"Hakuna atakayekupa uhuru, hakuna atakayekupa usawa na haki, kama wewe ni mwanaume nenda uichukue" by Malcolm Xkamwage dam maana huna faida katika Jamii hii.
UMECHOKA UGALI MZEE
Inawezekana wanaandaa tukio jingine ili waisingizie serikali na pilisiHaki gani ya kumtetea Mbowe aliyedanganya Mahakama kuwa yuko mahututi SA mara akaibukia Ubelgiji anapiga self na mgonjwa Lissu huku wakikenua meno kama mazuzu?!! Mahakama siyo ya kuchezea pia naamini watz hawawezi kuchezewa kiasi hicho eti waje Kisutu kwa gharama ya nani na wakikamatwa na kuwekwa lupango utawatetea wakati wapo waliondamana kwenye uchaguzi mdogo Kinondoni wanasota na kesi hata ruzuku hawapati ili ziwasaidie bali group la Mbowe ndiyo linapiga ruzuku pekee yao. Hata Kubenea anajua hivyo!
unataka Uhuru gani.Unaona ni haki kwenda Mahakamani kumtetea aliyedharau MAHAKAMA?"Hakuna atakayekupa uhuru, hakuna atakayekupa usawa na haki, kama wewe ni mwanaume nenda uichukue" by Malcolm X
Wameafundishwa hivyo na Maadui wataifa.Wanaombea wa Tanzania 200 wafe ili waingie IKULUInawezekana wanaandaa tukio jingine ili waisingizie serikali na pilisi
"Gharama ya uhuru ni kifo" by Malcolm Xunataka Uhuru gani.Unaona ni haki kwenda Mahakamani kumtetea aliyedharau MAHAKAMA?
Hakuna kitu kama hicho, hayo ni mawazo yako mkuuWameafundishwa hivyo na Maadui wataifa.Wanaombea wa Tanzania 200 wafe ili waingie IKULU
Ni upumbavu wa hali ya juu,kuna muda hata huoni hauoni faida ya upinzani,wana mambo ya hovyo hovyo tu. Dawa yao ni kuwapiga pin tu miezi kadhaa lupango hao viongozi akili zirudi,mbona Lema na Sugu akili zipo zipo sasa.Wameafundishwa hivyo na Maadui wataifa.Wanaombea wa Tanzania 200 wafe ili waingie IKULU
Chadema hawajawai kuwa na maana hapa Tanzania na dunia inatambua ilo#BREAKING_NEWS
Chadema yaita Wanachama wake wote Nchi nzima kufika Kisutu Dar Es Salaam Desemba 6, 2018.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka wanachama wake wote Nchi nzima kufika Mahakamani wakati kesi inayowakabili Viongozi wake watano itakapounguruma ili wajionee uendeshwaji wa kesi na kuamua kwa pamoja nini cha kufanya.
Wito huo wa CHADEMA umekuja Saa chache baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuamua kufuta dhamana ya Viongozi wawili wa Chama hicho, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko kutokana na kukiuka masharti ya dhamana.
Akizungumza na wanahabari, Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar ES Salaam, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Vicent Mashinji amesema, "Wanachama wa CHADEMA nchi nzima, suala hili ni zito, ni nyeti na linahusu mustakabali wa nchi yetu, usisubiri kusimuliwa njoo uone mwenyewe kinachoendelea Mahakamani kwa sababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa".
"Tunaomba tuje tusikilize wenyewe Mahakamani na baada ya hapo tuamue ni hatua gani tutachukua sisi kama Watetea haki wa Watu wote katika Taifa hili," ameongeza.
Aidha katika hatua nyingine, Chama hicho kimeazimia kukata Rufaa katika Mahakama Kuu kwa kile ilichokidai kuwa; ni kupinga juu ya hatua ya kufuta Dhamana ya Viongozi wake iliyofanywa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
"Tumeamua kukata Rufaa kwenda Mahakama Kuu na tumeshawasilisha Barua yetu, bado tunasubiria watupe namna. Na katika Barua yetu tumeeleza haya mashaka yetu yote juu ya mwenendo wa hii kesi".
