CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

Hicho ni kichapo haaaaaaa pole KWA maana hufaham kilio kinakujia hatuangaiki na mgambo tunamtaka mwenye kikosi
 
CHADEMA inabidi muelewe kuwa mpo kwenye fungu la wakukosa, wakukosa ni wakukosa tu, hata afanye nini.

Dar haiwataki, na huu ni ujumbe tosha kote nchini.

Mbona kwenye kata na majimbo tunawatoa nyongo? Na nyie ambulieni kidogo vimtaa...
 
Don't be too sure!!!
Nguvu ya "umma" hoi bin taaban kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ulofanyika jijini DSM leo tar. 11/08/2013!

Katika hali iliyowaacha midomo wazi Chadema baada ya kuleta karibu wabunge wao wote bado wamechezea kichapo cha mbwa mwizi katika mitaa 8 iliyofanya uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa CCM imeshinda viti saba(7) kati ya nane(8) vilivyofanya uchaguzi na kati ya wajumbe wa serikali za mitaa kumi na tisa (19) waliokuwa wakifanya uchaguzi CCM imeshinda wajumbe wote kumi na tisa(19)! Sawa na asilimia mia moja 100%!

Huu ni uthibitisho tosha kuwa Dar imeiktaa Chadema na uongo wao wote! Pamoja na nguvu kubwa ya kampeni iloongozwa na Mnyika na Mdee bado wana DSM wamesema HAWADANGANYIKI!
 
Mwaka huu utahangaika sana na huu uharo wako kuhusu CDM!!

CHADEMA yapanga kuhamisha makao makuu Arusha, wamesema ingawa makao makuu yapo Dar ila haina tija, kwani hata mitaa ya Ufipa yalipo makao makuu CHADEMA imegalagazwa vibaya.
 
Wewe unaonekana unamatatizo ha ubongo. Wary wanamna yako hushindwa kuchambua mambo kisayansi. Pole sana ndugu yangu.
 
WanaJF!

Jiji la Dar es salaa kama wengi wetu tunavyo fahamu kuwa ndio kitovu cha nchi kwa kuwa na jamii za watu kutoa maeneo mbalimbali na wengi wao kuwa na ushawishi mkubwa huko walikotoka.

Wakazi wengi waishio Dar ni watu makini, wenye fikra pevu na zaidi ya yote wana tafakuri yakinifu katika kufanya maamuzi juu ya jambo fulani, hivyo maamuzi yao uwa ni sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kitendo cha wananchi KUIKATAA CHADEMA katika ngazi za mitaa ni ujumbe tosha kwa taifa zima kwani ni ukweli usiopingika kuwa, Tanzania ni Dar, Dar ni Tanzania, hivyo kwa msimamo huu wa wakazi wa Dar, uwe ni ujumbe tosha kuwa CHADEMA hawana lao hapa nchini.

Aidha, ni kweli kwamba jiji la Dar linao wabunge wawili kutoka CHADEMA nao ni John Mnyika wa jimbo la Ubungo pamoja na Mdee wa jimbo la Kawe, ila ni wazi kuwa kama CCM ingelikuwa makini katika mchakato wa kura za maoni, leo Mnyika angeendelea na shughuli zake za utapeli mjini na huyo Mdee kwa kuwa ni binti, angeendelea ni viti maalumu.

CHADEMA Dar sio 'SIZE' yenu, huu ni ujumbe tosha kwa taifa.

...kwakuwa nao wameanza kupigwa risasi,ni-naamini muda si mrefu akili zitawasogea...
 
CDM iishie hukohuko kaskazini, huku Pwani hatuitaki.
 
huyo dar anaishi wapi? je wewe ni nani yake?
utafiti wako umefanyia wapi?
kwa nini usitafute ajira ya kueleweka, hii unayofanya wewe si ajira, utatumika kama ndomu mwisho wako unatupwa toilet, ndo inakuwa mwisho wa porojo zako.
 
Dar siyo ya wachanga tu kwa hiyo siyo lahisi kutawaliwa na chadema ,

dar wanajua kuchambua mambo na kufanya maamuzi yenye manufaa wala siyo ushabiki kama watu wa arusha na moshi ambao huongozwa na hisia za kishabiki,

hakuna asiyejua kuwa watu wa dar huwezi kuwadanganya wala kuwafanya wasione kile wanachokiamini kwa hiyo safari inaendelea ni salamu kwa mnyika na mdee.
 
CDM iishie hukohuko kaskazini, huku Pwani hatuitaki.

Kwa vurugu walizofanya Chadema Jumamosi matokeo haya nilitarajia. viongozi wakiendelea kufumbia macho kasoro hizi hata huko kaskazini watapoteza
 
Attachments

  • Chadema4.jpg
    Chadema4.jpg
    16.3 KB · Views: 96
huyo dar anaishi wapi? je wewe ni nani yake?
utafiti wako umefanyia wapi?
kwa nini usitafute ajira ya kueleweka, hii unayofanya wewe si ajira, utatumika kama ndomu mwisho wako unatupwa toilet, ndo inakuwa mwisho wa porojo zako.

usikia ptuuuuu ujue limekupata tena kichwani. Jibu hoja ya msingi acha kuropoka, viroba vimekuharibu
 
WanaJF!

Jiji la Dar es salaa kama wengi wetu tunavyo fahamu kuwa ndio kitovu cha nchi kwa kuwa na jamii za watu kutoa maeneo mbalimbali na wengi wao kuwa na ushawishi mkubwa huko walikotoka.

