mapinduzidaima
Member
- Aug 11, 2013
- 28
- 8
mmeiba kura ngapi?? Mliowakodi kuja kupiga kura mmeshawalipa? Na zile shahada feki mlitengeneza ngapi safar hii?
Vipi Ponda anaendeleaje?
bado wapo usingizini, dar mnatia haibu haibu,
Leo hawakuzilinda kura zao maana wao wakishindwa wameibiwa..mkome kujiita nguvu ya umma nyie ni nguvu ya wajinga na wavivu wa kufikiri na wapendao vitu rahisi..chama cha ukoo na ukabila..2015 ndo mnazikwa rasmi.
Poor Chadomo,
Hivi kumbe Dar sio Arusha?
Poor Chadomo,
Hivi kumbe Dar sio Arusha?
Nisikitika dar bado wanang'ania magamba tena wengi wao ni wanawake ambao wanapewa shati bila sketi pole yao kanda ya ziwa hatutaki ujinga wa ccm.wan'goa kucha,majambazi,magaidi,mafisadi,wakunja twiga kwenye buti ya texi,wanyonyaji na wezi wa feza na kupeleka uswis
Heri viroba na bangi kuliko sembe bwana. Viroba na bangi vinachangamsha, lakini sembe linawafanya vijana wapige mbonji huku wamesimama tena stendi kwenye mikelele. Vijana wengi Dar wanabwia sembe, somo la ukombozi kumfikia kijana wa sampuli hii ni ngumu. Na chama cha Mateja (ccm) wameligundua hilo, sasa hv mmeamua kufunga mtambo kabisa wa kuwamaliza vijana. Poleni sana vijana wa dar.
Tunasubiri matokeo yasiyokuwa na mihemuko.
Mleta mada naona anatoka povu tu! Dar siyo kwamba wameikataa cdm tatizo la hapa wengi hawapigi kura we subiri uchaguzi wa mitaa 2014 wakati daftali limerekebishwa ndiyo utajua dar iko upande gani
We vipi? Matokeo gani mengine unangoja?
Unasubiri dodo chini ya mnazi!!!
Hahahaah,Mkuu wewe si ndiye uliyewacholea mlango ukutani hawa chadema pamoja na katibu mkuu wao wakaugombea? Vipi tena mbona unawacheka baada ya kupokea kipigo cha mbwa koko?