi ktk operations zake. Hapa KUB ni kudhalilishwa