Chanzo; East Africa Television (EATV)
Mami Mbowe kadharau je mahakama ?! Kwani wakili na mdhamini hawakuripoti juu ya dharura yake ?!.unataka Uhuru gani.Unaona ni haki kwenda Mahakamani kumtetea aliyedharau MAHAKAMA?
Faida ya taifa nini kuwaweka ndani ?! Na kwa sababu zipi hasa ?!Ni upumbavu wa hali ya juu,kuna muda hata huoni hauoni faida ya upinzani,wana mambo ya hovyo hovyo tu. Dawa yao ni kuwapiga pin tu miezi kadhaa lupango hao viongozi akili zirudi,mbona Lema na Sugu akili zipo zipo sasa.
Nasikia yule Judge mmoja wa Iraq aliyemhukumu Saddam Hussein kunyongwa miaka ile nasikia na yeye kapigwa risasi na kuwawa na watu wasiojulikana.Changamoto hii iende kwa majaji wetu wote hapa Tz hasa pale mnapotumika,mwisho wa siku mtakuwa uraiani huku hapatatosha#BREAKING_NEWS
Chadema yaita Wanachama wake wote Nchi nzima kufika Kisutu Dar Es Salaam Desemba 6, 2018.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka wanachama wake wote Nchi nzima kufika Mahakamani wakati kesi inayowakabili Viongozi wake watano itakapounguruma ili wajionee uendeshwaji wa kesi na kuamua kwa pamoja nini cha kufanya.
Wito huo wa CHADEMA umekuja Saa chache baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kuamua kufuta dhamana ya Viongozi wawili wa Chama hicho, Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Tarime Mjini, Ester Matiko kutokana na kukiuka masharti ya dhamana.
Akizungumza na wanahabari, Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo Mtaa wa Ufipa, Kinondoni Jijini Dar ES Salaam, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dkt. Vicent Mashinji amesema, "Wanachama wa CHADEMA nchi nzima, suala hili ni zito, ni nyeti na linahusu mustakabali wa nchi yetu, usisubiri kusimuliwa njoo uone mwenyewe kinachoendelea Mahakamani kwa sababu kumekuwa na upotoshaji mkubwa".
"Tunaomba tuje tusikilize wenyewe Mahakamani na baada ya hapo tuamue ni hatua gani tutachukua sisi kama Watetea haki wa Watu wote katika Taifa hili," ameongeza.
Aidha katika hatua nyingine, Chama hicho kimeazimia kukata Rufaa katika Mahakama Kuu kwa kile ilichokidai kuwa; ni kupinga juu ya hatua ya kufuta Dhamana ya Viongozi wake iliyofanywa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
"Tumeamua kukata Rufaa kwenda Mahakama Kuu na tumeshawasilisha Barua yetu, bado tunasubiria watupe namna. Na katika Barua yetu tumeeleza haya mashaka yetu yote juu ya mwenendo wa hii kesi".
Chanzo; East Africa Television (EATV)
Acheni mambo ya ajabu .... eti kuita wanachama wote mahakamani.... sasa si unakaribisha machafuko kwenye muhimili wa nchi???? wazo huru!!!#BREAKING_NEWS

Acheni mambo ya ajabu .... eti kuita wanachama wote mahakamani.... sasa si unakaribisha machafuko kwenye muhimili wa nchi???? wazo huru!!!
Sasa Ngalanga, kuita wanachama wote the first impression nilitegemea iwe mlimani city labda kuna agenda za mwaka mzima na mpango mkakati wa mwaka ujao, kweli katibu anasema wanachama wote waje mahakamani, aisee kimsingi imenisikitisha sana!!!!!!Hujaeleza kivipi /au ndo akili hizi za ngamia
Hata MO alipotekwa Azory Gwanda alidhani yeye haimhusu .Mpumbavu ataacha shughuli zake atakuja mahakamani
Nondo ameshinda kwa maelekezo ya nani? Muache uzwazwa!!! Kakiuka masharti ya dhamana ni kawaida kukumbushwa hilo.Ukiwa na muhimili unaopokea maemekezo ya muhimili mwingine![]()