Wakazi wengi waishio Dar ni watu makini, wenye fikra pevu na zaidi ya yote wana tafakuri yakinifu katika kufanya maamuzi juu ya jambo fulani, hivyo maamuzi yao uwa ni sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kitendo cha wananchi KUIKATAA CHADEMA katika ngazi za mitaa ni ujumbe tosha kwa taifa zima kwani ni ukweli usiopingika kuwa, Tanzania ni Dar, Dar ni Tanzania, hivyo kwa msimamo huu wa wakazi wa Dar, uwe ni ujumbe tosha kuwa CHADEMA hawana lao hapa nchini.

Aidha, ni kweli kwamba jiji la Dar linao wabunge wawili kutoka CHADEMA nao ni John Mnyika wa jimbo la Ubungo pamoja na Mdee wa jimbo la Kawe, ila ni wazi kuwa kama CCM ingelikuwa makini katika mchakato wa kura za maoni, leo Mnyika angeendelea na shughuli zake za utapeli mjini na huyo Mdee kwa kuwa ni binti, angeendelea ni viti maalumu.

CHADEMA Dar sio 'SIZE' yenu, huu ni ujumbe tosha kwa taifa.

hivi ninyi watu mnaokaa dsm mnafikiri kwa kutumia nini, mbona mnatuona kama sisi wa mikoani hatuna akili kabisa! Ninyi mnaongoza kwa kufanya upumbavu wasiofanya hata wanyama? Eti dsm ina watu makini, thubutu! Si ungenuua hata kiwanja? akili gani hiyo? Ndiyo maana hata kurudi huku mikoani mnaogopa kwa kuona sisi wadogo zenu tumeshapanda miti, tumenunua bodaboda, tumejenga na tunafamilia nk. Shauri yenu na ujanja wenu. Kuna mtu alishasema kwenye msafara wa obama aliwaona kama nyumbu wanavuka mto, au ndio umakini huo? Hoja yako ni ya kipuuzi sana kwa kutudharau wa mikoani.
 
huyo dar anaishi wapi? je wewe ni nani yake?
utafiti wako umefanyia wapi?
kwa nini usitafute ajira ya kueleweka, hii unayofanya wewe si ajira, utatumika kama ndomu mwisho wako unatupwa toilet, ndo inakuwa mwisho wa porojo zako.
Mfa maji haishi kutapata unashindwa kujibu hoja unaishia kumtukana mleta post bavicha mnamatatizo gani kwani?
 
hivi ninyi watu mnaokaa dsm mnafikiri kwa kutumia nini, mbona mnatuona kama sisi wa mikoani hatuna akili kabisa! Ninyi mnaongoza kwa kufanya upumbavu wasiofanya hata wanyama? Eti dsm ina watu makini, thubutu! Si ungenuua hata kiwanja? akili gani hiyo? Ndiyo maana hata kurudi huku mikoani mnaogopa kwa kuona sisi wadogo zenu tumeshapanda miti, tumenunua bodaboda, tumejenga na tunafamilia nk. Shauri yenu na ujanja wenu. Kuna mtu alishasema kwenye msafara wa obama aliwaona kama nyumbu wanavuka mto, au ndio umakini huo? Hoja yako ni ya kipuuzi sana kwa kutudharau wa mikoani.
Kwani nyie huko moshi mnafikiri mnauelewa wowote?
mnashabikia hata msiyoyajua,
mnachagua mpaka majambazi sasa hiyo ni akili kweli.
 
maisha magumu Dar! itakua wameridhika na buku buku...

ww ndio una maisha magumu kwa sababu unatumiwa vibaya hapo ufipa fc kinondoni hq, wenzio wanakula ruzuku na mahawara zao wanaenda kutanua hadi israeli we unasubiri mia mbili mia mbili za kupost jf
 
hivi ninyi watu mnaokaa dsm mnafikiri kwa kutumia nini, mbona mnatuona kama sisi wa mikoani hatuna akili kabisa! Ninyi mnaongoza kwa kufanya upumbavu wasiofanya hata wanyama? Eti dsm ina watu makini, thubutu! Si ungenuua hata kiwanja? akili gani hiyo? Ndiyo maana hata kurudi huku mikoani mnaogopa kwa kuona sisi wadogo zenu tumeshapanda miti, tumenunua bodaboda, tumejenga na tunafamilia nk. Shauri yenu na ujanja wenu. Kuna mtu alishasema kwenye msafara wa obama aliwaona kama nyumbu wanavuka mto, au ndio umakini huo? Hoja yako ni ya kipuuzi sana kwa kutudharau wa mikoani.

ww kiungo mbadala unachotumia kufikiri kinakunyima uwezo wa kuona mengi. Mleta mada amewasifia watu wa dar na kueleza umakini wao, ww ma------ yanavyokuwasha umeamua kupotosha mada makusudi ili ionekane mleta mada amedharau watu wa mikoani. Nyambaf zako, hupati mia mbili yako ktk hii post,
 
watu kama Ifweero naamini ndio walioipa nafasi ya ushindi CCM.. kajamaa kanafki na kanajidai kanaHarakati... karne hii huwezi kuwa mtumwa wa fikra na maamuzi, unafurahia ujinga wa mwenzio kuDiss wapiga kura wa mikoani kuikataa CCM!!. usiwe kifuata upepo kesho tutashindwa kukutambua..
 
Chadema hakiweza kushinda chaguzi yoyote tena palipo na mchanganyiko wa watu make watu wameshakijua vema sasa,

pengine maeneo ambayo hayana mchanganyiko wa watu wengi kwa maana ya kuwepo kwa watu wa kabila fulani hapo kitashinda.
 
Back
Top Bottom